Tatizo la Maumivu wakati wa tendo la ndoa

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
9,523
7,839
Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu.
Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti.

Mda mwengine nawahi kukojoa hata kama nimepaka
Mda mwengine nikishapaka uume unapoteza nguvu kabisa na kulala
Lakini mda mwengine hua unasimama ila unakua na maumivu sana, Nikiingiza ndani ya uke napata maumivu, na hata akiushika kwa mkono nahisi maumivi pia

Sasa hili la maumivu naomba kujua sababu hasa ni nini kwa wenye uzoefu naomba mawazo yenu wakuu.
 
Hili tatizo linaitwa premature ejaculation na likikua huwa impotence (uume kushindwa kusimama).
Tatizo hili linatibika ndani ya siku tatu hadi wiki na impotence ni Mwezi na nusu.
Dawa za mitishamba zinatibu na unakua fit kama zamani. Maranyingi huweza kuambatana na matatizo yafuatayo:-
  • Kuumwa tumbo lakukata na kuunguruma kwa tumbo mara kwa mara, kichomi.
  • kuvimba kwa korodani au kuuma.
  • Mkoja kupita kwa shida na mara nyingine kuuma.
  • Kuvimba kwa prostate gland chini ya kibofu.
Chanzo cha tatizo
  • Maradhi haya huchangiwa na ulaji mbaya, Unene na kuongezeka uzito.
  • Ulaji wa miadarati Khat (gomba, miraa), unywaji wa pombe zenye kimea cha ngano au nafaka kama mahindi n.k
  • Ulaji wa nyama na bidhaa za wanyama na ndege kwa wingi huweza kuwa sababu mf. nyama, maziwa, mayai, nyama nk. (Najua hapa kutazua maswali kidogo ila ni ukweli wa mambo)
  • Uvaaji wa chupi boxer zinazobana kila wakati huweza sababisha ingawa ushahidi bado ni mdogo
NB: (Maumbile ya uzazi wa mwanaume yako nje na hii nikutokana joto lake la kawaida linakadiriwa kuwa chini ya joto la kawaida la mwili inakadiriwa kuwa ni wastani wa nyuzi 20 - 35 degrees Celsius 95 degrees Fahrenheit nyuzi 2 chini ya ya joto la mwili ambayo ni 37 degrees Celsius , hivyo uvaaji wa nguo nyingi au zakubana zaweza kudidimiza utendaji wa viungo vya uzazi ikiwemo korodani, pia sperms zinahitaji joto dogo ili ziweze kuwa hai ). Na hili la uvaaji wa nguo nyingi pia ni tatizo hata kwa wakina dada pia, tuliangalie kwa jicho la pili.

Sababu zawezakuwa nyingi ila Sababu kuu ni ulaji na utumiaji wa hivyo vilevi nilivyo vihainisha hapo juu.
Kubadili diet na kuacha baadhi ya tabia za ulaji au unywaji wa vileo kunaweza kupunguza hii hali.

Dawa ipo na nafuu, nitafute kwa namba 0687439333.
Baada ya kupata matibabu utanishukuru!
 
Una tatizo lililotokana na kuathirika kwa kupiga punyeto ambapo umefikia ile ahatua iitwayo "Addiction/Uraibu"

Ushauri wangu waone wataalamu wakusaidie haraka iwezekanavyo.

Dawa ya punyeto ni kufunga na kuomba sana maana kuna mapepo yaliyojikita hiyo sehemu kupitia hii mitandao ya kijamii kama porn stars, pornography.

Ukiaweza kuanza, pia unaweza kumaliza, yani kila chenye mwqnzo, basi lazima kiwe na mwisho.
 
Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu.
Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti.

Mda mwengine nawahi kukojoa hata kama nimepaka
Mda mwengine nikishapaka uume unapoteza nguvu kabisa na kulala
Lakini mda mwengine hua unasimama ila unakua na maumivu sana, Nikiingiza ndani ya uke napata maumivu, na hata akiushika kwa mkono nahisi maumivi pia

Sasa hili la maumivu naomba kujua sababu hasa ni nini kwa wenye uzoefu naomba mawazo yenu wakuu.
Achana na stress, kitokujiamini, na mlo mbovu kaka...

Kula vizuri (matunda kwa wingi, mboga za majani, maziwa, mihogo, asali, tangawizi) , fanya mazoezi kila siku ya kukimbia sio kupiga manondo yale ya kutafuta sixpack, punguza mawazo unaookua unataka kukutana na mwenzio! Cha mwisho kunywa maji ya kutosha at least lita 3-5 kwa siku haki tena ni zaidi ya vumbi la mkongo ukizingatia haya, Jipe kama mwezi mmoja au miwili bila kuhangaikia nyapu afu ujikite kwenye hayo tu niliyokushauri..

Kwanza ku hangaika na hayo matiba ya kuboost ndio unajimaliza kabisa ani kama hujui, Sabu kiungo unakifanya kua tegemezi wakati kimeumbwa kujitegemea kutokana na internal feelings za ubongo wako na sio mavumbi ya mkongo.
 
Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu.
Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti.

Mda mwengine nawahi kukojoa hata kama nimepaka
Mda mwengine nikishapaka uume unapoteza nguvu kabisa na kulala
Lakini mda mwengine hua unasimama ila unakua na maumivu sana, Nikiingiza ndani ya uke napata maumivu, na hata akiushika kwa mkono nahisi maumivi pia

Sasa hili la maumivu naomba kujua sababu hasa ni nini kwa wenye uzoefu naomba mawazo yenu wakuu.
Kitu cha kwanza elewa wanaotumia vumbi la kongo hawana tatzo la kusimamisha (wewe unalo). Wanaotumia vumbi ni ili wachelewe kufika kileleni basi na hakuna raha yoyote.

Nini kinafanya uume ukuume. Dozi unayopaka ni kubwa sana kidude kinakua kimekufa ganzi kabsa....

Nini cha kufanya uwe poa

Kula vyakula vyenye virutubisho. Wanga na protin za kutosha. Tumia vyakula vyenye madini ya chuma.
Fanya mazoezi kupunguza lehemu mwilini mwako. Fanya hata mara 3 kwa wiki.

Njia hizi zitakupa suluhisho la muda mrefu kuliko la kutumia madawa ambayo itakufanya uishi nayo.

Nikuulize!!

Je zamani ulikua fit? Au umezaliwa hivyo? Unapiga nyetoo?
 
Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu.
Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti.

Mda mwengine nawahi kukojoa hata kama nimepaka
Mda mwengine nikishapaka uume unapoteza nguvu kabisa na kulala
Lakini mda mwengine hua unasimama ila unakua na maumivu sana, Nikiingiza ndani ya uke napata maumivu, na hata akiushika kwa mkono nahisi maumivi pia

Sasa hili la maumivu naomba kujua sababu hasa ni nini kwa wenye uzoefu naomba mawazo yenu wakuu.
nakushauri, kwanza jikubali, pili take things easy, kwasababu kiukweli mwenza wako anaweza asikuvumilie hivyo jiandae kwa lolote, omba Mungu akuponye, ila uwe makini na hayo madawa ya kienyeji, utakuja kukatika kabisa uwe na kipapa.
 
Una tatizo lililotokana na kuathirika kwa kupiga punyeto ambapo umefikia ile ahatua iitwayo "Addiction/Uraibu"

Ushauri wangu waone wataalamu wakusaidie haraka iwezekanavyo.

Dawa ya punyeto ni kufunga na kuomba sana maana kuna mapepo yaliyojikita hiyo sehemu kupitia hii mitandao ya kijamii kama porn stars, pornography.

Ukiaweza kuanza, pia unaweza kumaliza, yani kila chenye mwqnzo, basi lazima kiwe na mwisho.
Punyeto haileti hii hali moja kwa moja, punyeto huadhiri akili/saikolojia nakuleta urahibu na kupenda haina fulani ya wanawake. Tutumie akili ya kawaida ukitumia mikono sana kupiga kazi lazima misuli ya mikono itakua imara na sio kwamba itakua dhaifu. Ok turudi kwenye sayansi utendaji wa korodani kuzalisha manii hutegemea na mtu kadiri anavyotoa manii yaani "the more it used the more it produced."
Kama huamini kula junks foods au miraa wiki mbili mfululizo utaniambia kaka, lazima shem alalamike.
 
Acha nyeto utakuja ufe...enewei unafanyaga mazoezi ata kwa wiki mara 1? Mazoezi ya kukimbia
Una tatizo lililotokana na kuathirika kwa kupiga punyeto ambapo umefikia ile ahatua iitwayo "Addiction/Uraibu"

Ushauri wangu waone wataalamu wakusaidie haraka iwezekanavyo.

Dawa ya punyeto ni kufunga na kuomba sana maana kuna mapepo yaliyojikita hiyo sehemu kupitia hii mitandao ya kijamii kama porn stars, pornography.

Ukiaweza kuanza, pia unaweza kumaliza, yani kila chenye mwqnzo, basi lazima kiwe na mwisho.

Sina tabia ya kupiga punyeto mimi, shutuma zenu ni za uwongo
 
Kwanza ku hangaika na hayo matiba ya kuboost ndio unajimaliza kabisa ani kama hujui, Sabu kiungo unakifanya kua tegemezi wakati kimeumbwa kujitegemea kutokana na internal feelings za ubongo wako na sio mavumbi ya mkongo.

Sikufika huku kwa kupenda mkuu, ni last option nilizobakisha tu, nimeshahangaika sana na madawa na milo bila ya mafanikio
 
nakushauri, kwanza jikubali, pili take things easy, kwasababu kiukweli mwenza wako anaweza asikuvumilie hivyo jiandae kwa lolote, omba Mungu akuponye, ila uwe makini na hayo madawa ya kienyeji, utakuja kukatika kabisa uwe na kipapa.
Eti "madawa ya kienyeji"

Ngoja nikupe kauli ya Mungu kwanza ujue nini maana ya Mungu kusema kila kitu ni chema "amemaliza kila kitu na siku ya saba akapumzika hakuacha kitu kaka".

Genesis/Mwanzo 1:29

Then God said, “Behold, I have given you every plant yielding seed that is on the surface of all the earth, and every tree which has fruit yielding seed; it shall be food for you;
Genesis 9:3
Every moving thing that is alive shall be food for you; I give all to you, as I gave the green plant.

Genesis/Mwanzo 1:11
Then God said, “Let the earth sprout vegetation, plants yielding seed, and fruit trees on the earth bearing fruit after their kind with seed in them”; and it was so.

Psalm/Zaburi 104:14
He causes the grass to grow for the cattle,
And vegetation for the labor of man,
So that he may bring forth food from the earth,

Genesis/Mwanzo 1:12
The earth brought forth vegetation, plants yielding seed after their kind, and trees bearing fruit with seed in them, after their kind; and God saw that it was good.

Alafu sasa nikupe elimu ya sayansi
365 years before Christ was born this man cured every disease known to man Hippocrates did long before Jesus was born he was healing every disease so when we say that only jesus heals no we should see that only god healed because Hippocrates was here 300 years before christ was born but Hippocrates like Jesus Christ was obedient to the dictates of god almighty Hippocrates cured every disease by using what herbs or chemicals we find that Mr Hippocrates didn’t use any chemicals because there weren’t any at that time he used only herbs.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom