wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

  2. JamiiForums Tanzania Wakuu, fawanews vipi tena?Siku ya tatu hii naijatibu imegoma

    Wakuu lile chimbo letu la kucheki mechi mbalimbali fawanews kila nikiingia hola, dah uhondo wetu wametuondolea nini?
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu tupige story. Iwe ni kichekesho, mzaha ya kweli au kitu chochote kile huwa ukikumbuka unacheka pekee yako

    Nyuma kabisa kwenye miaka ya 2002 bana nilikuwa copro wa kunyata kiasi kwamba hata nikikanyaga yai halivunjiki namna nilivyokuwa na nyata. Enzi hizo bana simu zilikuwa chache sana kwenye kijiji chetu kama sio kata nzima basi ni mzee wangu pekee ndo alikuwa nayo tena motorola. Basi bro yangu...
  4. JamiiForums Tanzania Protokali/Itifaki za Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mishahara yao

    Oya wadau Hivi protocal haiuhisiani na malipo ya hivi vyombo? Kwa mfano,Katika vyombo vyote vya ulinzi JWTZ,POLICE,MAGEREZA,TISS,UHAMIAJI,ZIMAMOTO hapo chombo mama(senior force) ni JWTZ then vinafwata POLICE nk kama nilivyoviainisha hapo navovitaja.Mkuu wa JWTZ ndiye mwenyekiti wa ulinzi na...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?

    Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo. Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena. Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?

    Naomba kueleweshwa, Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization? Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview. Oral...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu nimetengeneza chat App

    Hii hapa chat app maoni yenu https://first-app-7c347.web.app/
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

    Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu. Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki. Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi. Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu mbona hali ni tait sana. Ebu tupeane updates za mwelekeo wa maisha na mitikasi huko uliko

    Aiseee..mbona mtihani hivi
  10. JamiiForums Tanzania Ushawahi Kupokea muujiza gani ukaamini kuwa Mungu yupo?

    Wakuu kumekuwepo na mijadala mingi humu ya mivutano baina ya wanaokubali uwepo wa Mungu na wasioamini uwepo huo Mungu mala zote ni mtenda miujiza,na amekuwa akifanya hivyo mala zote kwa waja wake, amekuwa akiponya magonjwa yaliyoshindikana,vipofu wanaona,viziwi wanasikia,viwete,bubu,wasio na...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  13. U

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

    Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo. Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza...
  15. JamiiForums Tanzania Bila shaka hizi social media zimefungwa Tanzania? (Facebook, Whatsapp & Instagram), au lah!! Basi ni tatizo la kiufundi

    WanaJF habari za wakati? Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu moto wa CHADEMA ni hii tonetone tu au kuna nguvu za ziada?

    Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa. Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu....!!!

    Salamu wakuu, Straight to the point, naomba msaada wakuu gari yangu (automatic) ina changamoto ya kuwakia kwenye Gia. Yani gear lever inaweza kua kwenye D au R lakini ukipiga stata ngoma inawaka bila shida. Changamoto itakua ni nini? Nawasilisha
  18. JamiiForums Tanzania Hizi fulana zinapatika wapi Kwa hapa Dar?

    Naombeni msaada wenu hizi t shirt hapa dar nazipata wapi na zinauzwa Bei Gani
  19. JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima

    Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…