sisi sio wageni

sisi sio wageni

kamdinyo

Senior Member
Joined
Jun 22, 2026
Posts
144
Reaction score
379
sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini.

kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's mpya kwa maneno ya kejeli kadhaa wa kadhaa.
inatokea mtu unaingia humu kama guest kwa miaka zaidi ya mitano, sasa ukiamua kuwa member ukaingia humu inaonekana wakuja.
" yu bela woch yua back , ifu yu giv me wans ai givu yu tripo. wi luvu awa laif".
acheni tabia ya kujibebesha uganga wa jadi na kupiga ramli humu jukwaani. mnakera😏👌. mkome kuja pm kunitongoza!bumbav!
 
Kwani una makebo?
 
acheni tabia ya kujibebesha uganga wa jadi na kupiga ramli humu jukwaani.
Sasa mbona na wewe umepiga ramli kwa wageni wenzako?

Umejuaje kua na hao wageni wenzako nao pia ni wenyeji humu kama wewe? huoni kua na wewe umepiga hiyo ramli?
 
sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini.

kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's mpya kwa maneno ya kejeli kadhaa wa kadhaa.
inatokea mtu unaingia humu kama guest kwa miaka zaidi ya mitano, sasa ukiamua kuwa member ukaingia humu inaonekana wakuja.
" yu bela woch yua back , ifu yu giv me wans ai givu yu tripo. wi luvu awa laif".
uuacheni tabia ya kujibebesha afouganga wa jadi na kupiga ramli humu jukwaani. mnakera😏👌. mkome kuja pm kunitongoza!bumbav!
Umefoka kinyama mkuu.
 
Back
Top Bottom