wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga ni kikundi cha wahuni

    Hakuna mpira pale. Jana walinunua mechi. Hawana tofauti na kikundi cha Ngoma.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti. Je, atagombea tena 2025?
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali wanatukanana kama wahuni wa Kariakoo

    Labda ipo njia ya kistaarabu zaidi ya kuandika haya mambo. Tunashangazwa wote nadhani katika haya maneno yanayosemwa kati ya Katibu Mwenezi Makonda na Waziri Bashe. Na pia wapo wengine. Haya ni mambo mabaya. Kama Mbunge Gwajima alivyokuwa anasema jana kwamba mtoto wa tajiri wa Unguja alitoweka...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Makonda azidi kuwachamba Nape, Makamba na kundi la wahuni

  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia utapoamua kujiunga na Wahuni au genge la Wanywa Damu za Watu

    MAMBO YA KUZINGATIA UTAKAPOAMUA KUJIUNGA NA WAHUNI ÀU GENGE LA WANYWA DAMU ZA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sasa umekua Mkubwa. Ni kama maisha huyaelewi hivi. Umejaribu kufuata sheria na formula ulizopewa na wazazi au walezi wako lakini umeona hazifanyi kazi yaani ni useless kama sio...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali?

    Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza kutokana na ugumu wa maisha. Ajira za kujuana hata kama una vigezo hupati. Mfano kuna jamaa baba...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Wahuni wameingia tena msituni nini? Siyo kwa ukimya huu

    Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo. Lakini kwa bahati mbaya pia kuna WAHUNI ambao wakipewa kazi, wanaliibia Taifa hili na kukalia kupiga majungu! Lakini...
  8. Majok majok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pale simba hakuna viongozi bali kuna genge la wahuni tu

    Ni ajabu sana na inasikitisha sana kwa timu inayojiita inao viongozi na viongozi hao hao wanashindwa kujua kanuni walizoshirikishwa kuzitengeneza juu ya viwanja vya kuchezea ligi kuu na FA? Kiongozi bila aibu eti anaomba timu ikachezee Zanzibar kwani huku bara hakuna viwanja? Wamekimbia CHAMAZI...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wale wahuni waliomuua Ghadaff nawalaani kila ninapopita na kuona kazi aliyofanya

    Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti. Ukienda Tanga vivyo hivyo, ukienda Ntwara, ukienda Mbeya, Rukwa... Kiukweli jamaa alikuwa jembe sana. Na pale Dodoma alitujengea Msikiti...
  10. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ex kaachwa Tena, wahuni tuna-pop Champagne 🥂

    Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya Wahuni sasa mtasema nini?

    Muhuni mwenzenu kampokea Yesu na anawaita
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hawa wahuni na vibaka wanaobaka na kuwaibia ovyo akina Mama na Mabinti kwanini wanachekewa hivi?

    Nashauri wale Wanajeshi MP wa Lugalo, waliowapiga ovyo ( bila Hatia ) Raia wa Kawe na Kuwatesa huku Wengine wakiwajeruhi vibaya wapelekwe huko Mbagala wakakabiliane na hawa Wahuni na Vibaka wa huko Mbagala ambao sasa wamekuwa ni Kero Kubwa kwa Wakazi wa huko hasa Wamama na Mabinti. Hali si...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Bandari, ardhi, misitu na maliasili zetu, ni Mali ya URITHI, hazitauzwa wala kukodishwa kwa wageni, kataa wahuni

    Salaam, Shalom!! Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni. Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika. Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule...
  14. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Kwanini Madaktari wengi wahuni?

    Hawa madaktari wa siku hizi ni kama wamevamia fani? Haswa haswa hawa vijana walioajiriwa karibuni, hawajui maadili ya kazi wala hawajui kuhudumia wagonjwa. Ukizungumza nae hakusikilizi, yuko bize anachati WhatsApp halafu kaweka earphones. Kavaa mlegezo na KIDUKU. Ati daktari! Sijui walifunzwa...
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna moyo mzuri lakini wahuni na wageni wanatumia hali hiyo kutuibia kutuumiza na kututawala

    WATANZANIA TUNA MOYO MZURI LAKINI WAHUNI Nchi yetu ya Tanzania ni kisiwa cha amani Duniani,hili ni tokeo la malezi mema ya Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,siasa ya ujamaa na kujitegemea ilitufanya tuwe waungwana na wastaarabu,Ahsante Baba wa Taifa,Hayati Mwalimu Julius Kambarage...
  16. Rashidi Jololo

    JamiiForums Tanzania Wahuni Jeshini Wadhibitiwe haraka, Wanajeshi wafundishwe nidhamu ya kuishi na raia

    Kitendo cha serikali ya CCM kufumbia macho WAHUNI Jeshini waliojichukulia sheria mkononi na kupiga, kujeruhi na kuua raia wasio na hatia HAKIKUBALIKI asilani. Tunafahamu ni kwa muda mrefu sasa majeshi yetu yote (Jeshi la wananchi, Polisi,Magereze n.k) yamekuwa yakitumika na serikali hii ya CCM...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

    Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa. Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel. Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa...
  19. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Angalia Verse ya Kinyamwezi Kwenye Biblia

    Tito 3:10 Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, mkatae;
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini wahuni, watu tunaowaona wadhambi wengi wataingia mbinguni kuliko watakatifu wa kidigitali

    Hawa jamaa waliopinda, wahuni, wezi, vibaka na watu wa aina hii licha ya ukorofi wao huwa wakibanwa kwenye kona ni wapole sana na wepesi kutubu. Nakumbuka ajali moja ya Bajaji abilia wote walikuwa wamelewa chakali lakini wakiwa majeruhi walikuwa wanatubu na kumuomba Mungu fasta kabla hawajadedi...
Back
Top Bottom