Kuchumbia kunanipa changamoto sana kwa wakati huu

mwanzo wetu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
1,587
Reaction score
466
Habari wakuu..

Mimi ninakutana na changamoto kubwa Sana ktk swala la kutongoza, ..Kama munavyojua shida iliyoko mtaani hasa kwa wale tuliomaliza vyuo ajira ikawa shida kimsingi tunaendelea kuparangana mtaani kusaka mkate wa kila siku vurugu mbalimbali na kimsingi wengi wetu maisha hayajakaa sawa.

Na hii imepelekea hata swala la kuoa wengi tuogope kwa kuhofia namuna ya kuendesha ndoa zetu bila kuwa na Faranga?

Shida ambayo sasa hivi ipo kwangu ni pale unapomchumbia mdada, kila ninae mtongoza ananiuliza utanioa lini? Najikuta nadanganya ili bac nipate utamu mda ukifika niliousema kuwa tutaoana mdada wa watu ananibana afu natafuta sababu za kijinga na zakionevu ili tu tuachane mpaka anajikuta anahis binti amekosea kumbe mwanaume nimemwacha kwa visa vya kuogopa kuoa.

Sasa hivi imebaki kama mtihani kila naemtongoza lazima anilime swali lini utanioa? Ukwel Nahamu ya kuoa ila kwa kuwa maisha hayaja kaa sawa najikuta nakuwa muongo tu kuwa nitakuoa mda Furani wakati sikweli?

Sasa nimeona niache kutongoza kwa Sasa maana duh? Nakuhemea madanga siwez pia maana naogopa pia kufa haraka.

Kwa kweli mtaani Hali iko hivi.
 
Tatzo nyege Sasa, ukiacha kutongoza utazitolea wapi au ndio utachukua Sheria mkononi, wengine kununua Malaya hatuwez so tuendelee kudeti na kuachana tu...

Mtusamehe
Hili swali Lin utanioa wewe unalishindaje always
 
Hiko chuo ulichosoma ni chuo gani ikiwa hata kuandika hujui mbwa wewe!?
 
Habari wakuu..

Mimi ninakutana na changamoto kubwa Sana ktk swala la kutongoza, ..Kama munavyojua shida iliyoko mtaani hasa kwa wale tuliomaliza vyuo ajira ikawa shida kimsingi tunaendelea kuparangana mtaani kusaka mkate wa kila siku vurugu mbalimbali na kimsingi wengi wetu maisha hayajakaa sawa.

Na hii imepelekea hata swala la kuoa wengi tuogope kwa kuhofia namuna ya kuendesha ndoa zetu bila kuwa na Faranga?

Shida ambayo sasa hivi ipo kwangu ni pale unapomchumbia mdada, kila ninae mtongoza ananiuliza utanioa lini? Najikuta nadanganya ili bac nipate utamu mda ukifika niliousema kuwa tutaoana mdada wa watu ananibana afu natafuta sababu za kijinga na zakionevu ili tu tuachane mpaka anajikuta anahis binti amekosea kumbe mwanaume nimemwacha kwa visa vya kuogopa kuoa.

Sasa hivi imebaki kama mtihani kila naemtongoza lazima anilime swali lini utanioa? Ukwel Nahamu ya kuoa ila kwa kuwa maisha hayaja kaa sawa najikuta nakuwa muongo tu kuwa nitakuoa mda Furani wakati sikweli?

Sasa nimeona niache kutongoza kwa Sasa maana duh? Nakuhemea madanga siwez pia maana naogopa pia kufa haraka.

Kwa kweli mtaani Hali iko hivi.
sasa shida iko wapi?si unasema tu nakuoa,halafu huoi....mpk utakapokua tayari
 
Mkuu watu watakubeza lakn ukweli n huu

UMETUSEMEA WENGI wengi tunapitia Hali hyo kwa Sasa

,,Tupambane kukusanya ngawira ,,,

Usisahau kutundika hata mimba mkuu usije ukazaa uzeeni mtoto akuite Babu badala ya baba

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom