Ninapoisema Media za Tanzania na Wanahabari waache ujuha na kujipendekeza muwe mnanielewa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,033
Tafadhali GENTAMYCINE nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha isome hii taarifa ninayoiweka hapa chini mara mbili mbili na ukiimaliza nitashukuru nikipata mrejesho wako juu ya kile Kisichokuwa cha Kawaida ulichokigundua na Kilichoshusha pia Credibility ya hii Media ya Bamaga Dar es Salaam ya Mheshimiwa Mbunge mwamba wa Kukopi na Kutafsiri Hadithi zilizoandikwa na Watunzi Nguli duniani na Kuziandika kwa Kiswahili na Kuwadanganya Watanzania kuwa Kazitunga Yeye.

globaltvonline Rais Samia Suluhu Hassan ameweka rekodi ya kuujaza Uwanja wa Samora kwa mwaka 2025, kufuatia mkutano wake alioufanya leo Oktoba 17, 2023

Haya Great Thinkers wa JamiiForums nasubiria Michango yenu huku kwa sasa tukiwa tupo mwaka wa 2025 badala ya 2023.

Hizi ndizo Dhambi za Kujipendekeza kwa Mamlaka / Serikali (hasa Rais) ili awaone wa maana halafu GENTAMYCINE Kutwa nikiwa Nawadharau na Nawasema mnaona labda Nawaonea au Nawachukia.


Hovyo kabisa!
 
Tafadhali GENTAMYCINE nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha isome hii taarifa ninayoiweka hapa chini mara mbili mbili na ukiimaliza nitashukuru nikipata mrejesho wako juu ya kile Kisichokuwa cha Kawaida ulichokigundua na Kilichoshusha
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Back
Top Bottom