wageni

Wageni Airport (ICAO: FZNS) is an airport serving the city of Beni, in the North Kivu Province of the Democratic Republic of the Congo. The airport is in the northeast section of the city.

View More On Wikipedia.org
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  2. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa wageni kuendelea kuwepo eneo la tukio

    Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko. Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini...
  3. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Kurasini ni Changamoto sana

    Wadau siku ya pili hii natafuta nyumba ya kulala wageni eneo la Kurasini ni shida. Sijafanikiwa kuna wageni wangu wanataka fikia huku shughul zao zipo ukanda huu. Gharama ya chumba iwe tsh 40,000 mpka 60,000 kwa siku. kuwe sehemu tulivu na yenye chakula (hotel) kusiwe na fujo.. Nahitaji...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

    Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaweka Bima ya Lazima kwa Wageni Wanaoingia Tanzania Bara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44. Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Tahadhari za kuchukua uingiapo nyumba za wageni

    Ukiingia nyumba ya wageni yeyote na popote fanya yafuatayo kwa usalama wako: 1️⃣Kagua uvunguni kwa umakini usije kutana na kamera, kichwa cha mtu-matunguri au msukule. 2️⃣Toa shuka kitandani, kagua godoro, chaga na mto wa kulalia ili kuepuka kulalia mikojo, vinyesi au hirizi kwene...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika, Zungu: Baadhi ya wageni wasitambulishwe bungeni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imependekeza kufanyika maboresho ya muda wa kutambulisha wageni waalikwa bungeni ambapo imetaja watakaotambulishwa ni wageni wa kitaifa, kimataifa pamoja na wageni waliotoa mchango kwa Taifa pekee. Hayo yamesemwa leo Juni 11, 2025 bungeni Jijini...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila dhuluma dhidi ya watanganyika inasimamiwa na watawala wageni?

    Tanganyika na Zanzibar zilungana nusu, na kutengeneza Tanzania. Ni muungano nusu kwa sababu Zanzibar iligoma kuingia kwenye muungano kamili, iliendelea kuwa na Serikali yake, na inajitambulisha kama ni nchi, na tena yenye mipaka yake. Hoja muhimu hapa, ni kwa nini kila dhuluma kubwa dhidi ya...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania BUNGENI: Wageni watia usingizi wa pono, mijadala haina mvuto

    Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO! Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu. Wawili wanasogoa. Heko Bunge letu takatifu.
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  12. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Wachina watoka machozi ya damu-TRUMP Azuia Havard Kudahili wageni

    Wachina wanalia machozi sasa Trump mjanja sana sana sana, huyu jamaa anakupiga engo zote kama kitenesi wachina pesa ipo wanakimbilia Havard kusoma kisha wanaleta uchina Amerika, sasa mwamba kasema Wanafunzi wote wa kigeni walio Havard wahamishiwe kwingine kabla visa zao hazijaexpire na wamepewa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaomba Jumuiya za Kimataifa msamaha kwa niaba ya Tanzania, kwa madhila yaliyowakumba wageni wa kesi ya Lissu

    KISINGIZIO CHA SOVEREIGNTY BILA WAJIBU CHA SERIKALI YA TANZANIA, CHADEMA YAAMUA KUBEBA WAJIBU WA KUWAJIBIKA KUZIMA HASIRA ZA JUMUIYA YA KIMATAIFA CHADEMA katika press conference leo 20 May 2025 imewaomba wageni wote waliopata kadhia kutoka mamlaka za serikali ya Tanzania. Wageni hao wengine...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Raha ya wageni kutoka Dalisalamu

    Kuna ukarimu fulani wa kiafrika... Mgeni anapewa heshima kubwa sana.. Kwa baadhi ya makabila mgeni kama ni mwanaume hupewa na mlimbwende kabisa amtoe baridi... Ila sijui kuhusu wageni wa like wanapewa nini🤣 Kuna mwaka Rais Bush wa Marekani alipokuja Tanganyika Dalisalamu barabara zote...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kenya imeamua kulivalia njuga suala la Lissu, wakenya walinusuru maisha yake na Sasa wanapambabia uhuru wake. Mungu hutumia wageni kuleta amani nyumba

    Wakuu si jambo la kushangaza kwa hiki kilichopo hapa nchini maandiko yanasema kuwa Mungu huwatumia watu wengine kuleta amani. Wakati taifa letu likiwa linapitia katika kipindi Cha majaribu makubwa ya haki, uongozi na utu jirani zetu Kenya wameonesha kuguswa na mateso yetu. Sina mambo mengi Hilo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi inavyoshughulika na wageni wanaokuja kwenye kesi ya Lissu, serikali ya CCM inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe kwenye uso wa kimataifa

    Ukichukulia kwamba tayari Ubalozi wa Marekani nchini na Bunge la Ulaya tayari wametoa kauli kuhusu serikali ya Samia kufuata haki za binadamu na utawala wa sheria, na haya mambo yanayotokea nchini kuhusu hawa wageni mashuhuri wanaokuja kwa ajili ya kesi ya Lissu, nashindwa kuelewa ni mtu mwenye...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; wananchi washangazwa na wageni kuja kugombania kugombea ubunge kwenye ardhi Yao. Muda wowote kuliamsha

    Wakazi wa Arusha washtushwa na Siasa za Arusha kuwa zimekuwa za ajabu na kushangaza sana kwa kuona baadhi ya wakuja ambao sio wazawa wa Arusha huku wakiwa hawajui matayua Arusha , kuja kugombea uwakilishi wa ubunge katika ardhi Yao wakati sio wazawa wa Arusha huku vijana wazawa wenyeji tena...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wale Ma-Tour Guide na Tour Operators: Huu Ndio Uzi wa Kupiga Pesa Kiroho Safi kwa Digital Marketing, Wageni Waje Wenyewe

    familia, ma-savage wote wa hii game ya utalii — kama uko field kama tour guide, operator, dereva wa safari, au hata uko chuo unasomea tourism — hii ndo time yako ya kuamka kichwa baridi. Sahau story za kusubiri ajira serikalini au NGO, hizo ndo zile za watu wanaishi kwa matarajio na kuamka kila...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatunga Kanuni kuzuia Wageni kuingia kwenye leseni ndogo za uchimbaji madini bila utaratibu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama...
Back
Top Bottom