wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima jifunzeni kula mazao mnayolima

    Kuna msemo kuwa. Unakula usichozalaisha, na unazalisha usichokula! Juzi nimeshangazwa na majibu ya Mkulima mmoja wa Dengu aloponiambia kuwa hajui dengu zinliwaje!? Hiini baada ya mimi kumuuliza bei ya dengu kwa kuwa nilijuwa nahitaji Kama Kg 20 kwa matumizi ya nyumbani. Tafadhalini wakulima...
  2. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Kwenu wakulima wa Tikiti: Je hii hesabu ni sahihi kwamba eka 1 unapata milioni 8 net profit?

    Nimekutana na hii post huko mitandaoni, sijawahi kulima tikiti wala kupiga hesabu za idadi ya miche kwa ekari moja. Naomba tufahamishane kama kilichoandikwa na huyu ndugu yetu ni sahihi ama lah kuhusu upatikanaje wa faida ya tikiti kwa eka 1.
  3. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof.Mkenda, umekwepa Maswali Bungeni unatuachia hatari wakulima wa Vanilla nchini

    Wana JF. Waziri wa Kilimo Mkenda ameonyesha ubingwa wa kukwepa maswali au kutoa majibu mepesi kuhusu mikakati ya kuimiza na kuboresha zao jipya la vanilla katika kuleta maendeleo ya nchi na wakulima, yeye jinsi alivyojibu unaweza Ukakaa chini ukalia. Yale matatizo wapatayo wakulima wa korosho...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bashe: Serikali itawalinda wakulima kwa gharama zote

    BASHE : SERIKALI ITAWALINDA WAKULIMA KWA GHARAMA ZOTE Tanganyika, Katavi. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameweka wazi msimamo wa serikali juu ya kuwalinda wakulima nchini kufuatia muingiliano wa kisekta wa mara kwa mara ambao husababisha wakulima kubeba mzigo mkubwa zaidi wa gharama...
  5. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakulima wa chai huko India wanalia kwamba chai kutoka Kenya ina bei ndogo kwa hivyo inawafanya kukosa biashara

    Hehehe. Nyang'au sisi hatutambui chochote linapokuja swala la biashara. Tunafinya mpaka Wahindi wa huko India. Wakulima wao wanalia kwamba chai kutoka Kenya inauzwa bei ya chini na kuwaharibia biashara. Wanataka serikali yao iingilie kati. Hehehe waendelee kulia tu, sisi tutaendelea kuwafinya...
  6. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini

    ZIARA TUNDURU Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini. Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya Ardhi Sasa limepungua kwa Kasi hivyo niwaombe wananchi wenzangu wale wafugaji ambao wanavamia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali ifanyie kazi kilio cha wakulima nchini

    Tanzania bado ina safari ndefu ya kumwinua mkulima ili ajikwamue kutoka kwenye kilimo cha kujikimu kwenda kwenye kilimo cha kibiashara ambacho kitamwezesha kuwekeza kwenye sekta hiyo kikamilifu. Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ni wakulima lakini wengi wao wanafanya kilimo cha kujikimu wakati...
  8. ndenjii handsome

    JamiiForums Tanzania Serikali fungueni mipaka wakulima wauze wenyewe mahindi, NFRA inawanufaisha wachache

    Baada ya kusikia serikali imetoa bilioni 50 kwa ajili ya manunuzi ya mahindi. Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo. Dah nilichokutana nacho tajiri atabaki kuwa tajiri nae maskini atazidi kuwa maskini hasa kwenye nchi zetu za Kiafrika...
  9. Jo Africa Tz

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalam wafanyao kazi

    Kwa maana jinsi hii... Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua matatizo badala ya kuyakwepa, hapatokuwa na shida yo yote katika dunia ambayo hawatoweza kuishinda...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za viwandani zinapanda bei kwa kasi, mazao ya wakulima yanashuka Bei, hujuma hizi

