Habari wasomi!
Kama title linavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu watatu wa PCM ila wale wanawake ambao wanaishi DAR. Kuna project nataka nianzishe so nahitaji TEAM PCM.
Hakikisha kuna somo moja wapo uko vizuri sana ili kila mwalimu adili na somo lake.
Unaweza comment below uko vizuri kwenye...
Nimeona video ya huyu dada ambaye anaonekana kuwa ni mchungaji akiwa anahubiri kanisani. Jambo lililonisikitisha ni kitendo cha kudharau taaluma ya ualimu hasa walimu wa kike wa shule za Msingi.
Kiongozi ni kioo cha jamii hivyo inatarajiwa kuwa maneno unayoyatoa yatakuwa ya kujenga na si...
Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.
Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
Inasikitisha sana mauaji kama haya kufanyika kwa mwalimu anayefundisha taifa la kesho.
---
Picha: Mwalimu Turo Hiza enzi za uhai wake
Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Wilaya ya Rombo na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Boma iliyopo Tarafa ya Mkuu Wilayani humo, Turo Hiza amekutwa ameuawa...
WALIMU TUMEWAKOSEA NINI?
Salam Kwanu
1.Mhe.Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan.
2.Mhe.Waziri Wa Utumishi na Utawapa bora..Jenista Mhagama
3.Mhe.Waziri Wa TAMISEMI...Innocent Bashungwa.
Kwa miaka Zaidi ya Ishirini Walim wa nchi hii wamekuwa wakiwakilishwa na Chama kimoja cha Wafanyakazi kiitwacho...
ZAIDI ya walimu 50 wenye asili ya Kiafrika kwenye shule ya Sekondari ya The Agha Khan Mzizima wamegoma kuingia darasani kufundisha wanafunzi kwa kile walichodai kuwa uongozi wa shule hiyo umekuwa ukiwanyanyasa na kuwabagua kwa rangi.
MwanaHALISI kupitia chanzo cha kuaminika kilipata taarifa...
Huko Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara, Mwalimu amefungwa kwa kula hela ya ujenzi wa madarasa ya shule yake.
Haya ndiyo matokeo ya sra zisizo na mashko katika ujenzi.
Badala ya fedha hizo kuonekana kama mtaji wa ujenzi, watu wanageuza kuwa fedha za kula.
Hili limetokea sehemu nyingi sana nchini...
Idadi kubwa ya walimu waliokuwa hawana barua Za uteuzi kutoka Tamisemi , walipangiwa vituo vipya vya kazi hawajaripo kwenye vituo vyao vya Kazi vipya.
Walioripoti kwenye vituo vipya walirudishwa tena kwenye Ofisi Za Halmashauri bila maelekezo kutoka Tamisemi.
Source: TBC habari
Hebu soma maagizo hayo hapo chini
Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu.
Kazi hii ya kuandika no inatakiwa kufanyika kwa siku 2 tu yani Leo Ijumaa hadi Jumapili saa sita usiku ndio mwisho.
Ushauri wangu...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ametoa maagizo kwa Jeshi la Polisi kufuatilia na kuwachukulia hatua taasisi za mikopo zinazodaiwa kuwashikilia baadhi ya walimu katika vituo vyao vya kazi wanaposhindwa kulipa madeni yao.
Kauli hiyo imefuatiwa baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama cha...
HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA ELIMU ACT WAZALENDO NDG. RIZIKI S. MNGWALI KUHUSU HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023
Utangulizi:
Ndugu Waandishi wa Habari,
Jana tarehe 10 Mei 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipokea na kuanza...
Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
Kwenu watendaji wa Tamisemi.
Kuna vijana wengi wameomba ajira za ualimu ambao sio walimu na mfumo umewakubali kabsa bila shida
Sasa kwa ushauri tu muanze na mchujo wa vyeti vya chuo kabla ya kitu kingine mtanishukulu badae
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imebaini kughubikwa na vitendo vya rushwa ya ngono katika upangaji wa vituo vya kazi kwa waajiriwa wa idara ya elimu.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Sosthness Kibwengo akitoa taarifa kuhusu utendaji wa taasisi hiyo, amesema...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Songwe imetoa elimu kwa walimu na walezi wa Skauti wa shule za msingi na sekondari ikiwa ni mkakati wa kupambana na rushwa kuanzia ngazi ya chini.
Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo.
1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini wakachaguliwa baadhi ya walimu wa biology na chemistr. Walimu wa chemistry na biology ambao hawakuomba wakaona...
Ujumbe wenyewe huo hapo
Habari za jioni, napenda kuwataarifu kuwa kesho kutakuwa na ujio wa Mhe. Rais , hivyo watumishi wote tunatakiwa tufike uwanja wa ndege wa kia saa kumi na mbili kamili asubuhi.
Habarini za humu JF Elimu,
Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa!
MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU
1. Lugha adhimu ya kiingereza iwe mikononi mwa wanafunzi kwa vyovyote vile hasahasa grammatical and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.