Hali tete kwa wakulima, mbolea kg 50 yafikia 120,000

Nawatania

Senior Member
Jul 13, 2021
148
1,000
Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini.

Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo nililopo ni elf 24 wakati Bei ya mbolea ni laki na ishirini.

Kwamba unatakiwa kuuza gunia 5 Za mahindi ili kununua mbolea mfuko mmoja .

What a failed state!
 
Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
666
1,000
Tatizo la bei ndogo ya mahindi ni tatizo la miss divesification/ crop miss rotation au mono cropping kwa lugha rahisi. Hii inatokea pale wakulima wengi wanapoamua kulima zao la aina moja. Iwapo wakulima wengi wangejikita kwenye kilimo cha fursa, huenda wangelima mazao kama alizeti na ufuta ambayo yana bei nzuri sokoni na kulima mahindi kidogo kwa ajili ya chakula.
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,395
2,000
Chama cha mafisadi yani ccm watakuambia mama yao kapandisha bei ya mazao...yani wwao wapo kusifia
 
katitu

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,133
2,000
Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini.

Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo nililopo ni elf 24 wakati Bei ya mbolea ni laki na ishirini.

Kwamba unatakiwa kuuza gunia 5 Za mahindi ili kununua mbolea mfuko mmoja .

What a failed state!!!
kila mtu alitegemea hivyo maana ukishagusa tozo kwenye mafuta kuna impact kubwa sana kwa bidhaa nyingine kwani mafuta yanagusa karibu kila sekta ya uzalishaji.
 
Td mkali

Member
Jan 18, 2019
92
125
Tatizo la bei ndogo ya mahindi ni tatizo la miss divesification/ crop miss rotation au mono cropping kwa lugha rahisi. Hii inatokea pale wakulima wengi wanapoamua kulima zao la aina moja. Iwapo wakulima wengi wangejikita kwenye kilimo cha fursa, huenda wangelima mazao kama alizeti na ufuta ambayo yana bei nzuri sokoni na kulima mahindi kidogo kwa ajili ya chakula.
Hii ni pumba kama pumba zingine
 
daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
989
1,000
Tatizo la bei ndogo ya mahindi ni tatizo la miss divesification/ crop miss rotation au mono cropping kwa lugha rahisi. Hii inatokea pale wakulima wengi wanapoamua kulima zao la aina moja. Iwapo wakulima wengi wangejikita kwenye kilimo cha fursa, huenda wangelima mazao kama alizeti na ufuta ambayo yana bei nzuri sokoni na kulima mahindi kidogo kwa ajili ya chakula.
Inategemea na eneo kuna sehemu zingine kilimo ni mpunga tu
Hata hivyo siyo kwamba wakulima wanalima sana mahindi
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,145
2,000
Tatizo la bei ndogo ya mahindi ni tatizo la miss divesification/ crop miss rotation au mono cropping kwa lugha rahisi. Hii inatokea pale wakulima wengi wanapoamua kulima zao la aina moja. Iwapo wakulima wengi wangejikita kwenye kilimo cha fursa, huenda wangelima mazao kama alizeti na ufuta ambayo yana bei nzuri sokoni na kulima mahindi kidogo kwa ajili ya chakula.
Hivi mkuu unayaandika haya ukiwa TZ kweli?hiyo alizeti na ufuta ni mikoa mingapi ambayo inastawi vizuri?kwani sio kama mahindi ambayo karibu nchi nzima unaweza kulima?unajua kilimo cha kitanzania, wakulima wengi ni wale ambao kulima mazao yanayohitaji uwekezaji mkubwa hawawezi, na ni kutokana na umasikini, wa kulaumiwa ni serikali tu haina lengo la kumsaidia mkulima, na hiyo NFRA, nayo ni mzigo tu toka 2015, imekuwa ikinunua karibia robo tu ya mazao kulinganisha na miaka ya nyuma kutokana na kukosa pesa, na hata wanaponunua (kukopa) bei yao ni kandamizi kweli!!!
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,585
2,000
Na hapo hapo nchi inaendeshwa kwa tozo, kodi haijulikani zilipochikichia.....nchi ngumu hii!
 
wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
1,444
2,000
Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini.

Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo nililopo ni elf 24 wakati Bei ya mbolea ni laki na ishirini.

Kwamba unatakiwa kuuza gunia 5 Za mahindi ili kununua mbolea mfuko mmoja .

What a failed state!!!
Kumbe unawatania
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom