wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA (1968 – 1975) zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa

    Wakati wa Ujenzi wa Reli ya TAZARA zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa, kati yao Wachina walikuwa 64. Ujenzi ulihusisha Vibarua na Wahandisi 38,000 kutoka Tanzania na Zambia, pia timu ya Wataalam na Wahandisi 13,500 kutoka China. Reli hiyo iliyojengwa kati ya Mwaka 1968...
  2. Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
  3. T

    DOKEZO Afisa mwandamizi wa rasilimali watu ajipa fedha za mikopo ya wafanyakazi kwa matumizi binafsi

    Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya serikali bila kufuata taratibu za mikopo ya wafanyakazi. Mwaka 2023, Afisa mwandamizi wa rasilimali watu...
  4. Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

    Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea wengine mabaya, ni bora uwe neutral (mtu wa haki sio mtu wa favors) kuliko kuwa negative. Hii ni kwa...
  5. Wafanyakazi 3,600 wa Muhimbili kupewa elimu ya fedha kabla ya kukopa au kuwekeza

    Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza. Ahadi hiyo...
  6. Hongera Rais Samia kwa kuweka msawazo wa Madaraja kwa wafanyakazi nchini

    Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa.... Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021! Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017...
  7. D

    Naona wafanyakazi wa bandari na wajanja wenzao wa kupiga Dili, pumzi inskaribi kukataa.

    Wamejaribu kutumia kila kete kunusulu ulaji wao lakini wapi! Mama Yuko strong kwenye uwekezaji Huwa hayumbishwi kabisa. Wamejaribu kumtumi Shivji akahit lkini upepo umeshakata. Wamemtumi slaa naye kaenda na maji. Wamewatumia lisu na viongozi wa dini hasa zile dini kubwa zinazopitisha magendo...
  8. Ndani ya miezi 6, Kampuni za Teknolojia zimefukuza Wafanyakazi 201,860

    Mwaka 2023, umetajwa kuwa mwaka mgumu sana kwa Wafanyakazi wa Tasnia ya Teknolojia duniani kote baada ya kugharimu tena ajira za makumi kwa maelfu ya wafanyakazi. Wakati huu, upunguzaji wa wafanyakazi umefanywa na makampuni makubwa zaidi katika teknolojia kama Google, Amazon, Microsoft, Yahoo...
  9. Wafanyakazi wa Boma la Mafuta (EACOP) wafikishwa Mahakamani kwa wizi wa Mafuta Lita 7,441

    Ni Wafanyakazi 4 wa Kampuni ya JV Spek LTD inayojenga mradi mkubwa wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Igunga, Tabora. Watuhumiwa hao ni pamoja na waongoza Mitambo Ally Said (36), Samwel Mtenga (35), Awadh Mrango (36) na...
  10. Wafanyakazi IPTL waendelea kuililia Serikali

    Waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) wameendelea kuiomba serikali iwasaidie kulipwa stahiki zao wanazoidai kampuni hiyo.Wafanyakazi hao walioachishwa kazi 31 october,2018 wamekuwa wakifuatilia stahiki zao bila mafanikio. Wafanyakazi hawa...
  11. Serikali ihakiki mikopo ya wafanyakazi

    Hivi hakuna namna ya serikali kuhakiki mikopo ya watumishi, sawa na jinsi walivyo hakiki vyeti. Watumishi wengi sana wanaumizwa na taasisi za kifedha... Mwisho wa siku utendaji kazi wao unakuwa hafifu.
  12. L

    Makato ya Vyama vya Wafanyakazi kifungu c

    72.-(1) Mkataba unaomlazimisha mfanyakazi kuwa mwanachama wa chama cha wafanyakazi hauna nguvu za kisheria. (2) Chama cha wafanyakazi kinachotambuliwa na mwajiri wanaweza kufikia makubaliano ya pamoja yanayotoa duka la uwakala. (3) Mahitaji ya makubaliano ya duka la uwakala linalobana ni: (a)...
  13. Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  14. SoC03 Ofisi za kazi mkoa tatueni kero hizi wanazopitia wafanyakazi wa viwandani

    Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda vinatoa ajira kwa watanzania wengi. Pamoja na umuhimu huo, Kwa muda ambao nimefanya kazi viwandani...
  15. DOKEZO TANESCO Arusha inawanyanyasa Wafanyakazi Wake

    Lengo la uzi huu ni kuitaka serikali iwe makini na utendaji wake, na pia kuwataka wananchi wazinduke na kupinga matendo maovu yanayoendelea nchini. Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kule mkoani Arusha limekuwa na historia kwa muda mrefu sasa ya kutojali wafanyakazi wake pamoja na maslahi yao...
  16. F

    Wafanyakazi wa bandari, ajira zenu hazipo guaranteed kihivyo, tegemee reshufle kubwa na mnaweza kuwa maskini kama mlizoea kuishi kwa madili

    DPW wakiwasili kwenye bandari zetu mengi yatabadilika for good or for worse. Japo ningependa uwazi zaidi juu ya mkataba na DPW, najua kuna mambo yatabadilika na kuwa mazuri na mengine yatakuwa sio. Je ilishindikana kabisa kwa Serikali kuweka nguvu zake na kuibadilisha bandari ya Dar kuwa kama...
  17. Bashe TBT: Kama wafanyakazi mmeshindwa kuiwajibisha serikali bora mfe

    Hata mimi nasema bora mfe
  18. Kujiunga Vyama vya Wafanyakazi ni Hiari, Kwanini Walimu Wanalazimishwa Kujiunga Vyama Viwili?

    KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NI HIARI, KWANINI WALIMU WANALAZIMISHWA KUJIUNGA VYAMA VIWILI VIWILI "Je, ni faida gani ambayo wafanyakazi wanapata kupitia uwekezaji wa fedha wanazokatwa na vyama vya wafanyakazi"? - Mhe. Neema Gelard Mwandabila, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe "Faida...
  19. D

    Zamani ukitaka pesa chapuchapu ilitakiwa uwe mfanyabiashara sahivi viongozi na wafanyakazi vitengo ndo wanapata hizo chapu chapu

    Mwalimu Nyerere aliasisi uadilifu katika utumishi was umma! Zamani ili uwe na pesa za kuchota ilitakiwa uwe mfanyabiashara mkubwa! Lakini sasahivi viongozi na wafanyakazi vitengo ndiyo wanajichotea pesa mingi kupitia posho, madili na vikao per DM! Kwa wiki marurupu tu ya vikao anakunja hata...
  20. Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…