wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga na Simba kuingia Robo Fainali katika mashindano yao wanayoshiriki siyo mafanikio

    Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA AFRIKA yaliyofikiwa na vilabu hivi eti tunaita MAFANIKIO. Huo ni UONGO, UZEMBE NA UDWANZI, mafanikio...
  2. T

    Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

    Inasikitisha na kutia aibu sana! Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho. Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku...
  3. Askofu Severine: Kwa vyovyote vile MAGUFULI hawezi kusahaulika maana ameacha Alama za utendaji kazi wake mzuri

    Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa. Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM. Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
  4. D

    Hizi pongezi Kwa Rais Samia zina nini nyuma yake kama sio kumbeza na kutweza utu wake?

    Imezoeleka Rais Mpya aliyeko madarakani kuadhimisha siku 100 Ikulu, utaratibu ambao nchi nyingi zimeiga kutoka Marekani. Baada ya hapo Rais anaachwa kuchapa kazi. Hata Joe Biden baada ya zile siku 100 hatukusikia tena akipongezwa Kwa mwaka mmoja au miwili au vinginevyo. Siku 100 imewekwa...
  5. Hizi ndizo zama za kila mtu abebe msalaba wake, njia ya msalaba

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shida zako zilikuwa za familia, ukoo na jamii nzima. Furaha yako, ilikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Mtoto wako alikuwa wa familia, ukoo na jamii nzima. Maadili yako yalikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Huko ndiko tulipotoka, tumefika hapa ndiko...
  6. Kafariki akiwa amejifungia ndani ya ofisi yake, Mke wake alaumiwa

    Imetokea leo mchana maeneo ya kituo cha bandari Kurasini. Kuna jamaa ana ofisi yake (frame) ya kuziba pancha na kuongeza upepo ni jirani yetu kabisa na ofisi yetu ndogo (branch) ambayo huwa napita siku moja kila wiki. Huyu jamaa ni mkimya sana sijawahi kuzoeana nae ila salamu tu na nimewahi...
  7. Mdomo wa Adam Mchomvu, tabia na mwenendo wake

  8. Tetesi: Lowassa anapigania uhai wake nchini Afrika Kusini

    Hali ya kiafya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, inaelezwa kuwa ya kutoridhisha katika siku za karibuni na kwamba sasa “anapigania uhai wake”, Gazeti la Dunia linaweza kuthibitisha. Lowassa anayetarajiwa kutimiza umri wa miaka 70 Agosti 26 mwaka huu, amelazwa nchini Afrika Kusini...
  9. Mbunge Eng. Mwanaisha Ulenge atoa mchango wake katika Mkutano wa 146 wa IPU

    MBUNGE MHE. ENG. MWANAISHA ULENGE ATOA MCHANGO WAKE KATIKA MKUTANO WA 146 IPU Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ashiriki katika Mkutano wa 146 kwenye Bunge la Dunia kupitia Jukwaa la Wabunge Vijana katika Umoja wa Mabunge ya Dunia. Mnamo tarehe...
  10. Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  11. O

    Houseboy' ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua bosi wake

    Arusha. Mfanyakazi wa ndani wa kiume (house boy), Ismail Sang'wa (28), amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua kwa kumkata shingo na panga aliyekuwa mwajiri wake Emily Kisamo (52) Kisamo alikuwa Ofisa wa Intelijensia wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (Tanapa). Hukumu hiyo...
  12. S

    Wazee wetu waliishi miaka mingi sana sababu walioa wake wengi

    Ukifanya utafiti chanzo cha vifo vya mapema vya wanaume wengi ni stress za ndoa. Mwanamke mmoja ukiishi nae anakuzoea anakuona sawa na mtoto mwenzake. Majukumu ya nyumba wanaachiwa wadada wa Kazi, hata ukizeeka Wana ungana na watoto kuwa kitu kimoja baada ya kuwalisha sumu, hawatambui mchango...
  13. Wale ambao wake zetu bila kuwaomba mzigo hatupewi tukutane hapa

    Yaani hata ukikaa wiki bila kushiriki mechi hauulizwi chochote wala haukumbushwi
  14. Mtu na bosi wake wakibadilishana mawazo...

  15. Chimbuko la CHADEMA na Viongozi wake

    Nitumie fursa hii kuwapa wasiojua utawala wa CHADEMA ulivyoanza kabla ya Mbowe na uhusiano wa viongozi wake. Mtei Ni muanzilishi na Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, alikuwa gavana mkuu wa benki kuu (BOT) na Waziri wa Fedha kipindi cha Nyerere. Bob Makani Huyu alikuwa mwenyekiti wa pili wa...
  16. B

    Hotuba na Ziara za Hayati Magufuli zilikuwa zinafuatilia sana kuliko zile za Mrithi wake

    Asalaam Aleykum wana JF. Nawapenda sana. Nadondoka kwenye mada moja kwa moja. Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Watanzania wengi sana. Hii ni tofauti ukija kwa Hotuba na ziara za mrithi wake ambaye...
  17. Katuni hii Ina utamu wake, nimeielewa Sanaa!

  18. Kuna utofauti wa mke wangu na hao wake zenu sometime wana act kama dada poa

    Hivi fikiri mke wa mtu anavaa nguo fupi sana haipiti magoti halafu mbaya zaidi akikutana na wanaume anaweka kanga ili wanaume wasione mbunye huo si Udada poa? Wake zenu wanavaa Madera marefu halafu anatumia mkono wa kushoto kulishikia huo ni uchangudoa nawaambia Mke wangu yeye ni full stara...
  19. B

    CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake mashuhuri

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  20. B

    CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake maarufu

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.* Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…