UTANGULIZI
Migogoro ya wakulima na wafugaji imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo vijijini na mahusiano baina ya wakulima na wafugaji katika nchi nyingi zilizo katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara. Pamoja na kuwa na juhudi za maksudi za kutatua migogoro hii bado kumekuwa na kukosekana...
Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu.
Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
Richard Temu, ni mfanyabiashara mlanguzi wa kakao katika Wilaya ya Kyela, ambaye hulangua kwa bei ya chini toka kwa Wakulima na kuziuza kwa mfumo uliowekwa na Serikali wa Stakabadhi ghalani. Akishazipeleka pia hutumiwa na kampuni za wahindi kupeleka bid yao katika mnada ili waweze kununua na...
Jioni hii kupitia taarifa ya habari nimeshuhudia taarifa ya kuhuzunisha sana jinsi wakulima wa mihogo kutoka Wilaya ya Handeni walivyopata hasara ya kuharibikiwa kwa tano 200 za mihogo.
Wakulima hawa waliingia mkataba na Kampuni moja ya Dar es Salaam kununua mihogo yao yote watakayolima...
Serikali ya awamu ya 6 kupitia Wizara ya Kilimo imerudisha upya Maonyesho ya Wakulima Nanenane baada ya kuzuiwa kufanyika kwa miaka kadhaa ya uongozi wa awamu ya 5.
Kwa mujibu wa Waziri Bashe, Serikali inakusudia kuyafanya maonesho hayo ya nane name kuwa maonesho rasmi ya Kimataifa ya Wakulima...
Serikali inamipango mibovu sana juu ya wakulima wa nchi hii
Ni uonevu juu ya uonevu!! Haya mambo ifike mahali tuone aibu kwa kuwanyonya kiasi hiki wakulima
Wakulima wa nchi hii, ni wao tu ndio wanaojua mateso wanayoyapitia, kwenye jua Kali na mvua za radi na Mawe, wao na shamba,
Kwenye mvua...
Zoezi la ugawaji wa pembejeo Kwa kiasi kikubwa linatiwa dosari na viongozi wa vyama vikuu vya ushirika.
Wengi wao wanahujumu pembejeo za wakulima Kwa kujilimbikizia viwatilifu na kuviiza.
Lakini pia waangalie Kwa umakini maafisa ushirika Kuna mchezo wanaucheza Kwa kushirikiana na makatibu wa...
Mimi ni mmojawapo wa wakulima tulioingia mkataba na wizara ya Kilimo kuzalisha mbegu bora za kilimo kupitia wakala wa uzalishaji wa mbegu bora za Kilimo; ASA.
Ni takribani miezi 9 sasa tangu Agosti na September mwaka 2021tulizalisha na kuuza mbegu kwa mujibu wa mkataba wa uzalishaji hadi sasa...
Mpk sasa naweza kusema kuwa Rais Samia ana roho nzuri na ana nia njema na taifa hili.
Mtangulizi wake alikuwa na mwelekeo wa kuwadidimiza (kuwafukarisha) wafanyabiashara. Alitamka hadharani kuwa matajiri wataishi kama mashetani. Ndipo akaanza kiwazushia tuhuma mbalimbali na kuanza kufunga...
Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na michikichi, tuwasaidie wananchi kuwekeza kwenye mashine za kuchakata mafuta ya kula hasa alizeti...
Wananchi wa kata ya bulamata, pamoja na kata za jirani zilizopo Mishamo mkoani Katavi kutoka wilaya ya Tanganyika wameomba serikali kuingilia kati migogoro iliyopo kati ya wakulima na jamii ya wafugaji.k
Wananchi wa vijiji hivyo wamesema kuwa jamii ya wafugaji wamekuwa na idadi kubwa ya Mifugo...
Salaam aleikum!
Nitumie fursa hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya. Nikiri kwamba Wizara ya Kilimo imekuwa na mawaziri wengi, lakini wewe, umekuwa tofauti kwa uchapakazi wako. Maono na mipango ya Wizara unayosimamia unawagusa wakulima wa ngazi zote hususan wa ngazi ya chini na kati...
WADAU wa uzalishaji wa mazao ya Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar wamesema ukosefu wa taaluma na mbinu sahihi za kibiashara bado ni kikwazo kikuu kinachokwamisha wakulima wengi nchini kushindwa kuyafikia masoko na kupelekea kukosekana kwa uhakika wa uendelevu wa biashara za mazao ya kilimo kwa...
Na Tom Wanjala
Katika harakati za kusaidia kuboresha na kuimarisha usalama wa chakula barani Afrika, China inazidi kuwekeza katika vituo vya maonyesho ya teknolojia ya kilimo (ATDCs), vilivyoanzishwa na kampuni na taasisi za China. Vituo hivi pia vimeinua maisha ya wakulima wengi kutokana na...
Habar Wana Jf,
This year, tmeona mfumuko wa bei hasa kwenye mafuta,
Nazungumzia Cooking oil.
Siku zote nlikua nawaona WAKULIMA WA malighafi za uzalishaji mafuta ya kula wako nyuma sana, hasa kwenye bei wanazopewa na wawekezaji , lakini wazo langu kwa sasa lmefitika kwani Hawa jamaa Nawaona...
Inauma sana kuona sekta nzima kilimo,uvuvi na ufugaji kuwa sehemu inayotumika vibaya sana na kuachwa nyuma sana hapa kwetu.
Kitu kinacho niumiza ni pale tanzania ina umiliki mkubwa wamaeneo ambapo asilimia kubwa inashikiliwa na wakulima sana na wafugaji.
Kitu kilichonifanya kueleza haya ni...
Position Title: Health, safety, environmental and social officer- (1 post)
Term of contract: Permanent
Responsibilities:
The HSE and Social Officer reports to the Operations Director and is responsible for the environmental and social management of the company by establishing and...
Nadhani wote tunashuhudia namna wabunge wanavyolinda na kupiga kelele zinapotajwa posho na maslahi Yao. Ni mashuhuda kwamba Mzee Pinda linapokuja suala la ufugaji wa nyuki yupo radhi afunge safari kwenda Kwa Mhe. Mkubwa wa nchini kulitolea ufafanuzi, tunafahamu nguvu watakayotumia akina Zitto...
Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele.
Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi.
Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania.
Hakikuwa mali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.