wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, baada ya James Rugemalira wa IPTL kuachiwa huru, nini hatma ya majizi waliotajwa bungeni na Mh. Tundu Lissu?

    Je nini hatma ya wote hawa waliodaiwa kugawiwa hela za Escrow na James Rugemalira wa IPTL? Je hao watu walioitwa majizi na Mh. Tundu Lissu bungeni ndio tuhuma zilizowakabili zimefutwa na sasa nao hawana hatia? Je hii ina maana gani zaidi ya kwamba hizo hela walizovuna zilikuwa halali zao...
  2. Je Amoeba zinapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex?

    Habari ya majukumu wanajamvi, Naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex. Jambo hili nimeliona katika platform mbali mbali na coment mbalimbali humu hum Jfm, nilihitaji...
  3. M

    Hakuna wakati mwingine wowote zaidi ya sasa wapinzani kuchukua nchi kama kungekuwa na wapinzani wa kweli

    Kama tungebahatika hata kupata chama kimoja tu kinachojiendesha kitaasisi hapa Tanzania, 2025 tunge zungumza mengine, maana kilamtu leo anajua kuwa CCM inakuna nazi. Lakini lolote linaweza tokea kwani mama tayari amesema kunavijicho choko ndani tena vinapitia kwenye vijigazeti vya Uhuru.
  4. Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Salaam! Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki. Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka. Naombeni Kujuzwa kwa wale waliowahi kumbana na adha hii.
  5. Watoto Wawili Mapacha wamefariki Dunia wakati Mama yao akiwa busy live Facebook

    Watoto wawili mapacha wamefariki dunia baada ya kuporomoka kutoka ghorofa ya kumi wakati mama yao akijivinjari LIVE katika mtandao wa facebook. Mapacha hao Moise Petrice wa kiume na Beatrice Petrice pacha wa kike wamekumbwa na umauti huo baada ya kudandia katika dirisha lililokuwa wazi. Tukio...
  6. A

    Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

    Habari Wakuu! Kuna hii tabia ya Watu wanaoishi katika Nyumba zenye mageti, pindi wanapokuwa wanarudi majumbani mwao kuanza kupiga honi (wakati mwingine mfululizo) ili wafunguliwe mageti, hasa hizi nyumba ambazo mageti yake hufunguliwa na Mmojawapo wa mwanafamilia na sio Mlinzi. Hivi kuna...
  7. M

    Yanga tunajitoa kwenye mashindano: Caf wanaipendelea Simba! itakuweje sisi tucheze mechi 2 wakati Simba hajacheza hata mechi moja?

    Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja yenye nguvu sana!
  8. Wakati gani wa kuachana na Mahusiano yanayokuweka roho juu?

    Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka ni sharti kuwe na mstari mwekundu kwenye mahusiano. Ama sivyo?
  9. Nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote

    Mungu ni Mwema kila wakati. Wakuu tusaidiane mimi ni kijana ambaye nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote. Naomba mwenye msaada aniunganishe. Kiufupi nipo na Huwezo mkubwa wa kufanya kazi za nguvu katika site za ujenzi ....Mfano ujenzi wa barabara,Majumba n.k Nb hata maswala ya...
  10. Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
  11. C

    SoC01 Simanzi: Kumbukumbu za wafu na mapitio ya vita kubwa ya wakati huu

    Siku za hivi karibuni moyo wangu umegubikwa na simanzi nzito. Simanzi inayoletwa na kumbukumbu za zamani zenye kuhuzunisha sana. Kumbukumbu za wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki. Kumbukumbu za mambo yote tuliyofanya pamoja ambayo yalifanya maisha kuwa na maana. Kumbukumbu hizi...
  12. D

    Tatizo la Maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu. Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti. Mda mwengine...
  13. Je, kuna wakati Waethiopia walitawala Misri yote hadi Israel?

    wakati wa mfalme Asa wa Yuda (913-869 BC) kitabu cha pili cha mambo ya nyakati, sura ya 14. Mstari wa 9-14 kisa hiki kinasimuliwa. 9Zera, Mwethiopia aliishambulia nchi ya Yuda akiwa na jeshi la askari 1,000,000 na magari 300, akasonga mbele hadi Maresha. 10Asa alitoka akaenda kupigana naye...
  14. O

    SoC01 Nitafanya nini sasa na wakati sina mtaji? Sijui nianzie wapi, wala sijui pia nikakope kwa nani?...

