Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi ...
Quran imeeleza wazi
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu.
Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi...
Wachawi wanaweza kupanda mkuki, ufagio au ungi wakasafiri hadi nje ya bara kwa sekunde.
Wanaweza kuwaamrisha fisi, mamba, paka, mijusi hata mbwa kufanya wanachotaka wakati wowote bila kubisa.
Ni aibu kubwa mtu kujiita mfuasi wa Mungu mwenye nguvu zote wakati huna uwezo kwa Kucheza na vitu vya...
Serikali sikivu ni serikali imayosikiliza maonj ya wananchi chawa endeleeni kumdanganya mama na kusema udini lakini juweni kuwa mkataba huo hakuna anayeutaka zaidi ya nyie mnaoongiza serikali ,mnaowaoongoza wameshasema hauna maslahi kwa taifa kiujumla
Kesho mapema nawahi siti ya mbele...
CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).
Wakati watu wengi wanaamini ile...
Kuna kundi kubwa sana la viongozi ambao hawaja chaguliwa kuwawakilisha watu. Kundi hilo wapo wanawake kwa wanaume.
Wanajiita illuminati. Kundi hili wanazungukia kila Nchi dunia nzima na kuteka rasilimali. Kundi hili linashambulia wanadamu kwa kisingizio cha mabadiliko ya tabia ya nchi au...
Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.
Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni
Erythrocyte
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyewe
Rais William Ruto ameapa kutumia nguvu zote alizonazo kuhakikisha maandamano ya Azimio yaliyopangwa kufanyika Jumanne wiki ijayo, hayatazidi kuwa machafuko na ghasia.
Hisia za Ruto zinafuatia hatua ya Muungano wa Azimio la Umoja kurejesha maandamano nchi nzima juu wakidai Kenya Kwanza kushindwa...
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Jf, members!
Salaam!
Nauliza iwapo watu wenye uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM iwapo wanaweza shangilia au kuwa wafuasi wa CDM, ACT, NCCR, au CUF. Nauliza hivi sbb hizi:-
(a). CDM - mwenyekiti wao kawa Mungu watu, tangia aingie madarakani ni miaka lukuki na wafuasi wako kimya kbs...
Polisi wa New York (NYPD) wametakiwa kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea kutokana na taarifa za Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kushtakiwa.
Kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa za wafuasi wa Trump kuingia mtaani kupinga mashtaka atakayofunguliwa.
Trump amefunguliwa...
Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu.
Hao...
Mamia ya wafuasi wa Upinzani wameanza maandamano ya Siku 3 kupinga hatua ya Rais Macky Sall wa Senagal kupanga njama za kubadili Katiba Ili kumuwezesha Kugombea muhula wa 3.
Wafuasi hao wengi wakiwa ni wa Kiongozi wa Upinzani Ausmane Sakho aliyeko kolokoloni wameapa kupambana kuhakikisha...
Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
Kuna matukio yametoka hivi karibuni kwenye medani yetu ya siasa hapa nchini, matukio ambayo yamevunja sana mioyo ya wafuasi wa Chama Kikuu cha Upinzani, CHADEMA.
Matendo ya chama yanaweza kuimarisha imani ya wanachama/wafuasi ya wanachama kwa chama chao, au kuzorotesha kabisa. CHADEMA kwa...
Wakuu kwema?
Habari hapo kwa majirani ni mzee Odinga anadai alishinda uchaguzi na anasema ataitisha maandamano makubwa ya kwenda kumtoa Ruto Ikulu
Uchaguzi ulikuwa wa wazi na matokeo yote yaliyotoka vituoni na kusainiwa na mawakala wa pande zote yote yalikuwa uploaded online
Na kama kuna wizi...
Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa Instagram Duniani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.