Wafuasi wa International Globalists Elites na malengo yao ya kimataifa

badison

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,450
2,702
Kuna kundi kubwa sana la viongozi ambao hawaja chaguliwa kuwawakilisha watu. Kundi hilo wapo wanawake kwa wanaume.

Wanajiita illuminati. Kundi hili wanazungukia kila Nchi dunia nzima na kuteka rasilimali. Kundi hili linashambulia wanadamu kwa kisingizio cha mabadiliko ya tabia ya nchi au climate change. Kuna vikao vingi vinafanywa na hao wanaojiita wakuu wa nchi kuhudhuria vikao vya agenda mbaya kama COP 26.

Kundi hilo wamekubaliana kuwasaliti binadamu wenzao na kuwafanyia njama za binadamu kuwa masikini wa kutupwa.

Kundi hilo la illuminati linafanya kazi kupitia kundi la world economic forum. Wanatimiza agenda 2030. Agenda hii ni ya population reduction au depopulation agenda.

Lakini habari njema ni KWAMBA Mungu yupo na kamwe mwovu aliyekuja kuiba, Kuharibu na kuuwa hawezi shinda. Hili kundi la kimataifa la illuminati lipo duniani kote na nyenzo yao kuu ni matumizi ya uchawi kupitia mipira ya miguu au soccer, muziki, sare za kisasa, viongozi wa kisiasa ni.

Ila udhaifu wa kundi hili ni kwamba limechagua kuwa kundi la shetani. Na kundi la Mungu ndio linaloshinda daima. Mtashindana sana lakini hamta shinda.

Baadhi ya wanachama wa kundi hilo hawa hapa kwenye picha.

IMG_20230615_103626.jpg
 
Back
Top Bottom