Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni.
"The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani unaojulikana kwa kuwa na mafuriko kila mwaka, imemtangaza beki kutoka KMKM Zanzibar...
Ndivyo hali ilivyo Zanzibar, watu walianza kuvimilia vumilia sasa kila mzanzibar analia na vitu vya chakula kupanda bei tena kwa speedi ya kutisha sana.
1. Mkate wa Boflo ambao ndio mkate kila mzanzibar anakula sasa ni Tshs 250/- badala ya 200/=
2. Mchele ambao ndio chakula kikuu kwa maisha ya...
Kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Watumishi wa Kisiasa [Political Service Benefit Act] iliyotungwa wakati wa serikali ya awamu ya tatu chini ya Rais Hayati Benjamin W. Mkapa, mstaafu huyu wa "kujiuzuru kwa kulazimishwa" yuko entitled kupata mafao yafuatayo;
1. Kiinua Mgongo [Gratuity] cha 50%...
Mh.Rais,
Kwa kuwa kisiwa cha Zanzibar ni chanzo kikuu cha vivutio vya kitalii, ukizingatia wewe ni mzaliwa wa Zanzibar basi fanya kila unaloweza kabla hujamaliza kipindi chako cha urais wa JMT ujenge daraja kubwa linalopita juu ya bahari kutoka Bagamoyo mpaka Zanzibar ili hata wenye magari...
Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema zimefunguliwa ghafla uku wengi wa wambea hao wakiwa wanahoji...
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto.
Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama...
Makala maalum toka maktaba ya JF:
https://www.jamiiforums.com/threads/hamuoni-inavyopendeza-rais-samia-akiwa-magogoni-na-dkt-mpango-akibaki-dodoma.1873766/#post-39142626
KURUDISHA UHURU WA MIHILIMI MITATU YA DOLA TANZANIA, KATIBA ITAMKE KILA MHIMILI UWE NA MAKAO YAKE KTK MIJI TOFAUTI
Dodoma...
Kuna kina mama walikuwa sideways wakati ndugai akiongea...na walimsupport. Ndugai alisema hii ni sahihi sijui hii ni sawa. Kuna mmama mmoja akasema 'not at all.
Hao nao hawana budi kuondoka naeee.
Haki tena. Mwenye ile video aweke.
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam wakati akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19
Amesema "Nataka niwaambie nitatoa list mpya [ya mawaziri] karibuni. Wale ninaohisi wanaweza kwenda na mimi...nitakwenda...
Huko bungeni vururuvururu tu!,wamejazana kijani tupu na wale kumi na tisa waliingia kimazabemazabe!.
Uwazirini wengi wamerithiwa na wanaowekwa kama hawajitoshelezi,nafasi ya waziri mkuu imekuwa mguu ndani mguu nje!.
Makamu wa rais nae kimya sana Kama hayupo..
Wengi wanaotaka kuteuliwa wamekuwa...
Muda mrefu wa Kumkaanga ( Kumsiliba ) Spika Ndugai ili 'Kukonga' Nyoyo za Watanzania ambao 95% wanapenda Kuendeshwa na Matukio, Majungu, Uzushi na Uswahili upo, ila muda wa Kuwaeleza ni kwanini kwa Magufuli Umeme ulishuka mpaka Tsh 27,000/= na sasa ( Kwako ) umepanda na kuwa Tsh 320,000/= haupo...
Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
Ili kupata ithibaki inabidi sasa muhamie upande wa kumtetea Rais. Mkibaki kushangaa shangaa mtakuja kupigwa chini Ndugai akiondolewa. Hili nawashauri. Anzeni nanyi kumrushia mawe na madongo akifa huku hamjarusha hata jiwe moja mtaonekana mlikuwa nyuma yake.
Lazima muwe wajanja kama nyoka. Kwa...
Kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya hii mihimili miwili sasa ni wakati muafaka wa watanzania kujua weledi wa bunge lao. Kwa hali iliyopo bunge makini lina options mbili tu nazo ni 1. kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais 2. Kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge. Bunge kuwa...
Bunge ni sauti ya wananchi, kama sauti ya wananchi kupitia spika wao inahoji juu ya mkopo ambao unakopwa kwa manufaa ya wachache wala sio wananchi alafu inabagazwa namna hii basi katiba yetu ina matatizo makubwa.
Tunahitaji katiba ambayo itaondoa madaraka makubwa ya rais kama mkuu wa Executive...
Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi.
Sasa kama mlipitisha tozo na mkadai kuwa zinajenga, shule, madarasa, zahanati na vituo vya afya...
KIFOMULA; ROHO YA MUNGU HUMSHUKIA MWANAUME WAKATI ROHO ZA KISHETANI HUMSHUKIA MWANAMKE.
Anaandika Robert Heriel.
Hatuandiki kumkashifu yeyote Ila tunaandika kufundisha na kuleta Uelewa wa mambo katika ulimwengu wa kiroho na elimu ya kimwili.
Katika Dunia hii zipo pande mbili zinazolingana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.