wamarekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tunaachana na Wachina 'tunajibebisha' kwa Wamarekani ili Waichukue Bagamoyo kama walivyoichukua Kigamboni?

    Kwakuwa mmeamua hivyo siyo mbaya!!!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi ni mzizi wa umaskini wa Wamarekani wenye asili ya Afrika

    Katika sehemu ya mashariki ya mji wa Detroit nchini Marekani, kupitia picha za satelaiti, tunaweza kuona ukuta unaotoka kaskazini hadi kusini na kupitia mitaa minne, ambapo umetenganisha sehemu ya watu weupe na sehemu ya watu weusi. Katika nchi hii ambayo siku zote inadai kutetea haki na usawa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Nusu ya Wamarekani wanatamani kufuta akaunti zao mtandaoni

    Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa. 60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
  4. Jana Ulirudi Usiku

    JamiiForums Tanzania Itoshe tu kusema: Movie ya SAW Wamarekani walituliza akili

    Habari ndio hiyo hapo juu. Na utu uzima wangu huu nimelia michozi. Teknolojia ya juu mno.
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

    Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani. Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

    Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za kawaida. Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Je, kampuni ya Wind East Africa ya Wamarekani wenye uswahiba na January Makamba kupewa tenda ya umeme wa upepo?

    Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani. Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

    Kagame anapata sifa nyingi sana hasa kwenye vyombo vya habari vya magharibi lakini ukweli ni kwamba sababu kubwa ya kupendwa ni kwamba yeye pamoja na Museveni ndio walinzi wakuu wa western interests katika great lakes region (hasa Marekani). Katika historia ya Afrika Mashariki na kati hakuna...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Kiswahili: Watu maarufu duniani wenye majina ya Kiswahili

    Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu katika Afrika na kote duniani. Ingawa Kiswahili kimeonekana kupanda chati na kuonekana kuzidi kushika kasi leo, lakini lugha hii ilshapata heshima tangu zamani. Wasanii na watu maarufu walitamani kuizungumza wakiwa na fikra kwamba Kiswahili...
  10. Amalinze

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

    1. Mc Lyte, 1991 My mother put me in weusi shule which means black school in swahili MC Lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself. 2. Nas na Damian Marley, 2010 Nas and I can speak rap star Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani? Damian Marley: Nzuri sana 3. Michael Jackson, 1987...
Back
Top Bottom