Nina hakika CCM itashinda chaguzi nyingi zijazo na kuendelea kuiongoza nchi hii ya Tanzania.
Sababu kubwa ni ujinga + upumbavu wa Watanzania wengi. Samahani najua nimewakwaza wengi kwa neno upumbavu na ujinga ila haya maneno hayana undugu na matusi.
Leo unatoa shukrani kwa Rais kisa amelipa...
Salaam Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT.
Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA
Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na Mkuu wa Wilaya wa Hai dhidi ya madudu ya CWT
Nashauri,CWT wanamengi ya kutujibu Walimu kwa KUTUMIA...
Mimi naitwa Anania Titus Mbuta
Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017).
Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012).
Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003.
Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa...
Viongozi wa serikali baada ya shule kufunguliwa msije mkawanyanyasa walimu kwa kauli za maudhi.
Mnakuwa wavivu mbona mlikaa nyumbani bure huku mnalipwa.
Mnaidaidai serikali madeni ya malimbikizo mbona mlikuwa mnalipwa bure.
Juzi tu mlikuwa nyumbani Leo mmeanza kuomba omba ruhusa.
Wenzenu...
Wakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..!
Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza tunaomba Wizara isaidie Vyuo Vikuu vya Serikali ambavyo vina tabia ya kulimbikiza madeni ya walimu wa part time vilipe mara moja hasa katika kipindi hiki cha janga la Corona ambapo kujikimu imekuw shida kutokana na shughuli nyingi za kiuchumi kuathirika...
Habari Wadau,
Kitendo cha Shule za Sekondari na Msingi kufungwa shule kwa ajili ya Corona, kumefanya baadhi ya walimu kuhama maeneo yao ya kazi na kurudi makwao na wengine wako palepale ila wanalewa balaa.
Madeni kibao na matukio mengine ya ajabu. Kuna uwezekano mkubwa baada ya shule...
Habari wadau wa JF.
Habari kutoka wilayani Iramba ni kuwa Afisa takwimu wa idara ya elimu msingi, na walimu wakuu kadhaa wanashikiliwa kwa maelekezo ya TAKUKURU wilaya.
Chanzo cha kushikiliwa kwa SLO huyo Bwana Mgimba ni matumimizi mabaya ya hela za ujenzi wa vyoo saba ktk shule saba wilayani...
WALIMU SHULE BINAFSI WALALAMIKA KUKOSA MISHAHARA KISA CORONA
Chama cha Walimu wa shule binafsii nchini TPTU kimeiomba serikali kuingilia kati suala la madai ya wamiliki wa baadhi ya shule binafsi kusitisha mikataba na mishahara ya walimu kwa kigezo cha kuathiriwa na ugonjwa wa COVID 19...
Serikali iwakopeshe mishahara walimu wa shule binafsi kipindi hiki Cha Corona kwa RIBA ndogo sana.
Ikumbukwe kwamba Hawa ni WATANZANIA wenzetu japo Kuna wachache sio WATANZANIA.
Serikali ione huruma kwa maelfu ya WATANZANIA watakaoathirika kutokana na janga hili. Binafsi nimetoa machozi...
Wadau corona ipo tuwe makini kwa kufuata maelekezo ya watalamu wa afya.
Nije kwenye Mada. Shule zimefunga tarehe 17 Machi kutokana na hali halisi kwamba watoto watulie home, nmeamua kuwapiga vipindi mwenyewe. Kabla ya hapo niliwataka wajisomee wenyewe. Nilipowataka walete daftari zao...
Habari za muda huu wadau wa JF.
Naomba niende moja kwa moja katika hoja.
Wote tunajua kuwa sasa hivi nchi inapatwa na janga kubwa sana la corona ambalo limepelekea uchumi wa sekta mbalimbali kuyumba.
Leo nimeshtushwa sana baada ya kuona kuna shule flani ya private inalazimisha wafanyakazi...
Halo wadau wa JF.
Kuna tetesi nimezinasa kuwa serikali ina mpango wa kuwanyima posho walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata. Madai ya serikali ni kuwa hawa watu hawapo kazini ktk kipindi cha likizo isiyo rasimi au likizo ya corona.
Lengo ni kuwa posho zao zielekezwe kuikabili eti...
Ualimu ni taaluma yenye mawanda na matao mapana sana huenda kuliko taaluma nyingine nyingi zilizopo.
Mwalimu licha ya kuwajibika kwa taaluma yake, wateja wake (wanafunzi), mwajiri wake, bado anao wajibu pia kwa jamii inayomzunguka na kwa Taifa lake kwa ujumla.
Mwalimu anapaswa kuwa mtoa...
Wengi tunatambua kuwa kwa sasa Dunia inapitia kipindi kigumu sana kutokana na hili janga la Corona virus. Hii kitu imegusa sehemu nyingi sana.
Naomba niweke wazo langu huenda likasaidia wachache nataka niguse sekta ya elimu kuanzia shule za awali mpaka sekondari.
Nimetafakari kwa kipindi hiki...
CWT inavuna pesa za walimu isivyohalali kila mwezi kutokana na ukweli kuwa kwa mujibu wa sheria zilizopo hawana mamlaka ya kuchukua ada ya uanachama kwa asilimia ya mshahara wa mtumishi.
Nasema hayo kwakuwa hakuna sheria yoyote nchini Tanzania inayowaruhusu kufanya hivyo;
Kuna sheria ya mwaka...
habarini!!
wazo hili linakuja baada ya utafiti wa muda mrefu wa shule kadhaa ZA SEKONDARI!
hawa walimu wa kike walio katika umri wa makumi na ishirini wana tabu sana huko mashuleni.......
1. Hawatulii vituoni kwani wengi wao wanakuwa kwenye kuhangaika na maisha ya kutafuta wenza na kula...
Aga Khan Education Service, Tanzania (AKES.T), is a private, not for profit, service company registered under the Companies Act and operates three schools in Tanzania offering the International Baccalaureate PYP / Diploma Programme, Pre IGCSE at grades 7 -9, IGCSE at Grades 10 and 11 and the...
Hivi unaweza kutumia playstore kwenye PC kama kwenye android? Na je kama ndiyo unawezaje kuinstall hiyo playstore.
mim nilijaribu kutumia blueStacks lakini sielewielewi naona kwenye kusign in email inaload tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.