    Mfuko wa cement unauzwa 1900 na 23000 kutoka 12000-14000 mwaka 2015, hujuma Sukari haishuki 26000 Mafuta ya kula lita tano ya Alzeti 30,000 kutoka 14000 mwaka 2015 Mafuta ya magari nayo yanakimbilia huko juu sijui Kuna Nini Vifaa vya ujenzi vimepanda zaidi ya nusu Bei kuanzia mwaka Jana...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM inajidhirisha kwamba ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi na hiyo ni baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo kuagiza Serikali kununua mahindi yote zaidi tani 100,000 katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya bilioni 14 zilizotolewa awali kununua tani 24,000 za mahindi kuisha...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa maelekezo matatu kwa Serikali, ahueni kwa wakulima wa mahindi nchini

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHATOA MAELEKEZO MATATU KWA SERIKALI, AHUENI KWA WAKULIMA WA MAHINDI NCHINI. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maelekezo matatu kwa Serikali kuhusu ununuzi wa mahindi ya wakulima, vituo vya kununulia mahindi pamoja na bei ya mbolea nchini. Maelekezo hayo yametolewa...
  13. Nawatania

    JamiiForums Tanzania Hali tete kwa wakulima, mbolea kg 50 yafikia 120,000

    Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini. Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo nililopo ni elf 24 wakati Bei ya mbolea ni laki na ishirini. Kwamba unatakiwa kuuza gunia 5 Za mahindi ili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Serikali imetoaTsh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua mahindi toka kwa wakulima

    Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima. “Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie wakulima wa miwa Kilombero wanadhulumiwa kwenye Malipo

    Mkulima wa miwa kilombero anapitia changamoto nyingi hadi afikie hatua ya kuua miwa,mfano mkulima ununua mbolea Bilal ruzuku,sumu za wadudu ambao wamekuwa tatizo kubwa kwenye zao ili kwa sasa nk. Kwa masikitiko makubwa sana kampuni ya Sukari Kilombero imempunja mkulima kwa kununua tani moja ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Singida: DC Mwenda ashiriki kongamano la wakulima

    MHE MWENDA ASHIRIKI KONGAMANO LA WAKULIMA-SINGIDA Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ametembelea Kongamano la wadau wa Alizeti lililofanyika Singida Mjini na kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo kuwaeleza wadau wote kuwashirikisha wakulima wengi zaidi katika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tunduru, Ruvuma: DC Mtatiro anusurika kushambuliwa kwa mawe, wakulima wa mbaazi walalamikia zao hilo kuingizwa kwenye mfumo wa stakabadhi

    Wakulima wa mbaazi wailaya ya Tunduru Kijiji cha Tulieni, juzi tarehe 5/7/2021 walimshambulia DC wa Tunduru kwa mawe mpaka akalazimika kuwahita polisi toka mjini Tunduru. Wakulima wengi wanalalamikiia kuingizwa zao la mbaazi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani tafauti na ahadi ya naibu waziri wa...
  18. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Panya, Wakulima na Mbegu za Mpunga (Tozo, Wafanyabiashara na Watuamiaji)

    Hapo sio zamani sana kulikuwa na jamii ya Panya iliyopenda sana kula mbengu za mpunga, hali ilikuwa mbaya sana kwa wakulima, panya wenyewe na hizo mbegu, sababu kutokana na wingi wa panya ilipelekea kupunguza idadi ya mbegu za kupanda hali iliyopelekea wakulima kufa kwa njaa na kupunguza nguvu...
  19. ROJA MIRO

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Igunga, Tabora: Wananchi wauza Pamba kwa bei nzuri kadiri ya maelezo ya Wizara

    Jimbo la Igunga Waendelee na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 kwa kuwasimamia vizuri wakulima wa zao la Pamba katika kuhakikisha wanapata Soko na bei nzuri ya zao hilo muhimu chini ya Maelekezo ya Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana kwa Karibu na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe...
Back
Top Bottom