wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo

    Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo. Kati ya wazalendo ni hawa hawanufaiki lolote kipesa kwa wanayofanya 1. Huwezi kuwa Mzalendo na mwizi wa kura halafu ukajiita mzalendo. 2. Huwezi kuwa Mzalendo na kuuwa vijana bila kufuata sheria 3. Huwezi kuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  3. JamiiForums Tanzania kumbe inshu ya maroboti ya kusifia kwenye mitandao ya kijamii ni kweli

    Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana! 1. Profile zote zimeshare content moja 2...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa mnatandikaje Kitanda Wakuu? Msinijibu vibaya naumwa!

    Wakuu, mimi sijui kabisa kutandika kitanda 😅 Huwa mnatandikaje? Naomba mnisaidie hatua za kufuata, msinijibu vibaya maana naumwa.
  5. JamiiForums Tanzania Chuo gani Zanzibar kinachotoa Degree ya saikolojia

    Je Chuo gani Zanzibar kinachotoa Degree ya saikolojia nimesoma HKL je nitakubaliwa mwenye experience naitai msaada
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi ujenzi wakuu, anayeweza kazi vizuri

    Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali Sasa ninaomba humu kama Kuna fundi mzuri.
  7. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S

    Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu. Nina miaka 29 Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer). Uwezo wa kutumia silaha. Elimu - Shahada ya kwanza Nazungumza Kingereza fasaha. Uzoefu wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Soko la Viazi mviringo Obama na KADINYA Bei ya Shamba na Bei ya mjini ya gunia la kg 100 ni Bei Gani?

    Habari familia naomba kujua machimbo ya Shambani ya Viazi mviringo Bei zake Obama na Kadinya na Bei na Masoko ya mjini WAKUU
  9. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke ni mke wa mtu kweli wakuu?

    Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri. Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini. Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule...
  11. JamiiForums Tanzania Mbinu ya Israel kuua viongozi wakuu wa kisiasa na kijeshi ina faida kimedani au ipo tu kujitwalia ujiko ?

    Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu katika kujizolea ujiko kwa jeshi lake ? Toka Israel imeanza kuua viongozi hao ni kipi kilicho badilika...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada

    Kuna hii datting site inaitwa bibo mwenye uzoefu nayo wanatumia mfumo wa credit(coin) aisee credit inaliwa kama maji. Na madem nawaona ni wengi mpaka najiuliza ni watu halisi au ni marobot japo lugha inayotumiaka kiswahili. Mbaya zaidi ukijaribu kufupisha stori ukaomba namba text aiendi Kama...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu nawasalimia

    Wakuu nadhani kila moja yuko poa humu ndani. Kama hauko poa usijali mambo yatakua fresh au unaweza kutuambia tukajua namna ya kukusaidia
  14. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  15. JamiiForums Tanzania Mawaziri EAC Wakutana Kukamilisha Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika leo tarehe 5 Machi 2026 jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya hiyo utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026. Mkutano huo ambao umepokea na...
  16. JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi

    Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25 Wakuu wa Nchi Wanachama wa EAC utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu EAC wakutana kwa maandalizi ya mkutano wa 25 wa wakuu wa nchi

    MAKATIBU WAKUU EAC WAKUTANA KWA MAANDALIZI YA MKUTANO WA 25 WA WAKUU WA NCHI Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya Mkutano wa 25...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Asilimia kubwa za Mahakama ili upate msaada au huduma lazima utoe RUSHWA

    WAkuu habari, Moja ya taasisi ambazo ni muhimu nchini ni MAHAKAMA ambazo kisheria zinawajibu wa kusimamia haki na Sheria. Sambamba na Hilo raia wanategemea Kuona unafuu wa kupata haki/ huduma/msaada wa Haki zao ukitoka MAHAKAMANI, lakini katika Hali ya kawaida inavyotakiwa kuwa sivyo badala...
  20. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha. Mkutano huo Maalumu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…