wakandarasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Kenya2022 Tume huru ya Uchaguzi yatoa wito wa Wakandarasi wa Teknolojia ya Uchaguzi kuachiliwa

    Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC) imesema kuwa Wakandarasi wa Smartmatic International BV wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta walipowasili kutoka Venezuela licha ya mamlaka kuarifiwa kuwa waliingia nchini kihalali. Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema...
  2. mchuku wa mangi

    Hivi ndivyo wakandarasi wanavyopiga pesa za UKIMWI

    Kampuni ya Ukandarasi ya Rocktronic ya mjini moshi ni moja ya kampuni za ukandarasi zinazotajwa kupiga pesa zinazopaswa kutengwa na wakandarasi hao kwa ajili ya kutoa elimu ya kujikinga na mambuziki ya UKIMWI kwa jamii inayozunguka kwenye maeneo ya miradi wanayoitekeleza. Iko hivi,fedha hizo...
  3. K

    Kulikoni malipo ya TARURA kwa Wakandarasi

    Kwa uaratibu kila mkandarasi anapomaliza kazi na kukaguliwa na watalaam anatakiwa alipwe haki zake. Wengi wa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya TARURA hatujalipwa licha ya kumaliza kazi na kukaguliwa. Kwa vile mwaka wa Serikali mwisho ni tarehe 30 Juni kila mwaka tulitarajia tutalipwa...
  4. K

    CRB iangalie upya upangaji wa madaraja ya Wakandarasi na thamani ya kila daraja

    Ni muda mrefu sasa tangu upangaji wa madaraja ya wakandarasi ulipofanyika ikiwa na pamoja ya thamani ya kazi kwa kila daraja hivyo ni vema CRB ikapitia upya upangaji wa madaraja na thamani ya kazi zao ikichukuliwa kuwa bei ya vifaa vya ujenzi zimepanda na mafuta.
  5. JanguKamaJangu

    Mwanza: Waziri Mkuu azuia paspoti 7 za wakandarasi wa Meli ya MV Mwanza

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na kubaini ukiukwaji wa makubaliano ya kimkataba ya ikiwa ni pamoja na Kampuni ya Korea ya Gas Entec Building Engineering iliyo na jukumu la kujenga meli hiyo kuuza sehemu ya jukumu la...
  6. K

    Serikali iangalie utaratibu mzuri jinsi ya kuwafidia Wakandarasi

    Wakandarasi wengi wa Tanroads na Tarura walipewa kazi kabla bei za vifaa vya ujenzi na mafuta kupanda. Ieleweke kuwa asilimia kubwa ya vifaa vinavyotumika katika ujenzi vimepanda bei kwa asilimia kubwa na bei iliyofikiwa kati ya Wakandarasi kwa sasa ni ya chini sana na kazi wanazofanya kwa sasa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

    Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva. Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
  8. K

    KULIKONI MALIPO YA WAKANDARASI

    Mkandarasi anawajibika kutekeleza mradi aliyopewa kwa kiwango kinachokubalika na baadaye hukaguliwa na kama mradi umekidhi kiwango basi anatakiwa kulipwa haki yake. Kwa siku za karibuni mambo siyo rafiki sana kuhusu malipo ya Wakandarasi hasa TARURA.. Mkandarasi unamaliza kazi na hatua zote...
  9. polokwane

    Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

    Kwa hili TAMISEMI kaeni mfikiri upya mzigo mnao watwisha walimu ukiachilia mbali mzigo wa vipindi walio nao si haki na si sawa Na CWT mpo kimya hata hamfuatilii mkaona ni madhila gani walimu walio chini ya chama chenu wana nyanyasika na kusurubishwa kwa kazi ambayo hawakuisomea na wala hawana...
  10. K

    Kulikoni malipo ya TARURA kwa Wakandarasi?

    Kama ilivyo taratibu Mkandarasi ukiishamaliza utekelezaji wa mradi uliopewa na TARURA kwa kipindi husika na ikakaguliwa vizuri na kukidhi viwango unatakiwa ulipwe katika muda wa wiki moja. Wengi wa Wakandarasi wamemaliza baadhi ya miradi waliyopewa na TARURA na mpaka sasa hawajalipwa licha ya...
  11. M

    Umakini uwepo ujenzi wa madarasa kupitia wakandarasi

    Maeneo mengi ya nchi wameamua kutumia wakandarasi kujenga madarasa kutokana na pesa zilizotolewa mkopo na IMF. Lakini pamoja na kutumia wakandarasi baadala force account Iliyokuwa imezoeleka umakini unahitajika vinginevyo tutapigwa na madarasa haya yatajengwa chini ya kiwango. Ujenzi wa...
  12. E

    Maagizo fedha za UVIKO-19 kutumia wakandarasi wazalendo ni ya kupongeza

    Nilimsikia Rais Samia akisema katika ujenzi unaofanyika watumie wataalamu na wakandarasi wazalendo. Haya ni maamuzi ya kizalendo sana na ya kupongeza sana. Hizo ndizo njia pekee za kutengeneza ajira na kukuza uchumi kwa watu wetu. Asia na Ulaya walishaanza mbinu hizo muda mrefu kwani...
  13. F

    Rais awazingua wakandarasi wababaishaji

    Nyanja: Utawala Bora/Uwajibikaji. Mheshimiwa Rais Chokambaya Bin Mwaminifu wa Jamhuri-ya-Mazuzu amefanya uamuzi mgumu kwa nia ya kuokoa fedha za serikali yake katikati ya upinzani mkali wa wadau wa sekta ya ukandarasi. Katika kikao cha Baraza la Mawaziri, alitangaza uamuzi wake huo kama...
  14. Z

    TARURA waingia mkataba na wakandarasi kuanza ujenzi

    Kazi imeiva katika mkoa wa DSM baada ya TARURA kuingia mkataba na wakandarasi wazawa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa DSM. Billioni 14 tayari zimemwagwa. Sasa tunataka kazi zionekane, wakandarasi wazawa pigeni kazi muache visingizio, kazi mmepewa hela mmepewa sasa ole wenu...
  15. F

    Baadhi ya Wakandarasi Wazawa wanamuangusha Rais Samia

    Kandarasi nyingi hasa za barabara zinafanywa chini ya viwango na wakati mwingine hawana hata vifaaa kwa ajili ya kazi. Hii imepelekea adha na Usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizi zinazofanyiwa ukabarati. Mfano kipande cha barabara kutoka Mabibo Mwisho hadi makutano na Morogoro Road...
Back
Top Bottom