Wakulima, hivi huwa mnapima PH soil?

Mc PIPI

JF-Expert Member
Feb 25, 2020
318
428
Salamu wakuu.

Ni mara kadhaa nimelima pasipo kupima PH soil, sasa nataka kujua nyie wenzangu Kama huwa mnatest soil kwa kipimo hicho ili nijue na Mimi ni wapi nitaipata huduma hiyo.

Lakini pia nishawahi kusikia Kuna vifaa vya 3 in 1 ambavyo hufanya kazi hiyo na hapa ningependa kujua upatikanaji wake na ufanisi wake.

Location: Makambako -Njombe.
 
Salamu wakuu.

Ni Mara kadhaa nimelima pasipo kupima PH soil, sasa nataka kujua nyie wenzangu Kama huwa mnatest soil kwa kipimo hicho ili nijue na Mimi ni wapi nitaipata huduma hiyo.

Lakini pia nishawahi kusikia Kuna vifaa vya 3 in 1 ambavyo hufanya kazi hiyo na hapa ningependa kujua upatikanaji wake na ufanisi wake.

Location: Makambako -Njombe.

Wasiliana na afisa-ugani aliye karibu nawe.
 
Wengi hatupimi pH soil kwa sababu hata utaalamu wenyewe ni ngumu sana kuupata katika maeneo yetu. Tembelea SUA pale idara ya udongo wana huduma hiyo au kituo cha TARI Mlingano Tanga. Kwa wewe uliye Njombe ungeanza kwenda kupata taarifa pale TARI Uyole kama wana huduma hiyo...
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom