sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Familia nyingi huwa zina tamaduni zake katika mambo mbali mbali ikiwemo matumizi ya lugha za kikabila (hasa alikotokea baba)
Kwenu kwenye kusalimia wazazi / walezi ni lugha ipi ilitumika ?
Mzee ni wa kanda ya ziwa, Binafsi sijawahi kumsalimu mzazi kwa salamu ya "Shikamoo" ni mwendo wa kilugha tangu najua kuongea