wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,795
Husika na title hapo juu hivi kwa nini shule za udereva wale walimu wasiwe ma trafic (vihicle) maana kuna pamoja na shule kuwa nyingi kila kona lakini bado kuna ajali zinatokea kwa uzembe kabisa na bado unakuta dereva alisomea u driving shule kabisa.
Hii itasaidia angalau uelewa zaidi kwa mwanafunzi maana kuna shule nyingine hata hao walimu sheria/alama hata wao hawazijui. Kingine ingezaidia hata dereva akimaliza kozi yake anapewa tuu leseni bila kusumbuka tena kwenda kwa vehicle kutestiwa ili apewe leseni, hii itaondoa huo usumbufu.
Ni hayo tuu maoni yangu au nyie mnaonaje wadau.