Msaada ndugu zangu waislamu

Nisaidieni anaejua attahiyatu zote mbili mana nimezisahau.

Anaejua anisaidie kwakuniandikia hapa inshaa allah
1710098027517.png
 
Kama attahiyatu ya mwisho , utaongeza na kumswalia mtume saw kama ifuatavyo:

Allahumma Salli ‘ala Muhammadin wa ‘ala aali Muhammadin, kama sallaita ‘ala Ibrahima wa ‘ala aali Ibrahima innaka Hamidum-Majeed. Allahumma barik ‘ala Muhammadin wa ‘ala aali Muhammadin kama barakta ‘ala Ibrahima wa ‘ala aali Ibrahima innaka Hameedum-Majeed.
 
Back
Top Bottom