    Haya ndiyo mengi yanayotawala katika vichwa vya watu wengi, kutokana na kila mtu anawaza kwa namna yake. Tatizo la ajira limeifanya jamii itafute njia thabiti itakayoweza kuwakomboa watu katika janga hili la ukosefu wa ajira. Lakini swali la kujiuliza vipi litamalizika tatizo hili katika bara...
  15. Aliyoyazungumza msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akizungumza na wanahabari leo jumamosi septemba 04, 2021

    ALIYOYAZUNGUMZA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NDUGU GERSON MSIGWA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JUMAMOSI SEPTEMBA 04, 2021. 1. BEI YA MAFUTA. Palitokea taarifa mbili, EWURA walitoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta na baadae kusitisha bei hizo. Ufafanuzi wa Serikali ni kwamba baada ya bei...
  16. Kuchumbia kunanipa changamoto sana kwa wakati huu

    Habari wakuu.. Mimi ninakutana na changamoto kubwa Sana ktk swala la kutongoza, ..Kama munavyojua shida iliyoko mtaani hasa kwa wale tuliomaliza vyuo ajira ikawa shida kimsingi tunaendelea kuparangana mtaani kusaka mkate wa kila siku vurugu mbalimbali na kimsingi wengi wetu maisha hayajakaa...
  17. Ukipigwa kirungu na demu wakati wazungu wanataka kutoka utaweza kukikwepa?

    Hi gentlemen! Siku moja huku nampiga demu mmoja hivi aliyejaaliwa utamu nilipigwa kirungu( niliombwa nitoe ahadi yoyote) kipindi ambacho kichwa cha juu kimeishiwa nguvu dhidi ya kichwa cha chini. Duuuhhhhh, nilikomaa nikajifanya utamu umenikolea siwezi kuongea ili tu nisije kumwahidi kumpeleka...
  18. Jeshi la Polisi mnashindwa nini kuwakamata Magaidi wakati Modus Operandi yao ni ile ile miaka na miaka?

    Kitu kimoja cha kutia faraja ni kwamba matukio ya Ugaidi Tanzania yanafanywa kwa njia ile ile kila mwaka. Iwapo jeshi la polisi watakua makini kwenye kuchunguza ama kupeleleza ni rahisi kuwakamata. Tujikumbushe matukio ya Kigaidi yaliyotokea Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni kwa uchache...
  19. UN: Ukatili wa Kijinsia umeongezeka Afrika wakati wa COVID-19

    Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, ukatili wa kijinsia barani Afrika umeongezeka maradufu katika kipindi hiki cha mlipuko wa UVIKO-19. Kwa mfano imeelezwa kuwa huko nchini Kenya wanafunzi takribani 4000 walipachikwa mimba wakati shule zilipofungwa kipindi cha zuio la kutoka...
  20. R

    Tujadili: Hakainde Hichilema, Rais wa Zambia, amewafukuza Makamishina wa polisi kwa kukiuka maadili ya kazi zao wakati wa Lungu

    Swali: 1. Hawa walikuwa wanatekeleza amri za Lungu, sasa unamuachaje Lungu ambaye alikuwa anabariki mateso yote? 2. Kama Lungu alitenda makosa nje ya mamlaka yake, kwa kuvunja katiba na sheria za nchi, ukimwajibisha kwa HAKI ni makosa? 3. Kwa walioonewa na kukosewa haki zao za msingi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…