wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. James Martin

    JamiiForums Tanzania Lissu ukishinda uchaguzi inabidi uisuke upya TRA ili kukomesha unyanyasaji wa wafanyabiashara

    TRA ni chombo cha ukusanyaji kodi ambacho pia kinapaswa kufanya kazi vizuri na wafanyabiashara ili kuwapa ari ya kuendeleza uchumi wetu. Cha kushangaza ni kwamba wafanyabiashara sasa wanaiona TRA kama chombo cha ukandamizaji. Kwa kuwa serikali ya sasa imefeli kuisimamia TRA kuimarisha mazingira...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lissu alaani unyanyasaji wa wafanyabiashara nchini

    Katika ziara yake ya Mbeya, mheshimiwa Tundu Lissu amekemea vikali unyanyaswaji wa wafanyabiashara nchini kupitia TRA. Amesema TRA inapelekea biashara nyingi kufa na hivyo haisaidii biashara kukua Wakati huohuo Tundu Lissu amelaani mtindo wa vitambulisho vya wamachinga vinavyouzwa shilingi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni wakati wa wafanyabiashara na Wadau wa Sekta Binafsi kumwadhibu Rais Magufuli

    Huu ni wito kwa Wafanyabiashara na Wadau wote wa Sekta Binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura. Mpigeni za uso ili mumkumbushe kwamba serikali iliyostaraabika duniani kote haimiliki njia za uchumi na pia...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  5. T

    JamiiForums Tanzania CCM inaenda kuondolewa na watumishi wa Umma, Wahitimu wa Vyuo, Wakulima na wafanyabiashara

    Watumishi wa umma hawajapata nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano, kupanda madaraja na vyeo ni ndoto, uhamisho wa kubadilishana ni hadithi Wahitimu wengi sana wa vyuo hawana ajira tangu 2015 mpaka sasa, ajira ya moja kwa moja ilikoma Mei 01, 2015 enzi za Jakaya. Wakulima wanadhulumiwa mazao...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje wafanyabiashara kupandisha bei ya mafuta kinyemela bila kutangaziwa bei elekezi na UWURA

    Mara ya mwisho bei za mafuta zilipanda tu bila kuwepo kwa bei elekezi, mwenye taarifa kama utaratibu umebadilika tunaomba atujuze, tafadhali...
  7. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa unakwama wapi? Wafanyabiashara wa mafuta hawawezi kuichezea Serikali hivi

    Sana JF. Wafanyabiashara ya mafuta ni dhahili kwamba Serikali kuoitia waziri wake pamoja na taasisi yake EWURA wameshindwa kutimiza wajibu wake, Dar sasa haina mafuta, ikitokea la kutokea mji mzima hakuna mafuta. Bagamoyo road yote karibu Sheri nyingi zimegoma kuleta mafuta. Watanzania wengi...
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania EWURA yashindwa kuthibiti wafanyabiashara ya Mafuta, ni siku ya tatu vituo vingi vimefungwa, wengine wapandisha bila tangazo la bei

    Wana JF Ni siku ya tatu mfululizo barabara ya dar bagamoyo vituo vingi havina mafuta. Hatuwezi kujua kama yamekwisha au yamefichwa kusubiri bei mpya. Kituo cha Bunju mianzini Lake Oil hicho kilifungwa jumamosi. Ninavyojua haiwezekani mafuta ya aina zote yakaisha siku moja, lazima...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2020: Brigedia Jenerali, John Mbungo, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU awaonya Wafanyabiashara na Wanasiasa

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa gharama za uchaguzi ndani ya vyama vya siasa. Hayo amesema Brigedia Jenerali, John Mbungo, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Bunge ni matokeo ya Bunge kujaa wafanyabiashara tuwapunguze akina Shabiby, Nchambi, Abood, Musukuma n.k

    Bunge la Tanzania la awamu iliyopita lilikuwa dhaifu, CAG alisema, Makonda alisema, wapinzani wamesema sana. Makundi mbalimbali ya wananchi wanasema pia. Udhaifu wa Bunge ilikuwa ni matokeo ya kupeleka bungeni wabunge wanaoangalia masilahi yao na siyo kwamba ni wabunge dhaifu. Wabunge...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba yafana sana. Kwa mara ya kwanza wafanyabiashara Wahindi wengi wa Tanzania wahudhuria, wanunua sana

    Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na...
  12. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuta Tozo 163 Kuwaondolea Usumbufu Wafanyabiashara

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Serikali kupitia mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara nchini (Blue Print) imeweza kufuta tozo 163 kati ya 173 zilizokuwa zikisababisha kero na usumbufu kwa wafanyabiashara nchini. Akizungumza katika ufunguzi wa Maonyesho ya 44 ya Biashara ya...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga marufuku wapiga debe kwenye stendi ya Dodoma. Ataka wafanyabiashara wasisumbuliwe

    RAIS Dk. John Magufuli, ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi, kuhusu stendi kuu ya mabasi iliyopo jijini humo ikiwemo kuhakikisha wajasiriamali wadogo, waendesha bodaboda na daladala kutosumbuliwa. Rais Dk. John Magufuli. Magufuli ametoa maagizo hayo leo kwa njia ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CORONA VIRUS: Ushauri kwa Wafanyabiashara na Watoa Huduma katika Sekta ya Utalii

    Anga la Tanzania limefunguliwa takribani wiki 2 zilizopita na nchi kuruhusu Watalii kuingia nchini. Utaratibu wa watalii kuingia nchini utahusisha upimaji wa joto wakiwa Uwanja wa Ndege na kisha kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao za kitalii. Njia hii ya upimaji wa joto pekee ndiyo...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwasaka wafanyabiashara wanaoficha mafuta au kuuza mafuta juu ya bei elekezi

    WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani ametoa siku saba kuanzia jana kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) na Wakala wa Kuagiza Mafuta kwa Pamoja kuwasaka wafanyabiashara wanaofi cha mafuta au kuuza mafuta juu ya bei elekezi na kuwachukulia hatua za kisheria. Akizungumza...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Temeke yakosa utu , yaanza kuwadhalilisha wafanyabiashara waliochelewesha malipo bila kujali janga la corona

    Pamoja na serikali ya Tanzania kutambua ugumu wa mzunguko wa biashara nchini humo kutokana na janga la Corona , na kupitia BOT imetoa maelekezo kwa benki zote kutoa nafuu ya marejesho ya madeni ya mikopo kwa wateja wake , ambapo baadhi ya benki nchini Tanzania ikiwemo Exim bank , ambayo...
  17. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania TRA yawaelimisha wafanyabiashara Jijini Dar es Salaam kuhusu kodi ya zuio

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaelimisha wafanyabiashara wa maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam kuhusu Kodi ya Zuio na kutoa wito kwa wamiliki wa majengo, fremu na ardhi kuwaruhusu wapangaji wao kuzuia kodi hiyo ambayo ni asilimia 10 ya kiasi cha malipo walichokubaliana katika mkataba wa...
  18. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SGR Kenya yakalia kuti kavu: Wafanyabiashara Uganda wakataa kulazimishwa kutumia Naivasha ICD

    Wakati serikali ya kenya wakitoa waraka wakutaka matumizi ya ICD ya Naivasha yawe lazima kwa mizigo inayoelekea Kampala ili kuboost matumizi ya SGR yao ambayo Sasa imekua Kama White Elephant. CURBING VIRUS SPREAD: Transport CS James Macharia joins other government officials in...
  19. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania TCCIA Manyara watoa ushauri TRA kufuatia Malalamiko ya wafanyabiashara

    Baadhi ya wafanyabiashara mjini Babati mkoa wa Manyara wakitoa maoni yao juu ya utendaji wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoani hapo,wameonyesha kutoridhishwa na namna wanavyohudumiwa. Wakizungumza na kituo hiki bila kutaja majin yao, wamesema kuwa baadhi ya watumishi katika mamlaka hiyo...
  20. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kenya waanza kulia

    Wanamuomba Uhuru Kenyatta aende mpakani akajionee hali inavyokuwa mbaya. Ama kweli Tanzania inawalisha, ndio wakome sasa kukurupuka.
Back
Top Bottom