wakandarasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Youbettersleep

    Wananchi msilalamikie wakandarasi kutokumaliza kazi kwa wakati, kuna sababu nyingi ikiwepo "Kutokulipwa kwa wakati"

    Kucheleweshwa kwa Malipo ya Miradi kwa Wakandarasi Wazawa Nchini Tanzania: Changamoto na Athari 1. Utangulizi Kucheleweshwa kwa malipo ya miradi ni changamoto kubwa inayokumba wakandarasi wazawa nchini Tanzania. Ingawa serikali na mashirika mbalimbali huingia mikataba na wakandarasi kwa ajili...
  2. Roving Journalist

    TANROADS yaagizwa kusimamia Wakandarasi wanaojenga na kukarabati Miradi ya Maendeleo kwa Jamii (CSR) kujenga kwa kiwango

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora. Mhandisi Kasekenya, ametoa agizo hilo Mkoani Kigoma leo...
  3. Stephano Mgendanyi

    Ulega Atoa Wiki Mbili (Siku 14) Wakandarasi Miradi ya Dharura Wawe Site

    ULEGA ATOA WIKI MBILI WAKANDARASI MIRADI YA DHARURA WAWE SITE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency Emegency Response Component (CERC),kuanza kazi mara moja. Amesema hayo leo wakati akikagua barabara ya...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Katimba Awataka Wakandarasi wa TARURA Kutekeleza Miradi kwa Ufanisi

    MHE. KATIMBA AWATAKA WAKANDARASI WA TARURA KUTEKELEZA MIRADI KWA UFANISI Naiba Waziri, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewataka makandarasi wanaopatiwa kandarasi za ujenzi wa barabara za TARURA kutekeza miradi hiyo kwa ufanisi na kwa wakati kama ilivyo makubaliano ya katana...
  5. W

    Wakandarasi wazawa wanaweza kujenga Reli na Barabara

    Mfanyabiashara Rostam Aziz amesema kuna namna ya kuwawezesha wawekezaji wazawa ikiwemo kuwapa kazi kama za ujenzi wa Reli na Barabara kwani wapo wakandarasi wanaoweza kuzifanya kazi hizo badala ya kutegemea Wakandarasi wa Kampuni za nchi nyingine. Ameyasema hayo wakati akizungumza katika...
  6. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Akabidhi Wakandarasi Ujenzi Madaraja Manne - Ushetu, Bilioni 18 Kutumika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya Ubagwe, Kasenga, Ng’hwande na Mwabomba yaliyoathiriwa na mvua za El Nino katika Halmashauri ya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Waziri Aweso atoa siku saba kwa wakandarasi waliotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 Tanga

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, ametoa siku saba kwa wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 wilayani Muheza mkoani Tanga, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo kutokana na kuonekana kusuasua licha ya uwepo wa fedha za mradi huo. Waziri Aweso amebainisha haya baada ya kufika...
  8. Waufukweni

    Wakandarasi wa Barabara ya Mpanda kwenda Kigoma na Sitalike kwenda Kibaoni wako wapi?

    Ninachojiuliza ujenzi wa barabara ya Sitalike kwenda Kibaoni ulianza kujengwa kwa kiwango cha lami kwa kasi sana na pasipo shaka fedha nyingi zimetumika kwenye hatua waliyoishia, je fedha hizo zimeenda bure mbona mambo yamesimama? Wananchi tulitegemea barabara itakamilika kujengwa kwa wakati...
  9. Mzee wa Code

    Wazabuni na wakandarasi mnayoidai serikali mtasubiri sana, Naibu Waziri Fedha asema wanahakiki wakipata pesa watalipa

    Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha kutokulipa kuna sababisha kudora uchumi Mbunge Viti Maalum Asia Alamga Ccm, yeye alihoji ni lini...
  10. J

    Ukali wa Mchengerwa kwa wakandarasi ni chachu katika kukamilisha miradi kwa wakati

    UKALI WA MCHENGERWA KWA WAKANDARASI NI CHACHU KATIKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI. Na, John Swai Mhe. Mohammed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ana msimamo thabiti kuhusu uwajibikaji na nidhamu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
  11. mackj

    Barabara inayojengwa kibada-mwasonga wananchi wanapogwa na wakandarasi

    Barabara ya kibada-mwasonga inayoendelea na ujenzi mkandarasi hajaweka barabara ya mchepuo (diversion) kitu kinachopelekea watumishi wanaojenga barabara hiyo kuwazuia watumiaji wa barabara kutopita mpaka wamalize kazi yao kitu amabacho kinazua usumbufu mkubwa hivyo watumiaji wa barabara wakiwemo...
  12. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa awabana Wakandarasi wanaojenga Barabara ya Mzunguko Dodoma, ataka kazi ikamilike kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port - Matumbulu - Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha...
  13. Crocodiletooth

    Serikali yetu haioni ni hekima kuwatumia wafungwa kama vibarua wa Wakandarasi katika kuwapunguzia mzigo?

    Katika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia mataifa kama China hufanya haya, huwa kama ni sehemu ya wafungwa katika kufundishwa kazi mbalimbali...
  14. Roving Journalist

    Bashungwa awaonya Wakandarasi Wazawa wanaosaini tenda kisha wanaingia mitini

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na kuanza kuwazungusha waliowapa kazi ambapo kitendo hicho kinaharibu taswira ya Makampuni ya...
  15. K

    Kwanini Wakandarasi wazawa hawalipwi riba pindi wakicheleweshewa malipo yao?

    Leo kuna swali liliulizwa na Pareso Mbunge maalum toka CHADEMA akiuliza ni "Kwa nini wakandarasi wa kigeni wanalipwa riba kwa kucheleweshewa malipo yao tofauti na wakandarasi wazawa ambao hawalipwi riba pindi wakicheleweshewa malipo yao"?. Mjibu swali alikuwa Waziri wa Fedha ambaye alijibu...
  16. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Aielekeza TANROADS Kutoa Kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa

    RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ndio...
  18. J

    Nchi hufilisika pale inapokuwa imeweka rehani rasilimali zake zote na siyo inapofeli kulipa Wakandarasi

    Nchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena. Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu umewekwa utaratibu wa kuwalipa Riba ya kuchelewesha malipo. Ni sawa tu hii Mikopo yetu ya Eniembii...
  19. K

    Mbona miradi ya serikali kama vile wakandarasi wamekimbia kazi?

    Miradi mingi ya Serikali hasa za barabara imesimama na Wakandarasi wengi wamekimbia kutoka kwenye maeneo ya kazi. Mfano hai hapa Mwanza kuna miradi inayotekelezwa JASCO ya barabara za lami. Huyu Mkandarasi amekimbia kazi. Ninauliza tatizo ni nini?. Inawekana malipo yamechelewa. Mbona hali...
  20. Stephano Mgendanyi

    Wakandarasi Wapo SITE Kuendelea na Ukarabati wa Barabara

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema tayari wakandarasi wapo site wakiendelea na ukarabati wa barabara zilizohabika na mvua pia katika Halmashauri ya Kishapu. Mhe. katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma...
Back
Top Bottom