Profesa wa UCLA asema Wahindi wanajitolea kwenda kuua waislamu Palestina

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,668
48,441
Hawa wameanza kutafuta ugomvi na Wahindi...

Wenzetu mumeishiwa hoja, mtatafuta mchawi kote lakini ukweli uko pale pale kwamba acheni kujaribu kufuta Wayahudi maana Mungu wao ana nguvu kuliko huyo wenu, hayo maandiko au maagizo ya kwenye kurani ya kuwaua Wayahudi wote hayatekelezeki, yaliandikwa miaka ya zamani sana kule jangwani, dunia haikua kama ilivyo leo, mfahamu Wayahudi ndio wanaongoza kwenye mataifa makubwa sana yenye uwezo wa kuwafuta nyie.


View: https://twitter.com/MEMRIReports/status/1747261200315113693
 
Back
Top Bottom