Sudan: Kituo kinachofuga Simba chapungukiwa chakula kutokana na vita, wafanyakazi waanza kukimbia

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,294
5,424
sudan.jpg

Kituo hicho cha Sudan Animal Rescue Centre (SARC) kinachofuga Simba 25 pia kina wanyama wengine wakiwemo gazelles, ngamia, nyani na fisi, kipo karibu na Jiji la #Khartoum ambapo kuna vita ya kugombea madaraka inaendelea.

Simba mmoja anakula kilogramu 5 hadi 10 za nyama kwa siku jambo ambalo linawapa ugumu waratibu kwa kuwa vita imesababisha biashara ya utalii kutofanyika, pia umeme unaotumika kuendesha uzio unaolinda Wanyama nao hauna nguvu kutokana na hitilafu.

Uongozi wa kituo hicho umeonya kuwa hali inaelekea kubaya kwa kuwa wafanyakazi wengi hawaonekani kazini, hivyo uangalizi wa Wanyama ni mdogo.

============

Sudan crisis: Lion reserve running out of food

The ongoing clashes between the Sudan's army and the paramilitary forces are endangering the fate of 25 lions and other animals in a wildlife reserve near the capital, Khartoum.

The Sudan Animal Rescue Centre said it was without electricity to power safety fences around enclosures and running low on food for the lions, which each require five to 10kg of meat a day.

In a statement, the facility warned that the situation at the sanctuary had become “critical”.

It said it no longer had a permanent staff presence at the sanctuary, located south-east of Khartoum near a military base that has been rocked by “deadly clashes on a daily basis”.

One of its vehicles had been stolen, it said.

“We are under tremendous pressure due to the current power outage, and our stocks of food and drinks are beginning to run out,” it said.

“We therefore appeal to all officials and those with the ability to help with the need to intervene … as soon as possible,” it added.

The reserve houses 25 lions and various other animals including gazelles, camels, monkeys, hyenas and birds.

Source: BBC
 
Kazi ndogo sana

Zile maiti za hao wanaopigana zingelisha Simba
 
View attachment 2599388

Baada ya muda utasiki Simba wametoka nje, alafu nakwambia hata wanajeshi watalala mbele na kuacha vita mwendo wa Simba sio wa masihala
 
Hao tuende na malori tukajibebee Simba na ngamia swala tunawaachia wao
 
Hata mimi ningekimbia. Hao jamaa hata wenyewe kwa wanyewe wanatendana, mimi ni nani waniache? Sijasahau ya Bob Juniya.
 
Back
Top Bottom