wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Njia ya uzazi kutokufunguka wakati wa kujifungua

    Kufitika au kupungua kwa mlango wa uzazi (Cervical effacement) huwenda sambamba na kupanuka au kufunguka kwa njia ya uzazi (Cervical dilation): Kupanuka kwa mlango wa uzazi ni wakati njia inapofunguka inapimwa kwa sentimita. Ikiwa njia imefunguka kabisa kikamilifu inatakiwa kupanuka kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Sauti ya mluzi kifuani wakati wa kupumua

    Kusikilizwa kwa sauti za kifua (Chest auscultation) hutumika kubainisha sauti za pumzi na milio ya sauti ya upumuaji. Sauti za kawaida za kupumua huitwa 'vesicular', hufafanuliwa kuwa tulivu kama sauti ya upepo unaovuma kupitia majani ya mti. Katika hali mbaya, kifua kinaweza kutoa sauti ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tambua haya wakati unaachana na Umasikini

    Badilisha tabia ya umasikini Tabia iliyokusaidia kuishi wakati wa umasikini ndo inayoendelea kukufanya maskini. Maisha yakibadilika ni muhimu na tabia yako ibadilike. Hauwezi kuua umasikini Unachoweza wewe ni kujitoa kwenye umasikini. Hata kama ukitaka kumsaidia mtu. Utambue kwamba huyo mtu...
  4. JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sasa wa kuwa na Wizara ya Malalamiko (Ombudsman)?

    Habari za Wakati huu, Kwanza niseme tu kwamba andiko hili limekuwa inspired na Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariako pamoja masuala mengine ambayo yamejitokeza hapa nchini katika kipindi cha nyuma.Kimsingi kama nchi tunao mfumo wa kiserikali ambao unahusisha Bunge,Serikali na Mahakama.Hata hivyo...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati Gani Mtu Anapaswa Kufa?

    Ni wazi kwamba kifo kipo na kitatokea kwa kila mtu. Kwa asili, kifo sio jambo baya; ila jambo baya ni, namna kifo kinavyotokea na pia kushindwa kujua kwa uwazi nini kinaendelea baada ya mtu kifo. Tunapata uchungu na huzuni mkubwa ndugu zetu wanapokufa si kwa sababu ya kifo chenyewe isipokuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kipi kinafanya wasafiri wengi kupendelea kukaa dirishani wakati wa safari?

    Ndugu zangu, kwanini wasafiri wengi hupendelea zaidi kukaa dirishani iwe kwenye basi ndege hata meli wakati wa safari? Kuna watu wakikosa siti dirishani wapo tayari kuairisha safari.
  7. JamiiForums Tanzania Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

    Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani. Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana. Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
  8. JamiiForums Tanzania TBS CERTIFICATE: Yakazi gani dukani wakati duka sio kiwanda au mali ya kiwanda.

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Benaya Kapinga asisitiza Dawa na Vifaa Tiba vipelekwe kwa wakati sehemu za kutolea huduma za afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo la...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Benaya Kapiga Asisitiza Vifaa Tiba na Dawa zipelekwe kwa Wakati Maeneo ya Kutolea Huduma za Afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Mhe. Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania CCM mbeLe kwa mbele: Wakati wa wafanyakazi, wanasiasa na wakulima nyie wafanyabiashara mnasema hayawahusu

    Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe. Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata Degree bado hawezi ku link maisha yake na siasa, uchumi, Sheria, biashara, kilimo. Yeye anaona mambo...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Membe kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wakati yeye ni jasusi?

    Poleni na msiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana. Kama kuna watu tumepoteza kama taifa Basi ni Membe na Mahiga...
  13. JamiiForums Tanzania Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia. Membe ambaye...
  14. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Mwaka 2022/23 Wajawazito 943 walifariki dunia wakati na baada ya Kujifungua

    Akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni, Waziri Ummy Mwalimu amesema kwa mwaka 2022/23 jumla ya Wanawake 2,028,151 (98%) walihudhuria Kliniki kwa mara ya kwanza kulinganisha na Wajawazito Milioni 1.5 wa mwaka 2022. Pia, amesema kwa upande wa Huduma za Wakati na Baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Nchi zenye Waislam wengi Ukristo hupigwa vita usiwepo wakati Nchi iliyojaa Ukristo kuna uhuru wa kuabudu?

    Mfano ni nchi kama Nigeria tu hapo Waislam ni asilimia 50, Wakristo asilimia 40 Utakuta kanisa limebomolewa, Kanisa limelipuliwa, Wakristo wanatekwa au Wakristo wanauawa?
  16. JamiiForums Tanzania Uzi wa nyimbo zilizotuvutia majeshini na kwenye scouts wakati wa mafunzo

    Nyimbo tulizojufunza majeshini mafunzoni na kwenye mchakamchaka. 1. Baku babakubaba siitikii. 2. Inkalankala inka. 3. Nasoro unantafuta. 4. Impiizaaa. Ongezea nyingine
  17. JamiiForums Tanzania Wakristo, waislam, walevi, maDJ na wezi muwe watulivu wakati NEMC wakifanya kazi yao halali

    Nimefurahi sana kusikia NEMC wameanza kuwashughulikia wapiga kelele wanaosababisha zogo mtaani na kuwafanya raia wengine wakose raha na utulivu. Kipekee kabisa naomba NEMC wamulike zaidi makanisa, misikiti, vigodoro na wauza muziki (wezi wa kazi za wasanii) kwani hawa ndio wamekithiri kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wakati huu Simba ihamishie nguvu kudai katiba mpya kuliko kukaa

    Nadhani kwa wakati huu kuliko kilabu ya Simba kukaa tu bila any specific mission au kazi maalum (uzururaji) ingeweza kusaidia nchi katika kutoa maoni na kuhamasisha wananchi kuhusu katiba mpya walau ingekuwa mchango wao katika jamii kuliko kukaa tu huku baadhi ya wachezaji wakianza kuota vitambi...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati dunia wanaelekea kwenye matumizi ya AI CCM wao wako bize kupambana na CHADEMA

    Wakati nikitafakari maendeleo ya wanasayansi wa Uingereza kutumia DNA za watu watatu tofauti ili kuzalishaji mtoto mmoja kwa lengo la kuzuia magonjwa ya kurithi yasiyoambukiza na kutibika, nikawaza sisi Tanzania wanasayansi wetu wanasaidiwa vipi na CCM kufanya tafiti mbali mbali kwa maslahi ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wakati tunapiga kelele za Bar kufungwa kuna watu wanauza kiwanda cha Tanga Cement awataki mbambamba

    Mhe. Waziri WA Fedha Bila kujali kesi zilizowahi kufunguliwa na kuamuliwa kwenye mabaraza mbalimbali amegongelea msumari kuunganishwa Kwa Tanga cement na Twiga cement Kwa maelezo kwamba serikali inaziona dola milion Mia NNE siyo zakuacha hivihivi. Nawakumbusha Tu maana mambo NI mengi uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…