POLEPOLE ANA MGOMBEA WAKE MFUKONI?
Lilipoulizwa swali la huenda kupitishwa kwa mgombea mmoja kwenye kugombea nafasi ya Urais ikawa ni uoga wa kushindwa kwenye mkutano mkuu, Dkt. Dennis Muchunguzi anasema hakuna uoga wowote kwasababu wajumbe wa mkutano mkuu ambao ndio WAPIGA kura ndio waliamua...