Wote ni mashahidi kwa namna ambavyo watanzania wengi ni wagumu kufuata utaratibu pamoja na sharia halali zilizowekwa. Wengi wetu tunapenda sana kupata mali kirahisi na kwa njia ya udanganyifu ama rushwa.
Sasa je, serikali ikaamua kutumia upole na njia laini kukusanya kodi Watanzania wangapi...
Najua wapo watakao sema ni ukatili, hapana.
Kama ambavyo wafanyakazi wanao lipwa sh hata laki nne kwa mwezi hukatwa Kodi kila mwezi, ni wakati wa wafanyabiashara tajwa kulipa Kodi halali itakayo kusanywa na TRA, sio hivyo vitambulisho vya 20,000 ambayo hatujawahi kuambiwa huwa inakwenda wapi...
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema TRA wanapaswa kuwalinda wafanyabiashara na kuhakikisha biashara zao zinagrow badala ya kuwababaisha na kuwavuruga.
Dr Mpango ameahidi kufuatilia kwa karibu ustawi wa wafanyabiashara.
Kadhalika makamu wa Rais Dr Mpango amewapa wanaparokia wenzake salamu za Pasaka...
Nashauri kupelekwe mswada bungeni kuhusu hii sintofahamu ili wafanyabiashara wawe na imani na serikali yao.
NGOJA NITOE SCENARIO:
TRA imefanya uchunguzi wa mahesabu yangu na kugundua nililipa kodi pungufu miaka minne iliyopita, wananitoza faini na riba na kunipa notice ya mwezi mmoja...
Serikali ya awamu ya sita chini ya mama Samia Suluhu imeanza kazi kwa kutoa wito kwa wafanyabiashara wote hapa Tanzania na nje ya Tanzania kurudi na kuendelea na biashara hapa nchini baada ya baadhi yao kufilisika, kususa, kukimbia au kupunguza mitaji tangu utawala wa Magufuli aingie madarakani...
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.
Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua...
Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo.
Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai amewaambia mawaziri na mawaziri watarajiwa kwamba Bungeni ndio nyumbani na uwaziri ni matembezi...
Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi
Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii tunahenya , makadirio ya kodi kubwa , vitendea kazi tunavyoagiza kutoka nje ya nchi zikiwemo matirio...
Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike.
Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema tume iliyoundwa kuchunguza sakata la nyama ya wafanyabiashara imegundua nyama yote iliteketezwa.
Mambosasa amesema tume ilionyeshwa shimo kubwa ambamo minofu na mautumbo ilifukiwa na sehemu nyingine ambayo miguu na makongoro...
Wafanyabiashara wa nyama za mafungu huko Vingunguti wamelalamikia kitendo cha Bodi ya nyama kukamata nyama zao na kuzipeleka kituo cha polisi Buguruni ambako badala ya kuiteketeza waligawana na kubakiza makongoro.
Akiongea katika eneo la tukio Meya wa Jiji la Dar es Salaam mh. Kumbilamoto...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa rai kwa wafanyabiashara kuepuka kufanya migomo isiyokuwa na tija badala yake kutumia hekima na busara kuwasilisha hoja zao serikalini.
Mndeme ametoa rai hiyo wakati anazungumza katika kikao cha wafanyabiashara Mkoani Ruvuma kilichofanyika hivi...
Kwa Wafanyabiashara waliopo Mbeya naomba kujua location ambayo wanauza Maroba na vifungashio vya jumla ili namimi nikauze kwa bei za jumla na rejareja.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja.
Mghwira amesema wafanyabiashara siyo majambazi na siyo jambo jema kuwaona wakifunga biashara kila siku.
Naye mbunge wa Hai mh...
Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya.
Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya.
Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo...
Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki.
Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa.
Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA...
Wafanyabiashara na wasafirishaji wa Songea mjini wamegoma wakitaka kukutana na viongozi wa mkoa ili kutatua changamoto zinazowakabili.
Wafanyabiashara hao wamedai wanafanya kazi katika mazingira magumu sana na mitaji yao inazidi kufa.
Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Songea ndugu Cosmas ameibuka...
Leo asubuhi nimesikia tangazo la mkuu wa mkoa wa DSM akitangaza kuanza kutumika rasmi kwa stendi mpya ya mabasi yaendayo mkoani iliyopo Mbezi Luis.
Hadi sasa hivi sijaona tangazo la orodha ya Wafanyabiashara waliopata sehemu za kufanya biashara kwenye stendi hiyo. Ingekuwa ni vyema kwa Wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.