wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushawahi kupoteza kitu cha muhimu wakati ulipokuwa unakihitaji sana?

    Salaam wakuu, Je, ulishawahi kupoteza kitu cha muhimu sana wakati ulipokuwa unakihitaji sana? Mimi ilinitokea 2013, nilisafiri kwa mara ya kwanza kwenda Mwanza, nilikuwa na mwenyeji wangu aliyekuwa ananisubiria, yeye alikuwa eneo linaloitwa Magu. Tuliwasiliana hadi nafika nyegezi, huku...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polepole washamjulia kelele zote ni njaa! Wakati wa jukwaa la Katiba akatupwa kwenye Bunge la Katiba, na Wakati wa kelele za "wahuni" katupwa Ubalozi

    Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke. Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba mpya akiwa moto wa kuotea mbali enzi za jukwaa la katiba. Mzee wa msoga kamchekiii kaona hamna...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rostam kanunua tiGO kwa Tzs Bil 230, wakati thamani ya 25% ya kampuni ya Voda ni TZS Bil 470, so thamani ya Voda ni mara 20 ya tiGO?

    Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam. Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua hisa 25% kwa bilioni 480, halafu Hisa zenyewe haziuziki...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katika wakati huu wa hali ya uchumi duniani kuwa mbaya ni kuwa muangalifu sana

    Mzuka wanajamvi, Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako. Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
  5. JamiiForums Tanzania Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

    Salamu kwenu Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula. Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao. Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku. Nadhani...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wanang'aka kuhusu vita DRC, Waganda tayari wameanza kuchangamkia fursa, Wakenya tusichelewe

    Wafanya biashara wa Uganda wamehojiwa wengi wameanza jitihada za kuchangamkia soko la DRC na fursa zilizopo, hii ni baada ya DRC kuwa mwanachama ndani ya EAC. Wakenya tusichelewe, bahari Hindi na Atlantic zimeunganishwa, tupambane.... Naomba pia serikali zetu zirahisishe suala la vyeti kama...
  7. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wanaCCM tujitafakari na kuchukua hatua. Je, chama chetu ni mali ya wakulima na wafanyakazi? Au ni mali ya wajanja wachache?

    Bila hata ya kutumia hadubini sasa ndio wakati wa kuchambua pumba na mchele. Chama chetu kilianza na madhumuni mazuri kabisa ya kuwa chama cha kuwatumikia watanzania ambao ni wakulima na wafanyakazi. Ndio ilikuwa dhima kuu kuleta maendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania. Hakikuwa mali ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi, mgogoro ukiisha watakuwa na stock ya kutosha

    Ni wakati sasa Afrika ichangamkie mafuta na gesi ,mgogoro ukiisha ukrain watakuwa na stock yakutosha Akiba ya mafuta Marekani iliyofichwa kwenye mapango ya chini CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Zaidi ya mitungi milioni 640 ya mafuta hivi sasa imefichwa katika mapango ya chini...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT yamepitwa na wakati

    Naomba kutofautiana na watanzania wengi ambao bado wanaamini JKT inawajengea vijana, uzalendo n.k Jana nimeshuhudia ki video kikitembea mitandao kikionyesha vijana waki "craw" kwenye tope. kwa kweli nilikuwa very much shocked na kujiuliza kijana wa leo akipelekwa katika kambi na kupewa mafunzo...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Mawasiliano jitahidini meseji zenu za malipo ya huduma mbalimbali zifike kwa wakati

    Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana. Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye...
  11. JamiiForums Tanzania Vizuizi vinavyomfanya mtu ashindwe kuoa/kuolewa kwa wakati Kimaandiko

    Habari za wakati huu ndugu zangu.! Naamini kila mmoja yu salama akiendelea na harakati za maisha, kwa wale wenye changamoto kadha wa kadha za kimaisha basi Mungu akakutetee. Leo nimependa kukushirikisha baadhi ya vizuizi vinavyomfanya mtu ashindwe kuoa au kuolewa kwa wakati kwa mujibu wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi. Kuna options mbili: Either CCM...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

    Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote. Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
  14. JamiiForums Tanzania Jambo gani hutosahau wakati ukitafuta ajira/kazi

    Mara nyingi watu wapo kwa ajili ya kukukatisha tamaa, kukuinua na kadhalika Una historia gani iliyobaki Kwako Kama kumbukumbu katika utafutaji
  15. JamiiForums Tanzania Je, mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni?

    Msaada ndugu Mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni? How is Authorised share capital calculated?
  16. JamiiForums Tanzania Morrison akasirika, alalamikia timu ya taifa “Mnaita wachezaji wa Azam FC wakati timu yao inafungwa na Simba”

    Mshambuliaji wa Simba, Bernard Morrison ameshutumu maamuzi yanayofanyika katika kuita wachezaji wa timu ya taifa lake la Ghana kwa madai kuwa kuna ubabaishaji mwingi na wanatana kwa kujuana. Morrison amesikitishwa na kitendo cha kuonekana anadharaulika wakati amecheza katika klab kadhaa kubwa...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania CCM wanabadilisha Katiba yao ya 1977 iendane na wakati. Kwanini hawataki tubadili Katiba ya Tanzania ya 1977?

    #TAARIFA: Mkutano Mkuu Maalum utakaokuwa na agenda maalum ya marekebisho ya katiba ya CCM ya Mwaka 1977 toleo la mwaka 2020 utafanyika Jijini Dodoma Aprili 01, 2022. Wajumbe wote wa mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa mnakaribishwa. #TukutaneAprilMosi #MkutanoMkuuMaalumDodoma
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia. Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana. Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
  19. JamiiForums Tanzania Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Inawezekana ku apply kazi tena utumishi na huku nipo kwene tasisi ya serikali ndani ya mwaka wa kwanza wa matazamio (probation)?
  20. JamiiForums Tanzania Mwalimu aliyelea wanafunzi wa Ustashi wakati watoto wake wamekua mateja

    Familia ya bwana kabati ilifikia hatua ya juu ya mafanikio katika jamii yao. Mwana kabati ni meneja wa benki na mama ni mwalimu tena alifikia kuwa Mwalimu Mkuu. Walibahatika kupata mapacha wawili wakiume. Baba akiwa meneja wazo la kuchukua mkopo na kuanzisha shule itakayoongozwa na mke wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…