wageni

Wageni Airport (ICAO: FZNS) is an airport serving the city of Beni, in the North Kivu Province of the Democratic Republic of the Congo. The airport is in the northeast section of the city.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Msigwa upo Kimya, Je wageni wanaruhusa ya Kukosoa ila Wazawa haturuhusiwi?

    Unakumbuka ule msemo wa “Wageni wakija nyumbani, watoto mkae kwa kunyamaza na utulivu”? Na ukipewa soda au nyama na mgeni fanya kila unachoweza kusema kuwa umeshiba ili tu usipate kuonekana umekula soda au chakula cha mgeni. Hivi ndivyo inavyoonekana kwenye video moja huko mjini TikTok na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaweza kukaa peke yao siku nzima bila kuchoka, wanapenda wageni ila mgeni ukikaa zaidi ya saa unawaboa

    Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake, Anapenda company lakini iwe ya muda mfupi tu, ukienda kumtembelea kaa nusu saa tembea, ukizidisha unamuona jinsi...
  3. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kwa macho yangu Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka. Nina muomba kiongozi mwenye dhamana ya USALAMA ZANZIBAR awajibike ziende fenda za polisi kukamata wale vijana WOTE wenye tattoo na wanao vuta...
  4. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Nini kimeondoa utaratibu wa wageni kuja nyumbani?

    Nini kimeondoa utaratibu wa wageni kuja nyumbani ?
  5. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Inashangaza baadhi ya watumishi kuonesha chuki Kwa wageni katika taasisi

    Inakuwaje watu kuchukizwa Kwa kuona mtumishi mpya ameajiriwa department yao? Mtu umeripoti kazini, baada ya kuanza kazi na kuonesha utendaji mzuri mwanzoni, baadhi ya watumishi wenzako wanaonesha chuki au kuchukizwa kimya kimya na ujio wako. Sasa najiuliza, ni hofu ya competition au wanahisi...
  6. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi na Wageni wanaochagua sana vyakula?

    Mgeni anakuja kwako kukutembelea, tuseme atakuwa kwako kwa kipindi cha muda fulani, Ndani ya muda wote huo anaokaa kwako, anakuwa na tabia ya kubagua chakula, Mara dagaa sili Ohh maji nakunywa ya dukani tu. Ukijifanya kukaza fuvu , anaanza safari za kusingizia oho naenda sehemu fulani, kumbe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wageni wanaotoka mikoa mingine kuhamia kwenye majiji huwa wanafanikiwa kuzidi wenyeji ?

    Hii ni hali inayoonekana kwa mfano wazi kwenye majiji mfano Dar es Salaam, ambapo wenyeji wengi, licha ya kuwa wamezaliwa na kukulia hapa, bado wanakutana na changamoto kubwa katika kufikia mafanikio. Zaidi ya hayo, siku hizi hatuwezi kusema kuwa wenyeji wa Dar ni Wazaramo pekee kama ilivyokuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majiji na watu walioyashikilia kiuchumi,

    DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k. MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara. ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana Mbeya - Watu wa Njombe Dodoma na Tanga sijajua
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Watanzania ni watu wanaojidharau kiasi hiki, wanaamini Mataifa mengine ndiyo Paradiso, wageni ndio wenye thamani bali si wao

    Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wasauzi wamechafukwa mno: Hawataki wageni sasa bila hata uoga

    South Africa imegeuka kuwa motoni kama wewe sio Msouth hizi siku za karibuni Sasa sio tena kikundi fulani kinashambulia wageni bali nchi nzima wananchi wameamua hawataki wageni iwe kutoka nchi zingine za africa au nchi za asia Sasa wameanza kwenda mpaka mashuleni kuwasubiri wakati wanaenda...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Walia na Wageni Kufanya Biashara Kariakoo, Faini Ndogo

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi. Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia...
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Unawaomba radhi wageni kwa kuwakatia intaneti kwa siku 6 halafu wazalendo uliowaua hata majina yao unajifanya hauyajui!

    https://www.washingtonpost.com/world/2026/01/15/tanzania-samia-suluhu-hassan-internet-shutdown-october-election/21b8d8a0-f24f-11f0-a4dc-effc74cb25af_story.html Huyu Samia ni kiumbe wa ajabu sana. Katika busara zake kaona ni sahihi kuwaomba radhi mabalozi kwa kuzima intaneti wakati ule wauaji...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Unavyopenda sifa za show off ili Ommy tutauliza marekani huko maana sio wageni.

    Marekani sio mbinguni.wana JF tunaomba kujua mke wake.
  14. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  15. kahtaan

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusichezewe akili na wageni

    Wana jamvi. MaJuzi mmesikia USA waki conderm majanga yaliotokea ktk nchi yetu nzuri. Na E.U kuzuia msaada wao wa 180 million Dollars kwa kisingizo hicho hicho. Juzi Balozi wa USA nchini amesaini mikataba mikubwa mitatu ya makampuni ya MAREKANI kuwekeza Hapa Nchini. Sasa wale ambao wanadhani...
  16. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe aendelea kuhamasisha vijana kudumisha utulivu na kutoa taarifa za uhalifu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumanne Muliro azikataa Video za mauaji kipindi cha maandamano zinaosambaa mtandaoni, adai zimetengenezwa

    Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili (DW), Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema Video za mauaji zinaosambaa mtandaoni zimetengenezwa na watu, na kwamba jeshi hilo kwa nyakati fulani limewahi kufanyia uchunguzi baadhi ya video zilizodaiwa kuchukuliwa kwenye baadhi ya maneno...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa sababu waloandamana ni Wageni, asipatikane MTU yoyote kujihusianisha na kile kinachoitwa 'Maridhiano' kwakua MTU huyo Hatasamehewa Yeye na Kizazi

    Hii sio Tanzania ya 1990 !. Tanzania Mpya imezaliwa Tarehe 29/10/2025, Kinachoendelea na kitakachoendelea na Mchakato wa makuzi ya mtoto!!. Sasa , Uzi Huu ni Ushauri na Ukumbusho na Onyo Kwa wooooote wale ambao Majina yao yataoneoana kwenye Karatasi Takataka inayoitwa "Mwenyekiti ,Katibu Na...
  20. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hili la kuingiza wageni kuja kutuua kamwe halitosameheka

    Ni heri tungeendelea kuuliwa na ndugu zetu askari wa jeshi letua polisi au JWTZ .
Back
Top Bottom