Ni tabia gani uliweza kumbadilisha mke au mme wako?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,718
Kwenye maisha ya mahusiano Mara nyingi hutokea watu wakakutana na hawajuani wala hakuna mwenzake ana fahamu mwenzake kakuaje au kapitia maisha gani,

Ni Mara chache sana hutokea wakakutana au kuoana waliokulia sehemu moja na kujuana,

Mm kuna baadhi ya tabia ambazo nilimkuta nazo mke wangu na nimeweza kumbadilisha,

Mfano:
Alikuwa anapenda kuvaa suruali lakini sasa havai tena baada ya Mimi kumwambia sipendi kumuona amevaa tu suruali pekee kwa sasa havai kabisa,

Pia alikuwa na asili ya uchoyo au ubinafsi hasa kwenye chakula, kwa sasa hana tena hiyo tabia

Kingine alikuwa anasukia nywele za bandia lakini kwa sasa anasukia tu za kwake mwenyewe,

Hizo ni baadhi tu ila kuna ambazo bado napambana kumbadilisha, kama ukimgombeza utaongea mwenyewe mpaka uchoke hakujibu, na akijibu maramoja tu anakaa kimya, mzito kusema nisamehe, hata kama amekosea,

Pambana muwekane sawa mapema mkifikisha miaka kumi mko pamoja na hamjasomana ni heri tu kila mtu atambae.
 
Hyo tabia ya kukaa kimya na kutokuomba msamaha, Kuna Girlfriend wangu anayo nlikuwa napanga kumuoa lakn machale yashanicheza tayari. Naona ni Element ya Kiburi & Dharau sidhani kama atabqdilikq.
 
ubishi + ujuaji
 
why umbadilishe
 
Miaka Kadhaa nyuma, nilibahatika kupata dada mmoja mbabe, asiyejua kupika kwa Viwango ninavyotaka mimi, mgumu wa kuomba msamaha na mengineyo.
Hakua Pisi kali kama Vijana wasemavyo ila alikua na muonekano wa kuwa mke.

Nikaanza nae Taratibu kumbadilisha katika uchumba.... Nikamfundisha Kupika kwa Viwango ninavyotaka akatia bidii akajua mpaka kupika chapati laini za kusukuma.

Akaanza Kuvaa kwa namna ninayotaka mimi kwa maana Alikua na staili yake moja imekaa ki ushagoo ushagoo.

Nikamfundisha ukikosea unaomba msamaha somo Likaeleweka na kusema aksante ikawa ni order of the day.
Tukaanza kwenda Kanisani pamoja kusali. Kiufupi Akawa wife Matirio.

Ile napanga sasa nikajitambulishe Kwao rasmi niweke chombo ndani kuna kishetani Kikapita akanifumania live bila chenga yaaani Mbashara nipo juu ya kifua cha kabinti kamoja nashughulika! NILIACHWA NIKAACHIKA. baada ya mwaka akaolewa na mshamba mshamba mmoja huko kanda ya Ziwa... Niliumia sana kwa kumtengenezea mwanaume mwingine mke mwema.
 
Asee wanawake huwa hawaombagi msamaha, mostly atajitahidi kusema “basi nisamehe” we baada ya kumkanya angalia amebadilika au la,

Huyo unaemtafuta utahangaika sana kumpata
 
Back
Top Bottom