Poland yajigamba hakuna uhalifu baada ya kudhibiti wahamiaji waislamu

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,738
29,133
Mzuka wanajamvi.

Poland yadai na kujigamba kuwa hamna ubakaji, wizi na uhalifu ukilinganisha na mataifa jirani na mengine ulaya wenye waislam wengi wahamiaji.

Wanajisifu na kujigamba kwa kuzuia wimbi la wahamiaji hasa waislam ambao wenyewe wanadaiwa ni waalifu sana na kupeleka nchi yao uhalifu kutokuwepo ukilinganisha kwengine na kuishi bila hofu.

Tafiti zao zinathibitisha wahamiaji waislam katika nchi nyingi za ulaya wanaongoza kwa wizi na ubakaji.

Jela wanaongoza wao.

Lakini mashirika ya kutetea haki za binadamu wanapingana na hizi tafiti wakidai ni uchochezi wa kubaguzi hasa kutoka kwa vikundi vya mrengo wa kulia right wings.

Chuki dhidi ya waislam na raia kutoka nchi zinazoendelea ulaya zinazidi kila siku na kupelekea vyama vyenye mrengo wa kulia kutumia hii turufu kuingia madarakani.

Nchi za skendinevia zinaongoza kuwabagua sana raia wenye asili kutoka Somalia. Ambapo sasa hivi jamii hiyo inalalamika sana.

Poland imeweka uzio wa umeme wa kilomita kadhaa kwenye mpaka wake na Belarus kuzuia wimbi la wahamiaji haramu hasa kutoka mashariki ya kati, afrika kaskazini na subsahara.

Wahamiaji sasa hivi wanaosifiwa na kukaribishwa kwa wingi ulaya ni kutoka India. Wanasifiwa kwa kujituma kwao kufanya kazi kwa bidii kwa uadilifu na kutotegemea sana social services/benefits.

Pia wahindi wanasifiwa kujali maisha yao (minding their business) na kutolazimisha imani na mila zao kufuatwa .
 
Waislam wakiwa wachache siku zote wao ni vilio vya kuonewa tu ila wakiwa wengi kuliko Imani nyingine ni msiba kwa walio wachache . Hakuna haki kwa wasio waislam kwenye nchi zenye waislam wengi ila wao ni mabingwa wa kulia uonevu kwenye nchi wanazo hamia.
 
Pia wahindi wanasifiwa kujali maisha yao (minding their business) na kutolazimisha imani na mila zao kufuatwa

Ongezea pia waChina, waJapan yaani watu wa Mashariki ya Mbali wanatambua utofauti na wanajivunia imani zao za kwao wala hawana kampeni, crusade wala mihadhara kushawishi watu wengine wasio wao kujiunga na imani za ki Buddha n.k
 
Safi sana, wengine wajifunze, kwanza Ufaransa walikosea stepu kwa kuachia mazombi yaingie mengi huko....
 
Issue ni kuwa wakianza kuzoea wanajisahau na kujikuta wenyeji kiasi cha kuanza kuwapangia watu waishi kama wanavyotaka wao

Huo ndio ufala sasa,
 
Back
Top Bottom