wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. TAFAKURI: Utajisikiaje endapo utaambiwa Wazazi uliohisi wamekuzaa na kukulea kwa miaka mingi si wazazi wako halisi?

    Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu. Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani.. Je...
  2. Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  3. Unafiki wa Wabunge kufoka, kukemea na kujifanya wako siriasi kuisimamia Serikali

    Wabunge wetu wanatuona sisi wajinga. Juzi tu wamepitisha mafao ya wasiostahili kulipwa na kimsingi hao waajiriwa na hawana mkataba na wananchi kikatiba. Wiki hii wanajifanya wanaropokwa kwa uchungu, hawa wanafiki wanaotaka kuuza sura huku mwishoni kuwasahaulisha Raia na uzuzu wao wa kushindwa...
  4. Watu wa kutoka mataifa ya itikadi kali ni wa ovyo sana hata kama wako ugenini

    "when you are in rome, do what romans do" Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa. Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
  5. Watu wote wanaoishi maeneo ya mbali pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam kimsingi ni kama wako mikoani tu

    Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo. Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema...
  6. Unawezaje kumaliza woga na wasiwasi wako na ufungue mipaka ya akili yako?

    Kila kiumbe kimeumbwa na woga wa asili kama ishara ya hatari ili kuongeza umakini kisidhurike. Woga ni mfumo wa muhimu wa mwili wakujilinda na kitu chochote kinachoweza kuwa hatarishi kwako. Haimanishi moja kwa moja ukiogopa wewe ni mdhaifu, hata simba ana woga pia. Lakini woga tunaoenda...
  7. Wazazi / walezi wako unawasalimu / uliwasalimu kwa kiswahili ama kilugha ?

    Familia nyingi huwa zina tamaduni zake katika mambo mbali mbali ikiwemo matumizi ya lugha za kikabila (hasa alikotokea baba) Kwenu kwenye kusalimia wazazi / walezi ni lugha ipi ilitumika ? Mzee ni wa kanda ya ziwa, Binafsi sijawahi kumsalimu mzazi kwa salamu ya "Shikamoo" ni mwendo wa kilugha...
  8. Nani anawajibika kutoa ajira au kazi?

    Tupo kwenye dunia ambayo mageuzo ni makubwa na athari ni kubwa hasa kwa jamii ambayo haijajiandaa. Mbaya zaidi mageuzo hao hayajali umejiandaa au hujajiandaa, umeelewa au hujaelewa. Hivi leo, kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya teknolojia, dunia inakabiliwa na changamoto...
  9. Ukitaka kujua mwanamke wako anachepuka tazama Miamala

    Mdau mmoja katika mitandao ya kijamii ameshauri ukitaka kujua mke wako, au mwanamke wako anachepuka basi husiangaike na meseji za Whatsapp au meseji za kawaida. Maana uwa zinafutwa, mara baada ya kumaliza mazungumzo. Hata hivyo hakuishia hapo, akatoa suluhu za njia mbadala ya kugundua mke wako...
  10. Mungu siyo mtumwa wako, hafanyi kamwe mapenzi yako

    Hakuna anayeishi kwa ajili yake “Mungu wangu, mungu wangu mbona umeniacha”, hii ni kauli ya Yesu alipokuwa msalabani anakaribia kufa, na muda mchache baadaye Yesu alikufa, kumbuka kama yasemavyo maandiko, 'Ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko". Mungu sio Mungu wa wafu ni Mungu wa...
  11. Mliyeoa/kuolewa utakuwa tayari kurudiana na baby wako

    Ikitokea leo hii ndoa zote zikavunjwa hlf mkapewa hiyari ya kurudiana na baby wako kwa aliye tayari. Je utakuwa tayari kurudiana na huyo baby wako? **Mabarubaru peni na karatasi ziwe karibu mchukue notes apa.
  12. CDF Gen. Mkunda tafadhali tupitie pamoja hizi baadhi ya Kauli za Raia waliopokea Kipondo cha MP wako Lugalo na Kauli za Wazazi wao kisha tuzielewe

    Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa "Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa Wanajeshi wasije kushinda nasi huku Kawe Kisasi nitakilipiza tu" Mdada aliyepokea Kichapo kutoka kwa MP wa...
  13. R

    Mrisho Mpoto utalaaniwa milele na uzao wako kwa kuwadhalilisha/kuwadhihaki walioalikwa Ikulu utiaji wa saini mikataba ya Bandari

    Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
  14. Mpenzi wako alikutafutia sababu gani ya kukuacha?

    Mapenzi yanapoanza yanakua matamu kama asali ila mkishachokana yanakua machungu kama shubiri mwishowe mnaachana Katika kuachana kuna sababu mbalimbali huwa zinatolewa na wapenzi wetu ambazo zinapelekea wao kutuacha Mimi mpenzi wangu aliniambia "Daydream me naona tuachane" nikamuuliza kwanini...
  15. M

    Is it true kwamba serikali Iko answerable kwa maaskofu au maaskofu ndo wako answerable kwa serikali?

    Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe? Nendeni kwa kiduku kule Korea kaskazini muone ubabe wake, hamna kanisa hata moja kule especially hata imported. Kwanza...
  16. 85% ya Wezi / Matapeli wa Mitandaoni ( Tuma kwa Namba hii ) wanatokea / wako Ifakara Mkoani Morogoro

    "Huwa wanakaa katika Nyumba Moja huku Wake zao wakiwa busy kuwapelekea Vyakula. Na baadhi yao ni Wasomi wakubwa sana tu hadi wana Doctorates ( PhD ) zao" Nukuu hii nimeitoa EFM Radio Asubuhi hii baada ya kumsikia Bwana Innocent Mungi Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wizara ya Habari na...
  17. MPENZI wako alishawahi kulala usingizi wakati mna-do?

    Nipo na shosti hapa analalamika kuwa Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea Eti unamsaidiaje shosti wangu??
  18. Unachokitafuta kwa mchepuko, kuna mtu kakiona kwa mke wako

    Nawasalimu kwa salaamu pendwa,ya kitaifaaa. Kazi iendeleee. Endelea na kazi ya kukitafuta hicho kitu kwa mchepuko, lakini kumbuka Kuna mtu KAKIONA kwa mkeo. Na tukumbushane tu kuwa, ukisema cha Nini wenzio wanalia wanasema watakipata lini. TULIA KWA MKEO.
  19. Dick Cheney: Sitaomba msamaha kwa kuweka familia yako salama

    Wengi mtamkumbuka Cheney kama makamu wa Raisi wa George Bush. Cheney alipitia criticism sana kwa kuwa ali engineer kufanya vita dhidi ya Iraq na mataifa yoyote yaliyo husishwa na janga la gaidi 2001 pale World Trade Centre. Katika moja ya interview yake ya mwishoni mwa career yake ya uongozi...
  20. Zawadi gani nzuri ya kumpa mpenzi wako

    Mm girlfriend wangu huwa namnunulia makufuli tu huwa ana enjoy sanaaa. Nikiwa high school kuna jamaa mmoja aliwah kumzawadia demu pedi ..aiseee yule demu alipandisha moriiiiii akataka kukunja ngumi na jamaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…