Posta ilivyoshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
POSTA ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI

Shirika la Posta Tanzania limeshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, ambapo kitaifa yamefanyika Mkoani Morogoro.

Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu inayosema "Mishahara Bora na Ajira za Staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya Wafanyakazi Wakati ni Sasa” yalianzia viwanja vya Shule ya Sekondari Morogoro na kuhitimishwa katika uwanja wa Jamhuri ambako ndiko kilele cha maadhimisho hayo yalipofanyika.

Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Imetolewa na;
Kitengo cha Mawasiliano
Shirika la Posta Tanzania
01 Mei 2023
 

Attachments

  • FB_IMG_1683036609824.jpg
    FB_IMG_1683036609824.jpg
    92.8 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1683036613081.jpg
    FB_IMG_1683036613081.jpg
    116.1 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1683036616113.jpg
    FB_IMG_1683036616113.jpg
    82.6 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1683036619463.jpg
    FB_IMG_1683036619463.jpg
    116.5 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1683036622604.jpg
    FB_IMG_1683036622604.jpg
    121.1 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1683036625995.jpg
    FB_IMG_1683036625995.jpg
    86.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom