waislamu

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu. Kwani ibada ya sanamu nini? Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini? Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
  2. Ndugu zangu katika Imani

    Ukumbusho umfaa mwenye kukumbushika ndani ya mwezi huu mtukufu ndio Quran ilishushwa, hivyo tusipoteze muda mwingi katika mtandao ya kijamii, kushinda vijiwe vya kahawa, kusoma magazeti, kuangalia runinga na yanayo fanana na hayo. Tuelekeze muda wetu mwingi katika ibada: Swala tano Kusoma...
  3. L

    Msaada ndugu zangu waislamu

    Nisaidieni anaejua attahiyatu zote mbili mana nimezisahau. Anaejua anisaidie kwakuniandikia hapa inshaa allah
  4. Waislamu nchi wakipelekwa kwenye nchi wanazoona bora watarudi mbio Tanzania wakiangalia amani walioiacha hapa

    Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu. Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia; "Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu...
  5. Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

    Kwema Wakuu! Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais. Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa...
  6. Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Habari wadau. Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha . Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini. Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini. Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na...
  7. G

    Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa...
  8. Profesa wa UCLA asema Wahindi wanajitolea kwenda kuua waislamu Palestina

    Hawa wameanza kutafuta ugomvi na Wahindi... Wenzetu mumeishiwa hoja, mtatafuta mchawi kote lakini ukweli uko pale pale kwamba acheni kujaribu kufuta Wayahudi maana Mungu wao ana nguvu kuliko huyo wenu, hayo maandiko au maagizo ya kwenye kurani ya kuwaua Wayahudi wote hayatekelezeki, yaliandikwa...
  9. Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

    Ndugu zetu waislamu wameahidiwa makubwa pindi watakapofika peponi, na mimi naanza kujitafakari.
  10. Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Kipindi cha Ali Hassan Mwinyi, Aga Khan alikuja nchini kwa mara ya kwanza baada ya kutokanyaga ardhi ya Tanzania kwa miaka 20. Kwa maneno ya Mohamed Said Aga Khan aliitisha mkutano wa Waislamu ambao una mchanganyiko wa BAKWATA na wawakilishi wa iliyokuwa EAMWS. Na kwenye mkutano huo HAKUKUWA na...
  11. Baadhi ya mashabiki wamjia juu Mo Salah baada ya kuwatakia heri ya Christmas mashabiki zake Instagram

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri, Mo Salah amejiwa juu na Waislamu baada ya kuwatakia mashabiki zake heri ya sikukuu ya Christmas. Watu wametuma maoni ya kukebei na kusema kuwa hatakiwi kuwatakia Watu heri ya Christmas kwa sababu yeye ni Muislamu...
  12. Saudi Arabia inatengeneza zaidi ya trilioni 30 kwa mwaka kutoka kwa waislamu

    Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato. Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
  13. Msio waislamu na mnaunga mikono ugaidi wa HAMAS, isomeni hii agano

    Hili hapa ni agano la HAMAS, ambalo linasema uislamu utaifuta Israel, kwa kifupi HAMAS hawana haja na maelewano au kuishi pamoja na Wayahudi kwa amani au hata ujirani kwa amani ila kuwafuta Wayahudi kama ambavyo wanaamini dini yao imewaagiza. Hivyo kwa asiye muislamu na unasema unawaunga mikono...
  14. Katika kundi la 260 waliokwenda Israel kama hakukua na waislamu basi kulikuwa na ajenda ya siri

    Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana. Nilikuwa nafuatilia ile orodha ya vijana 260 waliotajwa kwenda kusoma kilimo na sijaiona. Shaka yangu ni kuwa huenda wote...
  15. M

    Poland yajigamba hakuna uhalifu baada ya kudhibiti wahamiaji waislamu

    Mzuka wanajamvi. Poland yadai na kujigamba kuwa hamna ubakaji, wizi na uhalifu ukilinganisha na mataifa jirani na mengine ulaya wenye waislam wengi wahamiaji. Wanajisifu na kujigamba kwa kuzuia wimbi la wahamiaji hasa waislam ambao wenyewe wanadaiwa ni waalifu sana na kupeleka nchi yao uhalifu...
  16. Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

    Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo Na declare interest. Mimi ni mfuasi wa dini za jadi za kiafrika. 1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha) 2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani"...
  17. Mkanganyiko wa Kiimani

    Pichani, Jamaa mwenye nguo nyeupe 🤍 anadai kuambiwa na MUNGU kuwa anywe pombe lakini asioe. Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi 🖤 nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa asinywe pombe lakini aoe wanawake wengi. Je ni Upande hupi ni Sahihi, 🤍 au 🖤?
  18. F

    Historia ya Marehemu Bibi Titi Mohammed, Baba yake bibi titi alikataa mwanae asisome shule maana atakuwa kafiri. Nyerere alikosa waislamu wasomi wengi

    habari wadau. naonaga lawama nyingi za waislamu wakimlaumu Rais wa awamu ya kwanza Nyerere aliwabania kuwapa madaraka na fursa nzuri serikalini baada ya uhuru. Mzee wetu kipenzi Mohamed Said huwa analiongelea swala hili la nyerere na waislamu mara kwa mara. nimeshangaa kukuta maneno ya...
  19. M

    Waislamu wana mpango wa kususa kwenda Hija kuikomoa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia

    Mzuka Wanajamvi. Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS. Wanadai hela wanayopata kupitia hija ni nyingi sana hadi inawapa kiburi na kukufuru hadi kupelekea...
  20. Rabbi wa Kiyahudi na familia yake wasilimu

    Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…