wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kama Kesi ya MADELEKA itaanza upya; mtuhumiwa wa pili ambaye ni mke wake kubaki na hadhi ya kukiri kosa haitapelekea MADELEKA kupatikana na hatia?

    Hukumu ya Mahakama iliyotolewa dhidi ya MADELEKA imemwacha pembeni mke wa mtuhumiwa ambaye walituhumiwa kutenda makosa wakiwa pamoja; kwa tafsiri nyingine ni kwamba mke amebaki kukubali plea bargaining lakini mme amekataa utaratibu wa plea bargaining; Kwa kuwa mke hadi sasa kwa hukumu au...
  2. R

    Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
  3. B

    Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

    Igweeeeeeeeee, Mambo vipi wakuu? Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu. Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka...
  4. Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  5. B

    Hivi Tanzania imewakosea nini viongozi wake?

    Tanzania ni mojawapo ya nchi nzuri na ya kuvutia duniani. Inazo raslimali za aina mbalimbali na zingine ambazo huwezi kuzikuta sehemu nyingine duniani. Kwa ufupi, Tanzania ni moja kati ya nchi tajiri sana duniani, japo watu wake wengi ni maskini wa kutupwa. Umaskini wa Watanzania umechagizwa...
  6. Mtwara: Wanaume walalamika kurukishwa kichurachura ili wapewe tendo la ndoa

    WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku...
  7. NHIF yakamata kadi 1,346 zinazotumika na wasio wanachama wake

    Kumbe si kila anayekwenda hospitali na kadi ya bima ya afya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kupata huduma ni mwanachama wa mfuko huo. Wapo wanaofanya janjajanja ya kuazima kadi za wanachama na hatimaye kwenda kupata huduma ilhali si stahiki yao. Hilo linathibitishwa leo Jumanne Julai...
  8. Nahitaji darubini (binoculars) mwenye ujuzi wake juu ya specifications bora na bei

    Wandugu nahitaji kununua darubini kionambali naomba kama kuna anayejua aina zake ubora wake bei zake na mahali zinapopatikana hapa tanzania. Na je sheria hazina tatizo juu ya umiliki wa darubini? Wajeda hawawezi sumbua nikiwa nayo? Asanteni
  9. MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

    Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa...
  10. Mjumbe wa kamati kuu ya CCM amuomba Askofu Mwamakula kumfikishia ujumbe wake kwa Wananchi kuhusu mkataba wa bandari Ili asifukuzwe uanachama

    Ujumbe ufuatao umetoka kwa mwanachama wa CCM ambaye amekuwa Mteule wa Rais wa muda mrefu. Kwa kuogopa kufukuzwa CCM, ameomba afikishe ujumbe kupitia kwa Askofu. Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Kwenye vikao vilivyoisha (Kamati Kuu ya CCM na Halmashauru Kuu ya CCM) imeelezwa kuwa Wajumbe...
  11. Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

    Bandiko liko Instagram
  12. R

    Je, hawa waandishi wa hivi vitabu vinavyohusu mazuri ya Hayati Magufuli wote wanatumiwa na wafuasi wake?

    Habari jf ,tuweke hisia pembeni. Je, wanatumika au shujaa anastahili sifa zake?
  13. Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi. Nimemwambia urudi kijijini...
  14. Naomba kujua Faida yoyote ya Jeshi lolote la Afrika Kuficha Taarifa za Kuuwawa kwa 'Ambush' kwa Wanajeshi wake

    Majeshi ya Bara la Ulaya, America, Mashariki ya Kati na Mashariki ya mbali huwa hayana Upuuzi wa Kuficha au Kuwaficha Wananchi wa Nchi zao Taarifa za Kuuwawa kwa Wanajeshi wake katika Ambush wakiwa Vitani au katika Misheni za AU au UN. Ila kwa Bara la la Afrika Majeshi yao hupenda sana kuficha...
  15. S

    Nilikuwa na Wake Wengi Kabla Sijaokoka. Sasa Nimeokoka, Je! Niwaache?

    Nilikuwa na Wake Wengi Kabla Sijaokoka . Sasa Nimeokoka , Je! Niwaache? Je Mkristo Kuwa na Wake Wengi Ni Dhambi? 💫💫💫💫💫 ©️ Mwl. Makungu Ms 0743781910 Suala la binadamu kuishi mfumo wa maisha ya kuwa na wake wengi limekuwepo tangu nyakati za mwanzoni mwa ulimwengu. Miongoni mwa...
  16. Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

    Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world) Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye...
  17. Mji wa Tanzania ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli

    Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli? Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'. Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa...
  18. Kipanya katika ubora wake

    Umemuelewa na anamaanisha nini?
  19. Rose Muhando: Ruge alinuia na kujiapiza kuuwa vipaji vya wakongwe wa gospel ili aweke wake

    Star wa music wa injili afrika mashariki na Kati Rose Muhando amefanya mahojiano na Rabbi TV ya nabii Malisa wa mwanza na kusema marehemu Ruge alimtamkia kuwa wakongwe mlinga nitawanyoosha kwa kuibua vijana wapya mbele ya wasanii wakongwe wote walipokataa kupiga kazi kwenye tamasha la kidunia la...
  20. Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

    Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi. Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…