Zanzibar 2020 Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho.

Said aliyechukua fomu katika ofisi za chama hicho zilizoko Mwera, amesema iwapo atapata ridhaa hiyo atazingatia suala la amani na utulivu sambamba na kuyaendeleza maendeleo ya #Zanzibar

photo_2020-06-27_12-31-30.jpg
 
Back
Top Bottom