wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tucta na Serikali lao Moja, wafanyakazi msitegemee jipya

    Hatimaye baada ya lile jambo kugeuka 'kijambo' Raisi wa TUCTA , Ndg Tumaini, alijirekodi kwenye video fupi akisema hata yeye amepigwa na butwaa na hajui kitu Gani kimetokea! Kumbuka baada ya Mei Mosi huyu Rais wa TUCTA akihojiwa na Gazeti la mwananchi alisema 'wao' wanajua kiasi kilichoongezeka...
  2. Wafanyakazi poleni sana lakini tija ya kazi ni kama hakuna!

    Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara. Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini. Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama siyo zote, HAKUNA utendaji wenye tija. Ingekuwa ofisi za serikali, watumishi wakahamishiwa ofisi za...
  3. Wafanyakazi wa Umma waongezewa mshahara mkia wa mbuzi

    Husika na kichwa habari hapo juu kama kinavyojieleza.
  4. Tatizo kubwa siyo "Nyongeza ndogo" ya mshahara, tatizo kubwa kukatwa mpaka na vyama vya wafanyakazi (Rais Samia ondoa makato ya lazima ya vyama)

    Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe. Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari. Hii ni DHULMA. Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa. Mtumishi hatakuja kupata...
  5. U

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  6. S

    Wafanyakazi msitupigie kelele. Nyongeza ya 20k mnaibeza? Namshauri Rais aihamishie kwenye ruzuku ya mbolea

    Imenikera! Tena imenikera kweli kweli! (In dikteta's voice). Wakulima tunaishi nchi hii kana kwamba hatuna serikali. Hakuna anayetujali kwa chochote Wala kwa lolote. Hatukopesheki, hatuna bima ya afya na idadi yetu haijulikwni. Na waliofikisha umri wa miaka 60 (umri wa kustaafu) bado wanalima...
  7. Swala la nyongeza ya mshahara wafanyakazi hawataki ufafanuzi. Haina tija na haitoshi

    Wafanyakazi walihitaji nyongeza za uhakika. Ila anachofanya sasa ni vituko tu. Kwa maisha haya elfu ishirini itasaidia nini. Watumishi wanaitaji vitendo zaidi. Kwa wastani kila mtumisi kaongezewa buku tu kwa siku. Kwa maisha haya hiyo elfu moja inamaana gani? Mwaka jana mliongeza elfu 2 eti...
  8. Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

    Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha. Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi. Yaani hadi...
  9. Waziri Dkt Stergomena akabidhi zawadi za Wafanyakazi Bora kwa watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amewataka watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT kuendeleza utii, weledi na uaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kazi, na kuepuka migogoro mahali pa kazi. “Pamoja na kuwa sina mashaka kuhusu nidhamu mliyonayo...
  10. Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA] Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk. Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
  11. Kwanini waraka wa kisheria unaomkataza mwajiri kuingiza makato ya vyama viwili vya wafanyakazi kwa mpigo bila ridhaa ya mtumishi,hauheshimiwi?

    Ndugu zangu nimejiuliza maswali kadha wa kadha kuhusu suala la MWAJIRI kupitia ofisi ya Afisa utumishi kuingiza makato ktk mshahara wa mtumishi kwa vyama viwili tofauti vya wafanyakazi ktk mshahara wa mtumishi,nimefuatilia suala la Sumbawanga ,vilevile bado nafuatilia na mikoa,pamoja na wilaya...
  12. Netflix yaachisha kazi wafanyakazi 450 ndani ya miezi 6

    Kampuni ya kuonyesha Filamu ya Netflix imetajwa kwa awamu ya pili kuachisha kazi takriban wafanyakazi 300 kama namna ya kudhibiti gharama za uendeshaji. Mnamo mwezi Mei kampuni hiyo ilipunguza wafanyakazi takriban 150. Hatua hii ni baada ya ripoti mbaya ya mapato ya #Netflix ya robo ya mwaka...
  13. Mtazamo: Wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 wanastahili kupata mserereko

    Haya ni maoni yangu binafsi kama tujuavyo mara baada ya Raisi magufuli kuingia madarakani haki MBALIMBALI za wafanyakazi ikiwemo nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilisimama, Na kupekelekea wafanyakazi wengi ikiwemo walioajiriwa mwaka 2014 kusota na mshahahara ule ule. Hatimaye...
  14. L

    Wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali

    Juni 19 mwaka 2022, halijoto ya juu ya siku hiyo ilikaribia nyuzijoto 40 mjini Ji’nan China, na wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali.
  15. Tupime Pombe na Madawa ya Kulevya kwa Wafanyakazi Taasisi za Serikali na Bunge

    Mimi kama Mtanzania mwenye nia nzuri na malengo na hii nchi japo nimetamani kuikimbia na nimepata nafasi kadhaa ila nikaamua kubaki naomba kupendekeza ofisi za serikali na bunge zianze kupima pombe na madawa ya kulevya. Hii itasaidia kuondoa wafanyakazi na wabunge ambao wanafanya maamuzi ya...
  16. Mwanaisha Mndeme: TUCTA Inawauza Wafanyakazi, Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu

    TUCTA Inawauza Wafanyakazi: Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu. Utangulizi: Hivi karibuni, yametokea maamuzi makubwa kuhusu hatima ya wafanyakazi nchini, tangu Mei Mosi, kuanzia ongezeko la kima cha chini cha mshahara, ukomo wa umri wa wategemezi wa Bima ya Taifa ya Afya na...
  17. S

    Mtazamo: Baada ya mishahara na posho za wafanyakazi kuongezwa, sitashangaa kuona mishahara na posho za wabunge nazo zikiongezwa

    Wakati mishahara na posho za watumishi wa umma zikiongezwa, akili yangu inaniambia wakati wowote sasa au baade kidogo, tutanza kuona au kusikia habari ya wabunge kuogezewa posho na mishahara.. Hoja inaweza kuanzishwa na wabunge wenyewe au serikali yenyewe ndio ikfanya hivyo na hii itakuwa ni...
  18. Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

    Samahani kwa kutokusalimia. Nipo katika tafakuri nzito yenye sonono ndani ya moyo wangu, binafsi nikionaga mwafrika ananyanyasika ndani ya nchi yake moyo wangu huwa unalipuka na kukosa amani kabisa. Kama mna kumbukumbu kuna siku niliwahi kutoa thread kulaani na kulalamika kwa nilichokikuta...
  19. K

    Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari. Chukua tahadhari.
  20. B

    Alichofanya Rais Samia kwa wafanyakazi ni zaidi ya kuupiga mwingi

    ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali ya Rais Samia kukata kiu iliyosubiliwa kwa hamu kubwa na Wafanyakazi kwa miaka 6 kwa kuongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…