Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,718
Labda ipo njia ya kistaarabu zaidi ya kuandika haya mambo. Tunashangazwa wote nadhani katika haya maneno yanayosemwa kati ya Katibu Mwenezi Makonda na Waziri Bashe. Na pia wapo wengine.
Haya ni mambo mabaya. Kama Mbunge Gwajima alivyokuwa anasema jana kwamba mtoto wa tajiri wa Unguja alitoweka sijui halafu akakutwa amekufa. Tena mambo yalivyo labda Gwajima ana idea kidogo nani kafanya kosa hilo, lakini political correctness inamlazimisha kukaa kimya.
Umoja wa kitaifa labda ni njozi tu za alinacha, kwa sababu, wapo matajiri na maskini, hawa watu wanaweza kuwa na umoja gani? Labda itokee vita.
Halafu yule aliyekufa alikuwa ametobolewa macho. Tunaishi na watu mentally deranged.
Kwa hiyo hata kama hatuna umoja wa kitaifa, kwa nini usiwepo imoja katika serikali.
Kuna clip ilikiwa inatembea juzi inasema,tulikuwa wamoja siku zote,imekuwaje siku za karibuni watu wanatazamana kama vile hawajuani?
Watu hawana hiari kuwa wamoja. Kuna sheria zinavunjwa ukijaribu kuwagawa watu.
Tunabishana kuhusu uraia bila sababu. Hawa watu unaiwaita Waha,actually ni Wahutu. Wafukuze basi waende Burundi na Rwanda.