"America inalinda wananchi wake, lakini Kenya ndiyo ibebe risk?"

"America inalinda wananchi wake, lakini Kenya ndiyo ibebe risk?"

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
368
Reaction score
238
IMG-20260530-WA0043.jpg

Wakenya wengi wamekasirishwa na taarifa za mpango wa kuweka Ebola quarantine na treatment facilities nchini Kenya.
Kwa mujibu wa mjadala unaoendelea online, Marekani inasema priority yao ni kulinda raia wao dhidi ya Ebola kwa kuzuia ugonjwa huo kufika nchini humo. Lakini wananchi wengi wanauliza, "Kama ni hatari kwa Wamarekani, mbona iwe salama kwa Wakenya?"
Wengine wanasema serikali ilipaswa kwanza kufanya public consultations kabla ya kuingia makubaliano yoyote yanayohusu afya ya umma.
Mitandaoni, baadhi ya wananchi wameeleza kuwa hatua hiyo inaonyesha jinsi mataifa makubwa yanavyo-prioritize interests za wananchi wao kwanza, wakati nchi zinazoendelea mara nyingi hubeba mzigo wa hatari.
Kwa sasa, mjadala mkubwa unaendelea: Je, Kenya itanufaika kutokana na mpango huo, au wananchi ndio watabeba risk wakati mataifa mengine yakijilinda?
 
Back
Top Bottom