wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wakulima tumieni pikipiki kulimia shambani. Sio lazima uwe trekta pikipiki inatosha

    Pikipiki ni bei rahisi kuliko trekta na inaweza tumika kulimia
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

    Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. 😂😂😂😂 Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania? Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? 😂 😂 😂 Haya oneni pia...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho. Said aliyechukua fomu katika ofisi za chama hicho zilizoko Mwera, amesema iwapo atapata ridhaa hiyo atazingatia suala la amani na utulivu sambamba...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka alama 'Jembe na Nyundo' hadi kuwa alama ya 'Jiwe'"

    Habani wana JF Toka enzi za TANu kabla na baada Uhuru wa Tanganyika hadi kuzaliwa kwa CCM, chama hiki kimekuwa kikijinasibu kuwa ni chama cha kutetea maslahi ya Wakulima na Wafanyakazi wa nchi hii! Tangu Serikali ya awamu ya Rais Magufuli maarufu a.k.a Jiwe iingie madarakani Wakulima Tanzania...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wakulima waliopo Mwasonga-Kigamboni nahitaji kujifunza zaidi

    Habarini wa JamiiForums na wakulima kwa ujumla, Ningependa kufahamiana na wakulima wenzangu waliopo Mwasonga-Kigamboni ili kuweza kutembeleana kujifunza zaidi.
  6. mamayoyo1

    JamiiForums Tanzania Wakulima Wilaya ya Ikungi wampongeza Rais Magufuli kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakulima Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuelekeza ununuzi wa mazao yao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani. Pongezi hizo walizitoa mwishoni mwa wiki wakati wa ulipwaji wa fedha zao baada ya kuuza choroko kwa njia ya stakabadhi ghalani katika Kata ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ukiwa bepari "uchwara" kifikra usijiunge na Chadema maana utalizwa kama mtoto, nenda chama cha Wakulima na Wafanyakazi CCM

    Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa. Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama. Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika. Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, wakulima wamejipanga vipi kunufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya bwawa la Nyerere kukamilika?

    Katika siku za usoni, chakula kitakuja kuwa ndio nyenzo muhimu ya nguvu la taifa husika, taifa lenye chakula cha kutosha na cha uhakika ndilo litakuwa na sauti nguvu ya maamuzi. Kwamba atakaeleta ubishi basi ananyimwa chakula, na hapo hapo anarudi kwenye mstari. Sasa basi, kwakuwa changamoto...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Serikali okoa wakulima wa papai

    Hapo nyuma nilileta uzi wangu wa kuhusu kushuka kwa soko la papai lakini mods wakaunganisha na uzi mwingine,mimi kilio changu ni kile kile kama mkulima wa zao hili la papai,kumekua na changamoto kwenye mauzo baada ya mh.rais kutangaza kua vipimo vilibaini kwamba papai lina corona.Baada ya hapo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Sasa migogoro ya wakulima na wafugaji imekomeshwa

    Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent". Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa mapapai na mafenesi poleni Sana. Kitumbua kimemwagiwa Mchanga!

    Katika hotuba ya Mhe. Rais leo anasema watu wake walipenyeza sampuli za mapapai na mafenesi katika maabara ya Vipimo vya COVID-19. Ikagundulika vina Corona. Hali hii inaweza kuleta athari mbaya kwenye soko la mazao haya! Nawasilisha!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hasara ya COVID-19 kwa wakulima wa mazao ya bustani

    Habari wanajamvi, Je, kwa hali inayoendelea mnahisi kwa wakulima wa ndani ambao wanalima mazao ya bustani wameathirika au wanaathirika vipi kwa kipindi hiki na je, ikitokea lockdown itaathiri vipi mazao yao kwa kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Elimu ya matunzo ya mazao shamba bado dogo na bado...
  13. Jile79

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wakulima na Wafanyakazi

    CCM ni chama ambacho kimejitanabaisha kuwa ni chama cha wakulima na wafanya kazi hata nembo yake ni jembe na nyundo. Mimi nachelea kuwaongezea kuwa ni chama cha wafanyabiashara pia. Swali langu ni, je kwa miaka minne iliyopita ni kada ipi imefaidi zaidi na ccm kati ya Wakulima, Wafanyakazi na...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Serikali mkoani Lindi imekiri kudaiwa TZS Billioni 6.9 za wakulima wa korosho ambao hawajalipwa 2018/2019

    Serikali mkoani Lindi imekiri kua inadaiwa na wakulima wa korosho kiasi cha Bilioni 6.9 za wakulima wa korosho kwa msimu wa 2018/2019. Wakulima hao ni wale serikali ilichukua korosho zao na kuahidi kuwalipa ila hadi sasa hawajalipwa. Serikali inadai sababu kubwa ya kuchelewa kuwipa ni kutokana...
  15. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Mh, Waziri Mkuu: Vyama Vikuu vya Ushirika vya SHIRECU na NCU vilitia umasikini wakulima wa Kanda ya Ziwa kwa wizi; kama wahusika wapo, wakamatwe.

    Awali ya yote, niipongeze TAKUKURU kwa namna wanavyoshughulikia wezi wa fedha na mali za vyama vya ushirika. Nimeona kule Kusini hasa zao la Korosho, wezi wakiamriwa kurejesha mamilioni ya fedha, Tabora nako nimeona. Kwa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, kuna Vyama viwili vya SHIRECU (Shinyanga) na...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mil. 104/- za wakulima zaokolewa

    Aidha, Sh.74,084,700 za wakulima wa pamba waliokuwa wamedhulumiwa malipo yao na Vyama vya Ushirika vya Msingi (Amcos) katika wilaya za Magu na Sengerema, zimerejeshwa. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini hapa, Mkuu wa Takukuru mkoa wa Mwanza, Emmnuel Stenga, alisema Sh. milioni...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wakulima walipwa bil. 68/- za korosho

    Hayo yalibainishwa na Meneja wa MAMCU tawi la Masasi, Joseph Mmole, alipokuwa akizungumza na gazeti hili, kuhusu malipo ya zao la korosho kwa msimu wa 2019/2020. Mmole alisema zaidi ya kilo milioni 47.3 za korosho za wakulima wa vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) katika Wilaya ya Masasi na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya wengi ni watoto wa wapigania uhuru lakini Tanzania ni watoto wa wakulima, wafugaji na Chadema wafanyabiashara

    Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa. Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
  19. kibokomchapaji

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ni Kutumiwa na GMO, Tamaa za Umaarufu au ni Kutosoma Ripoti Mbalimbali

    Zitto kabwe amefilisika sana. Maneno yake kuhusu upungufu wa chakula nchini hayana mashiko. Bodi ya Takwimu (NBS) ndio wa kwanza kusema kuna mfumuko wa bei. Benki ya Dunia (WB) ikasema umasikini umepungua nchini hivyo watu wanamudu gharama za kununua vyakula. Aidha, ripoti ya Utafiti wa kina...
  20. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Wakulima korosho wauza kwa bei juu

    WAKULIMA wa korosho Mkoa wa Lindi wameuza korosho kwa bei ya juu ya Sh 2,825 na chini Sh 2,520 daraja la kwanza na pili kwa Sh 2,337. Kaimu Mrajisi wa vyama vya msingi ushirika mkoa wa Lindi, Robert Nsunza ameyasema hayo jana. Alisema daraja la pili ilipatikana kwa chama kikuu cha ushirika cha...
Back
Top Bottom