DOKEZO Afisa mwandamizi wa rasilimali watu ajipa fedha za mikopo ya wafanyakazi kwa matumizi binafsi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

tabatamoja

New Member
Jul 19, 2023
1
0
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya serikali bila kufuata taratibu za mikopo ya wafanyakazi.

Mwaka 2023, Afisa mwandamizi wa rasilimali watu, alijipatia mkopo kinyume na taratibu za mikopo ya wafanyakazi kama msimamizi wa mfumo wa mikopo ya wafanyakazi kwa kujipitishia fedha zaidi kwenye mfumo, tofauti na fedha alizokuwa anastahili kupata, na kisha akazichukua fedha zote alizopitisha kwenye akaunti yake ya benki akijua kwamba alichokifanya ni kinyume na sheria ya mikopo ya wafanyakazi wa benki ya kilimo.

Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu, kwakujua kwamba mtu wa chini yake amefanya kosa akaamuru Afisa mwandamizi wa rasilimali watu apewe mkopo wa ziada ili kurekebisha kosa lililofanyika na Afisa mwandamizi wa rasilimali watu bila kuchua hatua za kisheria au za kinidhamu kwa udanganyifu wa Afisa mwandamizi wa rasilimali watu.

Leo,Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu anaendekeza tabia mbovu kwenye taasisi ya serikali huku wafanyakazi wengine wakinyanyasika kwenye swala la mikopo, baadhi yao kutishiwa kufanyiwa uchunguzi wakiomba mikopo.
 
Tumerudi kuwa watu wa Business as usual , kuongoza hii Nchi imekuwa tabu sana hasa ukiwa serious kuinyoosha mifumo, ndiyo maana JPM alionekana Mzee kuliko JK
 
Back
Top Bottom