Samahani walimu ila naomba majibu toka kwenu

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
Wana jf, jana ilikuwa Bukoba Takukuru ilivyobaini mtoto aliyefukuzwa kufauru mthihani kwa Daraja la pili yaani Div2

Baada ya uchunguzi ilibainika mwanafunzi husika alifukuzwa shule lakini akapewa mwanafunzi nwingine nafasi hiyo.

Niwazi kuwa nafasi hiyo haikutolewa bule lzm kuna mrungula ulitumika.

Lakini kabla habari hii haijapoa leo tena huko misungwi Takukuru hao hao wameokoa 10ml. Za mstaafu naye si mwingine bali ni MWALIMU.

Niliwahi kuweka uzi hum jf nikihoji mbona kila mala ni walimu? Niliishia kuambiwa nawadharau japo nilitaka tuangalie chanzo ni nini.

Baada ya tukio la leo la misungwi nimetafakari nikapata jibu nalo ni hili.

-Walimu yawezeka michango michango mnayochangisha wazazi inaweza kuwa ni Raana inayowatafuna.

Maana kati ya wanafunzi 100 naamini kati yao 10 ndo wanaweza kuwa wanatoka ktk familia zenye uwezo wakupata hivyo vijisenti, lakini 90% kati yao wanatoka familia duni ambazo zinakula mlo mmoja tena kwa shida.

Hii ni baada ya mh. Jpm kutoa elimu bule, nadhani hata nyie mmeona mafuriko ya wtt kuandikishwa kuanzia s/m

Hivyo msipoachana na vimichango michango hivi ambavyo baadhi ya wtt wanakaa na bibi au mama na familia zenye uwezo duni Hii Raana haitawaacha sarama.

Maana wanatoa hii michango huku machozi ya maumivu yakiwatoka.

Lakini baadhi ya watoto wana nyanyapaliwa na wanafunzi wanaotoka familia zenye uwezo, hivyo machozi yao yanawarudia nyie.
Msipobadirika mtaendelea kupigwa na watoto wa darasa la saba mitaani ili mungu awalipe huku mkiipa kazi takukuru ya kuwasaidia nyie tu! Huku mkisahau hata aliyewapa fedha aliwapa kwa makubariano.
 
Maana kukopa na kukabidhi kadi ya ATM na namba ya siri cyo jambo la kawaida kwa mtu km mwl.

Kama siyo raana ni nini?

Kila siku scandal zinazoripotiwa na takukuru ni walimu?
 
Maana kukopa na kukabidhi kadi ya ATM na namba ya siri cyo jambo la kawaida kwa mtu km mwl.

Kama siyo raana ni nini?

Kila siku scandal zinazoripotiwa na takukuru ni walimu?
Mbona unawafuatilia sana hao walimu, unagombania nini nao??
 
Maana kukopa na kukabidhi kadi ya ATM na namba ya siri cyo jambo la kawaida kwa mtu km mwl.

Kama siyo raana ni nini?

Kila siku scandal zinazoripotiwa na takukuru ni walimu?

Kinacho kuuma ni nini hasa! Acha utoto. Mtoto wa kiume unawashwa washwa mpaka unatia aibu.
 
Maana kukopa na kukabidhi kadi ya ATM na namba ya siri cyo jambo la kawaida kwa mtu km mwl.

Kama siyo raana ni nini?

Kila siku scandal zinazoripotiwa na takukuru ni walimu?
We inzi utakua ni mwanafunzi uliyefukuzwa maana kutwa unatoa maushuzi....sijui inakuongezea nn kutwa kuwasengenya watu waliokufundisha.Kwa namna ileile nawe utalaaniwa kwa kuwasema vby watu waliokutoa matongotongo kwenye ubongo
 
Back
Top Bottom