2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,692
Ukumbusho umfaa mwenye kukumbushika ndani ya mwezi huu mtukufu ndio Quran ilishushwa, hivyo tusipoteze muda mwingi katika mtandao ya kijamii, kushinda vijiwe vya kahawa, kusoma magazeti, kuangalia runinga na yanayo fanana na hayo.

Tuelekeze muda wetu mwingi katika ibada:
  • Swala tano
  • Kusoma Quran kwa wingi
  • Kutubu na kujinyenyekeza kwa Allah
  • Ibada za usiku za kutosha
Na kumswalia kipenzi wetu mtume Muhammadi (s. w).

Wabillah taufiq
 
Back
Top Bottom