wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu nimepigwa na UTI moja kali sana. Kuweni makini.

    Katoto tu kwa 2005, aiseeh
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu hili jengo linaweza gharimu kiasi gani kuanzia msingi hadi kuezeka bila finishing?

    Idea ni kujenga hostel kwa ajili ya wanafunzi. Jengo la ghorofa moja. Urefu wa 25m kwa upana wa 6m. Pichani ni picha inayofanania hilo jengo ingawa hilo lina vyumba 10. Ninalotaka mimi litakuwa na vyumba 5. Makadirio ya gharama vipi kuanzia kwenye msingi hadi kuezeka bila finishing? Yaani bila...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

    Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
  4. JamiiForums Tanzania Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi

    Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

    Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja Ni TV za Hisense 55inches zote!! Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha) Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye hizi digital items tupige mchongo

    Habari wakuu Kumekucha sasa mwenye hizi digtal items anicheki chap SHART AWE ANAJUA KIINGEREZA PIA ZIWE OLD ACCOUNT OLD UK ,DUBAI,OR UAE REMITLY AU TAPTAP ACCOUNT LETS WORK TOGETHER
  7. JamiiForums Tanzania Eti wakuu hapa ungetumia njia gani ili unusuru hii mali

    #RudiniMashambaniKuoa
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni

    MToto anapelekwala clinic anapoanza kuzaliwa hadi miaka mingapi??
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa waache kujichonganisha na Wanamichezo kwa Unazi wao

    Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tabora atapata wakati mgumu sana. Namwonya asijaribu kabisa kujiweka karibu na Simba
  10. JamiiForums Tanzania Tv ya hisense inch 32 imevunjika kioo msaada wakuu

    Wakuu nimevunja baahati mbaya tiv yangu naomba msaada nakoweza pata kioo na bei yake plse niko Arusha
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msingi tu 3.5M? Au Kuna namna napigwa wakuu

    Nyumba ipo Dar ya vyumba vitatu kimoja self, jiko, Sebule, dining na public toilet hii ndo bajet ya msingi fundi wangu kanitumia ila nahisi Kuna namna ananipiga au wataalamu hii mnaionaje
  12. JamiiForums Tanzania Inadaiwa parking kubwa ya magari itajengwa Kibaha Misugusugu itayokuwa na Hoteli na Super Makert. Je, kuna ukweli?

    Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
  13. M

    JamiiForums Tanzania WAKUU NATAFUTA CHUMBA CHA 30000 KIMARA AU MBEZI KUFKA ROAD NAULI ISIZID 700

    Wanajf mnisaidie nisje lala nje ukiisha mwez huu nahitaji room kwakwel Uz tayari msaada uwe mwingi kuliko kashfa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ushaur muhimu unahitajika wakuu,

    Kuna jamaa,yuko kwenye mahusiano na binti mmoja wamezaa na mtoto wanaishi pa1. Mwanamke wake waliyezaa nae ana mtoto mwingne tayar alizaa kitambo huko kabla hajakutana na mwana ,hata baba hajulikani enewei Huyu dada ana mapungufu meng according to jamaa,controling,ukali,wivu na mambo meeng...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi wakuu inawezekana mtu kuijiandikisha kupiga kura zaidi ya kituo kimoja na mashine ikakubali

    Hivi huwa najiuliza mfano mwaka huu mtu mmoja ujiandikishe zaidi ya kituo kimoja je hii inawezekana na ukapatiwa kitambulisho Mimi naona kama hili jambo haliwezekani sababu Kuna finger print tulikua tunabishana Ili swala na wadau kijiweni wengine wanadai inawezekana wengine wanasema haiwezekani...
  16. JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

    Mimi ni kijana umri miaka 20, nimekuwa nikipata changamoto ya kutoa majimaji ya sperm pindi nipo kwenye foreplay yani ile na kutomasa tomasa demu najikuta sperm zishaanza kuchuluzika au hata nikiwa na chart na demu mambo ya mapenzi mapenzi(ngono). Naomba msaada kwa hili na njia ya kuzuia hii...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apata kigugumizi kuzungumzia bidhaa kuwekwa lebo kwa lugha za Kigeni huku watumiaji wakiwa hawajui lugha husika

    Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu Sh 6M mwenye Crown royal saloon

    Wakuu habari zenu. Nina sh 6m naulizia mwenye Toyota crown royal saloon anauza ameichoka aweke picha na namba ya simu tufanye biashara Au kama hata mwenye Mark X aweke namba Asante
  19. JamiiForums Tanzania Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

    .
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mna uhakika kama vita ya tatu ya dunia bado haijaanza?

    Naona majibishano ya maneno makali yaliyokosa staha ya kidiplomasia na makabiliano halisi ya kijeshi barani Ulaya na Amerika (migogoro ya Russia vs Ukraine, Trump kutaka kuzichukua Canada na kuinyang'anya Greenland kutoka Denmark, mfereji wa Panama). Mashariki ya kati (migogoro inayomuunganisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…