wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Ma boyfriends wa mke wako mtarajiwa wapo kwenye group lako la harusi na wanachanga

    Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana. Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea kua mi ndio naolewa ila urafiki wetu ubaki(kwa akili za wanawake) so sababu na wanaume wa kisasa wapo...
  2. shibela

    JamiiForums Tanzania Ndugu/ jamaa akikwambia amelazwa hospitali nenda kamuone pengine anahitaji Msaada wako sana!

    Ilikuwa ni asubuhi na mapema mwezi uliopita, nimeamka ili niende kwenye mihangaiko yangu,ghafla nikasikia tumbo kama linakatwa na kisu Ile shwaaaa! Nikashtuka nini hiki,nikajikaza hapo nikaendelea kujiandaa,kadri muda ulivyokua unasogea na maumivu nayo yanazidi! Nikawa sielewielewi shida nini...
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  4. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumuambukiza VVU mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya dawa za kupunguza makali ya VVU yanaondoa kabisa uwezekano wa kumwambukiza mwenza wako wa kingono

    Ukiwa unaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na ni mtumiaji mzuri wa dawa za kupunguza makali ya VVU, na kufikia kiwango cha kufubaza virusi vyote, kitaalam undetectable viral load, na ukawa unaendelea kutumia dawa za kufubaza virus -ARVs, basi jua huwezi kabisa kumwambukiza mshirika...
  6. NESARA1952

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

    Habari wakuu Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki vyema mambo yote hata yale ya kujamiana na sote tulifurahia, kwasasa tumeachana lakini sina...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ukiongea ndiyo watu hukujua uelewa wako. Nimemsikiliza Juma Homera RC Mbeya. Makonda na mauza uza yake ya nyuma ni RC bora.

    Nimefuatila ibada mbashara ya kumuweka wakfu Ask. Robert Pangani wa kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi - Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Rais Dr. Samia ambaye amewakirishwa na Naibu Waziri Mkuu. Mkuu huyu wa mkoa ni mweupe kanisa, hajui itifaki, kwanza amepewa nafasi kumkaribisha...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Waliohusika ufisadi report ya CAG mwaka huu walisha ombewa msamaha kwa Raisi hivyo wako huru

    Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana. Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana. Kamati...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kugombana na mwenza wako kwasababu ya hizi Dawa?

    Leo Mjanja M1 nimetafakari sana kuhusu mfanano wa hivi vipakiti vya dawa ya Mbu na Ndom. Je ushawahi kupata msala wowote kwasababu ya hivi vipaketi?
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nani mchezaji wako bora wa Yanga (MVP) kwa msimu huu wa 2023/24

    Naaaje wazee! Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni. Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili na dhidi ya wana lambalamba. Tukirudi kwenye mada, msimu huu ni miongoni mwa misimu Bora kwa Young...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ni nani mchezaji wako bora wa Simba SC kwa msimu huu wa 2023/24?

    Naaaje wazee, Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu: 1. Nafasi ya Pili 2. Nafasi ya nne 3. Kujinasua kucheza Playoff 4. Kujinasua kushuka daraja Tutakuwa tunakutana kwenye nyuzi kujadili mambo mbalimbali ya msimu huu unaoisha...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

    Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana. Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua...
  13. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Wapiga picha na walio wai kupiga picha kujeni hapa

    Kwema ndugu zangu, leo nikiwa naelekea kuwapelekea wateja picha mtaani, nimekutana na binti mmoja akiwa na watoto wawili. Nikiwapita hadi mbele kidogo, nikashangaa kuna dogo ananifata na kuniambia, "Dada anasema uje umpige picha Jumatatu." Sasa ikabidi nigeuke, nikamwona huyo dada kasimama...
  14. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mdau kumnunulia mke wako simu na kumpangia matumizi unaionaje?

    Baby nakupa simu hii ila sitaki ujiunge na magroup ya whatsapp,facebook na mitandao mengine,simu hii ni kwa ajili yangu na ndugu tu. Ujanja au ushamba?
  15. covid 19

    JamiiForums Tanzania Utani gani umewahi kumtania mpenzi wako ikawa ndio sababu ya yeye kukuacha au kusababisha ugomvi mkubwa.

    Mimi nilimwambia aache ubishi maana kwao wanatabia za ubishi isee kiliumana sana..akanitukana eti nina mb*** kama filimbi. Isee nilikiamshaa alivyoondoka nikamblock kabisa.. Wewe ilikuwaje kwako!
  16. O

    JamiiForums Tanzania Peleka mshahara wako wa Kwanza kwa Baba yako sio mchungaji wako ubebe bataka zako

    https://www.instagram.com/reel/C6wky19Nd4U/?igsh=MXg1dDR5bWhzNno5bg==
  17. Room 28

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamiii nyingi za watu warefu wana IQ ndogo lakini wako emotional violent??

    Wakuu katika tafiti zangu nimegundua hiki kitu!! Kina ukweli asilimia ngap? Twendeni kwa hoja
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Baba, huwa unahudhuria Matukio yanayofanyika Shuleni kwa Mtoto wako au ndio kwa bahati mbaya?

    Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kupigwa na Mwenzi hata kama umekosea?

    Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni mwa mashirika ya kutoa huduma za kifedha mjini, ameamua kwenda kuripoti kwa mjumbe baada ya...
Back
Top Bottom